HATMA YA KESI YA SUGU KUTUMIA LUGHA ZA FEDHEHA KUJULIKANA KESHO

Hatma ya mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayeshtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli itajulikana kesho.

Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wanakabiliwa na kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ambayo kesho Februari 26,2018 itatoa hukumu.

Washtakiwa wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Desemba 30,2017 eneo la Uwanja wa Shule ya Msingi Mwenge jijini...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

HAKIMU AGOMA KUJITOA KESI YA SUGU LUGHA YA FEDHEHA DHIDI YA JPM...MAWAKILI WAJIONDOA

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite amekataa kujitoa kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na mwenzake.
Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wanashtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli wanayodaiwa kuitoa Desemba 30,2017.
Awali, leo Alhamisi Januari 25,2018 Sugu na Masonga waliwasilisha ombi mahakamani wakimkataa hakimu huyo wakitaka ajitoe...

 

1 year ago

Malunde

MBUNGE SUGU,MASONGA WATUPWA JELA KWA LUGHA YA FEDHEHA DHIDI YA JPM

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewatia hatiani mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga na kuwahukumu kifungo cha miezi mitano jela.


Hukumu hiyo imetolewa leo Februari 26,2018 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Michael Mteite.

Sugu na Masonga wamehukumiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.

Wawili hao wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Desemba...

 

1 year ago

Malunde

HATMA YA KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUJULIKANA MEI 15

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia May 15,2018 kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano na mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende Mahakama Kuu ama laa.

Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Katika majibu yake Wakili Nchimbi ameiomba mahakama hiyo kutupilia...

 

4 years ago

Mwananchi

Sakata la dawa za kulevya hatma ya Chid Benz kujulikana kesho

Siku mbili baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere akiwa na vitu vinavyodhaniwa ni dawa za kulevya, Mwanahiphop Rashid Makwiro maarufu Chid Benz, anatarajiwa kufikishwa mahakamani.

 

3 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MKUU YANGA WASUASUA,HATMA YAKE KUJULIKANA KESHO.

Na Zainab Nyamka,Blogu ya Jamii.KATIKA kuelekea uchaguzi Mkuu wa Yanga na dirisha la kuchukua fomu kufunguliwa siku ya Ijumaa na linatarajiwa kufungwa kesho Juni 01 inasadikiwa hakuna mtu yoyote ameyejitokeza tayari kuchukua fomu huku Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa TFF,Aloyce Komba akiwa nje ya mji na anatarajiwa kurejea kesho.
Baadhi ya wanachama wa Yanga wameonesha kutokuelewa uchaguzi kama utafanyika kwani hakuonekani dalili za kuelekea uchaguzi hu Juni 25 na zaidi wanashangaa...

 

1 year ago

Malunde

HIVI NDIVYO SUGU NA MASONGA WALIVYOWASILI MAHAKAMANI KUSIKILIZA HATMA YA KESI YAO

Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ambako itatolewa hukumu ya kesi inayomkabili mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga.

Katika eneo la mahakama wapo askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiimarisha ulinzi nje ya jengo. Tayari washtakiwa wameshafika mahakamani.
Mahakama leo Februari 26,2018 inatoa hukumu ya kesi ambayo Sugu na Masonga wanashtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha...

 

1 year ago

Malunde

UAMUZI WA KESI YA WANAWAKE WALIOVALISHANA PETE YA UCHUMBA KUJULIKANA KESHO

Hatima ya dhamana ya washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kujihusisha na vitendo vinavyoashiria mapenzi ya jinsia moja na makosa ya mtandao itajulikana Ijumaa Desemba 15,2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza itakapotoa uamuzi.

Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Wilbert Chuma anayesikiliza shauri hilo aliliahirisha baada ya kusikiliza hoja kuhusu hati ya kiapo iliyowasilishwa na Jamhuri kuzuia dhamana.

Washtakiwa katika shauri hilo namba 548/2017 ni Milembe Suleiman na Janeth Shonza,...

 

3 years ago

Channelten

Maamuzi ya Chuo Kikuuu DSM kutumia lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi

Screen Shot 2016-06-25 at 2.49.29 PM

Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM kimeamua kutumia lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya mawasiliano katika chuo hicho ikiwa ni mkakati mmojawapo wa kuimarisha lugha hiyo adhimu duniani na kuipa msukumo kwa wananchi wa mataifa mengine ambayo yanahitaji kujifunza lugha ya kiswahili.

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa taaasisi za elimu ya juu,SALIFYUSI MLIGO, jana alipokuwa anasoma tamko la kupongeza hatua hiyo pamoja na maboresho ya utumishi wa umma, lililotolewa na chama...

 

3 years ago

Global Publishers

Hatma ya MO kujulikana leo Simba

Mohamed deji2

Mohammed Dewji.

Wilbert Molandi, Dar es Salaam

HATMA ya uongozi wa Simba kumuuzia timu hiyo bilionea, Mohammed Dewji inatarajiwa kujulikana leo Jumatatu mara baada ya kamati husika iliyopewa kusimamia mchakato huo kukutana na tajiri huyo.

Hiyo, ni sehemu ya ahadi ya rais wa timu hiyo, Evans Aveva aliyoitoa kwenye mkutano mkuu uliofanyika mwezi uliopita katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Masaki jijini Dar es Salaam baada ya wanachama kupendekeza kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa klabu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani