Hatma ya ukodishwaji Yanga Oktoba 23

Dar es Salaam. Wakati mjadala wa kukodishwa Yanga kwa miaka 10 ukishika kasi, uongozi wa klabu hiyo umesema uamuzi wa mwisho utatolewa  kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 23.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Ukodishwaji Yanga: Waitisha mkutano wa dharura Oktoba 23

UONGOZI wa Yanga umeitisha mkutano wa dharura wa wanachama wote utakaofanyika Jumapili ya Oktoba 23, mwaka huu katika ukumbi ambao utatajwa baadaye.
Taarifa ya Kaimu Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit imesema kwamba wanachama wote wanatakiwa kufika bila kukosa kwa sababu mkutano huo ni kwa faida na maslahi mapana ya klabu.
Deusdedit alisema agenda za mkutano pamoja na mahali utakapofanyika vitatajwa baadaye.

Mkutano huo unafuatia Baraza la Wadhamini la Yanga SC kuikodisha timu ya soka kwa...

 

2 years ago

Mwananchi

UMMILIKI: Hatima ukodishwaji Yanga Okt 23

Wakati mjadala wa kukodishwa Yanga kwa miaka 10 ukishika kasi, uongozi wa klabu hiyo umesema uamuzi wa mwisho utatolewa  kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 23.

 

2 years ago

Mtanzania

BMT yapiga ‘stop’ ukodishwaji Yanga, hisa Simba

 Mohamed Kiganja

Mohamed Kiganja

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM

BARAZA la Michezo Taifa (BMT), limesitisha michakato yote inayoendelea ndani ya klabu ya Simba na Yanga, kubadili umiliki wa timu kutoka kwa wanachama kuelekea kwenye umiliki wa hisa na ukodishwaji, hadi hapo watakapofanya marekebisho ya katiba zao.

Uamuzi huo wa Serikali unakuja huku klabu ya Yanga ikiwa tayari imeingia mkataba wa miaka 10 wa ukodishwaji na Kampuni ya Yanga Yetu Limited, Septemba mwaka huu, wakati Simba ikiwa katika hatua ya...

 

2 years ago

Habarileo

Hatma ya Yanga, Coastal leo

HATIMA ya Yanga kufuzu fainali za michuano ya Kombe la Shirikisho la TFF (FA) inatarajiwa kujulikana leo baada ya kikao cha Kamati ya Mashindano kukutana.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Mnyarwanda ashikilia hatma ya Yanga

YANGA inaanza leo maandalizi ya wiki tatu ngumu ya mechi tatu tofauti, wakitangulia kucheza mchezo ligi dhidi ya Azam kisha kugeukia dakika 180 za mtoano Kombe la Shirikisho dhidi MC Alger ya Algeria.

 

3 years ago

Raia Mwema

Mahaba ya TFF kwa Yanga na hatma ya soka letu

MAFANIKIO ya Soka la Tanzania yanategemea sana nidhamu, juhudi na moyo wa dhati wa kujitoa kwa wa

Mwandishi Wetu

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Ukweli kuhusu hatma ya Salum Telela Yanga

gha

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu kiungo wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Salum Telela kuhusishwa kuachwa na klabu hiyo, huku mitandao mingine ikiandika kuwa staa huyo kiraka ameachwa, ili kupata ukweli ripota wa millardayo.com ilimtafuta mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro. “Ni kweli mkataba wa Salum […]

The post AUDIO: Ukweli kuhusu hatma ya Salum Telela Yanga appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MKUU YANGA WASUASUA,HATMA YAKE KUJULIKANA KESHO.

Na Zainab Nyamka,Blogu ya Jamii.KATIKA kuelekea uchaguzi Mkuu wa Yanga na dirisha la kuchukua fomu kufunguliwa siku ya Ijumaa na linatarajiwa kufungwa kesho Juni 01 inasadikiwa hakuna mtu yoyote ameyejitokeza tayari kuchukua fomu huku Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa TFF,Aloyce Komba akiwa nje ya mji na anatarajiwa kurejea kesho.
Baadhi ya wanachama wa Yanga wameonesha kutokuelewa uchaguzi kama utafanyika kwani hakuonekani dalili za kuelekea uchaguzi hu Juni 25 na zaidi wanashangaa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Maadili ya TFF kukaa leo kuamuru hatma ya Hafisa Habari wa Yanga, Jerry Muro

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajiwa kuwa na kikao chake leo Jumamosi ya Julai 2, 2016 kwenye ukumbi wa ofisi za TFF zilizoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, makutano ya barabara za Shaurimoyo na Uhuru, Ilala jijini Dar es Salaam.

Viongozi watatu kutoka wanachama wa TFF wanahitajika kufika kwenye kikao hicho kinachotarajiwa kuanza saa 4.30 asubuhi.

Viongozi hao ni Jerry Muro – Msemaji wa Young Africans S.C (Pichani chini)
Nassib Mabrouk – Katibu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani