HATMA YA KESI YA BOSI WA JAMIIFORUMS MEI 28Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Mei 28, 2018 kutoa uamuzi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo na mwenzake wana kesi ya kujibu au la.

Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo Mei 22, 2018 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Godfrey Mwambapa baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wao.
Katika kesi hiyo ya jinai namba 457/2016, Melo na mwanahisa wa mtandao huo, Micke William wanakabiliwa na shtaka la kushindwa kutoka ushurikiano kwa Jeshi la ...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

HATMA YA KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUJULIKANA MEI 15

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia May 15,2018 kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano na mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende Mahakama Kuu ama laa.

Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Katika majibu yake Wakili Nchimbi ameiomba mahakama hiyo kutupilia...

 

2 years ago

Mwananchi

Bosi wa Jamiiforums aachiwa kwa dhamana

Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Godfrey Mwampamba amemuachia huru, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Limited, inayomilikiwa na mtandao wa kijamii wa Jamii Forum (JF), Maxence Melo baada ya kukamilisha masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili.

 

2 years ago

Malunde

MAHAKAMA YATISHIA KUFUTA KESI YA JAMIIFORUMS

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetishia kuifuta kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa JamiiForums, Maxence Mubyazi Melo na mwanahisa wa kampuni ya Jamii Media Co Ltd, Mike William ikisema haifurahishwi na mwenendo wa shauri hilo. 
Hakimu mkazi mkuu wa mahakama hiyo, Thomas Simba alisema hayo jana mara baada ya Wakili wa Serikali, Hamis Said kueleza kuwa wakili anayeendesha kesi hiyo ni mgonjwa na kwamba jana ilikuwa siku ya washtakiwa kusomewa maelezo ya awali. 
“Haya mambo ya...

 

2 years ago

Global Publishers

Mwanzilishi wa JamiiForums Aachiliwa kwa Dhamana, Kesi Yake Kuunguruma Desemba 29

mkurugenzi-wa-jamii-forums-maxence-melo-1

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Jamii Media Limited na Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo, leo Desemba 19, 2016 ameachiliwa kwa dhamana na Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam baada ya kukaa lupango kwa takribani siku 7.

mkurugenzi-wa-jamii-forums-maxence-melo-2Mkurugenzi wa Jamii Media Limited, Maxence Melo akifikishwa mahakamani.

Melo ambaye anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa nchini, amedhaminiwa na wadhamini wawili ambao ni Judith Kapinga na Kiiya Joel...

 

4 years ago

Michuzi

Hatma ya Ndumbaro kutolewa Mei 10 mwaka huu

HATIMAYE hatma ya mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Simba na mjumbe wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Dk Damas Ndumbaro itatolewa Mei 10 mwaka huu.
Kikao cha Kamati ya rufaa ya nidhamu chini ya Revocatus Kuuli ilisikiliza hoja za pande mbili ambao Ndumbaro alijiwakilisha mwenyewe wakati kwa upande wa TFF iliwakilishwa na wakili wao Emmanuel Muga huku habari za ndani zikidai kuwa licha ya Ndumbaro kukata rufaa, TFF nayo imemfungulia shtaka la tatu la kuandaa mechi kinyume na taratibu.
Kikao hicho...

 

5 years ago

StarTV

Hatma Kesi ya Pistorious ni leo.

Leo Jaji Tokozile Masipa ataanza kusoma maelezo ya mwisho ya kesi ya Oscar Pestorius yatakayachukua siku nne.

 
Akipitia maelezo ya upande wa mashitaka na upande wa utetezi katika kesi hii ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini.

 
Aliepatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia .

 
Mengi yamesemwa na raia wa A-Kusini katika kesi hii kwamba Jaji hakuonesha uadilifu kumpata Oscar Pestorius na hatia ya kuua bila kukusudia badala ya kuua kwa makusudi.

 

BBC

 

5 years ago

BBCSwahili

ICC:Nini hatma ya kesi ya Kenyatta?

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya atajua hii leo hatma ya kesi inayomkabili ICC ikiwa itaendelea au la baada ya upande wa mashitaka kukosa ushahidi

 

2 years ago

Habarileo

Upelelezi kesi bosi Jamiiforum bado

UPELELEZI wa kesi mbili zinazomkabili Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Kampuni ya Jamii Media Limited, Mexence Melo (40), haujakamilika.

 

3 years ago

Habarileo

Hatma ya kesi ya meta 200 kutolewa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo itatoa uamuzi kuhusu shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Amy Kibatala likihoji uhalali wa wapigakura kukaa mita 200 kutoka kwenye vituo vya kupigia kura.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani