Hatma ya MO kujulikana leo Simba

Mohamed deji2

Mohammed Dewji.

Wilbert Molandi, Dar es Salaam

HATMA ya uongozi wa Simba kumuuzia timu hiyo bilionea, Mohammed Dewji inatarajiwa kujulikana leo Jumatatu mara baada ya kamati husika iliyopewa kusimamia mchakato huo kukutana na tajiri huyo.

Hiyo, ni sehemu ya ahadi ya rais wa timu hiyo, Evans Aveva aliyoitoa kwenye mkutano mkuu uliofanyika mwezi uliopita katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Masaki jijini Dar es Salaam baada ya wanachama kupendekeza kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa klabu...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Hatma ya Rais Jacob Zuma kujulikana leo

Bunge la Afrika ya Kusini linatarajia kujadili hoja ya kumng’oa Rais Jacob Zuma madarakani leo baada ya kukumbwa na kashfa ya kutumia Dola23 milioni za Marekani kukarabati nyumba yake binafsi kinyume cha sheria.

 

3 years ago

Dewji Blog

Hatma ya Lipumba CUF kujulikana leo, Babu Duni nje

Baraza kuu la Chama cha Wananchi (CUF) leo linatarajiwa kuketi jijini Dar es Salaam kuijadili barua ya kujiudhuru aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na kufanya uchaguzi wa viongozi wa ngazi za juu.

Nafasi za uongozi zitakazochaguliwa leo ni pamoja na ya umakamo mwenyekiti iliayoachwa wazi na Juma Duni Haji ambaye alikihama chama hicho kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Duni Haji alilazimika kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

2 years ago

BBCSwahili

Hatma ya Wenger kujulikana mwisho wa msimu

Uamuzi kuhusu hatma ya mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger utafanywa mwisho wa msimu huu lakini kandarasi mpya inamsubiri kwa sasa.

 

1 year ago

Malunde

HATMA YA KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUJULIKANA MEI 15

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia May 15,2018 kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano na mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende Mahakama Kuu ama laa.

Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Katika majibu yake Wakili Nchimbi ameiomba mahakama hiyo kutupilia...

 

3 years ago

Habarileo

Hatma ya Abdi Banda Simba leo

HATMA ya beki mahiri wa Simba, Abdi Banda inatarajiwa kujulikana leo baada ya uongozi kuipitia barua yake ya kujieleza.

 

4 years ago

Mwananchi

Sakata la dawa za kulevya hatma ya Chid Benz kujulikana kesho

Siku mbili baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere akiwa na vitu vinavyodhaniwa ni dawa za kulevya, Mwanahiphop Rashid Makwiro maarufu Chid Benz, anatarajiwa kufikishwa mahakamani.

 

3 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MKUU YANGA WASUASUA,HATMA YAKE KUJULIKANA KESHO.

Na Zainab Nyamka,Blogu ya Jamii.KATIKA kuelekea uchaguzi Mkuu wa Yanga na dirisha la kuchukua fomu kufunguliwa siku ya Ijumaa na linatarajiwa kufungwa kesho Juni 01 inasadikiwa hakuna mtu yoyote ameyejitokeza tayari kuchukua fomu huku Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa TFF,Aloyce Komba akiwa nje ya mji na anatarajiwa kurejea kesho.
Baadhi ya wanachama wa Yanga wameonesha kutokuelewa uchaguzi kama utafanyika kwani hakuonekani dalili za kuelekea uchaguzi hu Juni 25 na zaidi wanashangaa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Hatma ya wanariadha wa kike wenye homoni nyingi za kiume kujulikana

Utafiti mpya unasema kuwa wanawake wanaozaliwa na viwango vya juu vya homini za kiume wana utendaji mkubwa ikilinganishwa na wenzao katika mashindano

 

1 year ago

Malunde

HATMA YA KESI YA SUGU KUTUMIA LUGHA ZA FEDHEHA KUJULIKANA KESHO

Hatma ya mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayeshtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli itajulikana kesho.

Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wanakabiliwa na kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ambayo kesho Februari 26,2018 itatoa hukumu.

Washtakiwa wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Desemba 30,2017 eneo la Uwanja wa Shule ya Msingi Mwenge jijini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani