HATIMAYE MWANAUME ALIYEZALIWA BILA MAPAJA APATA MCHUMBA


Mrembo Chelsee Stuart (19) akiwa na mumewe Nathan Hrdlicka (34) wakiwa kwenye pozi la mahaba.
Mwanaume huyo aliyetambulika kwa jina la Nathan Hrdlicka (34) alimpata mpenzi wake huyo aitwae Chelsee Stuart (19) kupitia mtandao wa facebook na baadae kukutana nae mjini Santa Fe nchini Mexico na kumvisha pete ya uchumba rasmi.
Nathan mwenye urefu wa futi 4.6 alikuwa akitaniwa na watu mtaani kwake kuwa ni mbilikimo na kujikuta akikataliwa na kila mwanamke aliyejaribu kumchumbia.
Hata hivyo,...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Malunde

MWANAUME AFARIKI KATIKATI YA MAPAJA YA MWANAMKE


Mwanaume mmoja katika kijiji cha Gionsaria,kaunti ya Kisii Nchini Kenya amefariki dunia baada ya mwanamke mmoja kumbana /kufungia kichwa cha mwanaume huyo katikati ya mapaja. 

Mkasa huo wa aina yake umetokea siku ya Ijumaa Disemba 28,2018. 


Chifu wa eneo hilo Oganda Matego amesema mwanaume huyo anayejulikana sana kwa jina ‘Doctor’,ambaye pia ni taniboi wa magari ya kusafirisha majani chai eneo hilo, alibanwa kichwa chake katikati ya mapaja/miguu na mwanamke mmoja.

Amesema wakati mwanamke...

 

2 years ago

Malunde

Makubwa Haya!! MWANAUME AOA MWANAUME MWENZIE BILA KUJUA HUKO MTWARA

Dunia imekwisha ndivyo unavyoweza kusema!! Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni...Kutoka Mkoani Mtwara tumepata habari kuwa mwanamme mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuoa mwanamme mwenzake bila kujua.


Hii imetokea katika kijiji cha Mkahara mkoani Mtwara ambapo mwanamme huyo amejikuta akivunja ukimya kuwa mtu aliyemuoa siyo mwanamke bali ni mwanamme kwani tangu amuoe hajawahi kupewa tendo la ndoa.
Inaelezwa kuwa jamaa huyo kaishi na mwanamme mwenzie kwa muda wa miezi...

 

2 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezaliwa na VVU aishi bila ya virusi kwa miaka minane

Wanasayansi Afrika Kusini wamebaini kwamba mtoto aliyeambukizwa virusi vya Ukimwi, ameishi kwa miaka minane na nusu bila viini hivyo.

 

3 years ago

Bongo5

Aliyekuwa mchumba wa Wizkid apata ujauzito

wizkid-and-tania

Aliyekuwa mchumba wa staa wa Nigeria, WizKid, Tania Omotayo amepost picha ikimuonyesha akiwa mjamzito.

02_08075105_6e5bfc_2729405a

Ikiwa ni mwaka mmoja kupita tangu wawili hao kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi, Tania amepost picha na kuandika, “@marveleuphoria somebody cannot eat in peace again? Well maybe sha pregnant with amala and ewedu 😁.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India apata mchumba

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la  Lalita Ben Bansi ambae ni Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India amefanikiwa kupata mchumba na kuolewa  huko India.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 26 Alifanikiwa kumpata mume baada ya kupiga simu nambari iliokoseka na kusema kufanikiwa kupata mpenzi ni kama miujiza.

“Bi Bansi alipiga simu yangu kwa bahati mbaya miezi mitatu iliyopita. Nilimpigia tena baada ya siku 15,” Bwana Singh, mwenye umri wa miaka 27, anayefanya kazi na kampuni ya CCTV...

 

2 years ago

Michuzi

HATIMAYE MDAU WA GLOBU YA JAMII NDG. ALLY NYAMBI AMVIKA PETE MCHUMBA WAKE BI.EUNICE MWAKANG’ATA

 Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi  akifurahia  baada ya kumvika Pete mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata huko maeneo ya Jacaranda jijini Mbeya.

  Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete  Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete. Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake...

 

4 years ago

GPL

THEA APATA MWANAUME WA KUMLEA

Ndicho alichokitaka! Kwa taarifa yako, mwigizaji ‘lejendari’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ juzikati alifunguka kuwa kwa sasa amepata mwanaume anayejua kumlea na kumtunza ambapo anatarajia kumuweka wazi muda si mrefu. Mwigizaji ‘lejendari’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akistorisha na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita ndani ya Hoteli ya Protea jijini Dar, Thea alisema kuwa baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanaume apata hisia za ujauzito

Mwanaume mmoja mjini Birmingham nchini Uingereza alilazimika kupata mapumziko kazini baada ya kupata hisia za ujauzito

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani