Hawa ndio waamuzi watakao chezesha mechi ya Yanga na Ngaya ya Comoro uwanja wa Taifa

Mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Young Africans ya Tanzania na Ngaya ya Comoro hatua ya awali utachezeshwa na Waamuzi kutoka Uganda.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), waamuzi hao ni Alex Muhabi Nsulumbi atakapuliza filimbi uwanjani.

Nsulumbi atasaidiwa na Ronald Kakenya na Lee Okello wakati Mwamuzi wa Akiba atakuwa Brian Nsubuga Miro huku Kamishna akitokea Afrika Kusini ambaye ni Monnyenyone Lucas Nhlapo.

Mchezo huo utafanyika...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TIMU YA NGAYA YA COMORO YAWASILI NCHINI KUMENYANA NA YANGA JUMAMOSI UWANJA WA TAIFA


Na Dotto Mwaibale

KIKOSI cha Timu ya Ngaya kutoka nchini Comoro kimewasili nchini kwa ajili ya mechi ya marudiano dhidi ya Yanga katika dimba litakalofanyika kesho kutwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hiyo imewasili leo saa saba na nusu mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATC), huku ikiwa imeongozana na baadhi ya viongozi wake.
Mara baada ya kuwasili timu hiyo ilipokelewa na wananchi wa nchi hiyo wanaoishi hapa nchini hata hivyo viongozi wa timu hiyo hawakuwa tayari...

 

2 years ago

Bongo5

Hawa ndio wachezaji watakao kosa mechi ya Ujerumani na Uingereza

Timu ya taifa ya Ujerumani leo usiku March 22,2017, itawakosa wachezaje wake Mesut Ozil, Julian Draxler na Mario Gomez katika mchezo wa kirafiki dhidi ya England kutokana na majeruhi. Wakati huo pia Phil Jones amejiondoa katika kikosi cha Uingereza baada ya kuumia mazoezini jana.

Kocha wa kikosi cha Uingereza, Gareth Southgate amesema

“tumemrudisha Jones kataika klabu yake, tutajua zaidi baada ya vipimo katika saa 24 au 48 zijazo.”

Southgate hana mpango wa kumuita mchezaji mwingine kama...

 

4 years ago

Vijimambo

2 years ago

Bongo5

Baada ya kuvurunda mechi ya Yanga na Simba, hawa ni waamuzi waliotemwa ligi kuu

Waamuzi waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku suala lao likipelekwa kwenye Kamati ya Waamuzi ili ishughulikie tatizo lao kitaalam.

martin-saanya

Maamuzi hayo yamefanyika baada ya Kikao cha Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya ligi, kuwaita na kuwahoji na kuangalia mkanda wa mchezo husika. Kamati imebaini mapungufu mengi ya kiutendaji yaliyofanywa na waamuzi hao, na hivyo kuitaka...

 

2 years ago

Global Publishers

Yanga Waibabua 5 -1 Ngaya ya Comoro

 

KLABU ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 5-1 dhidi ya Klabu ya Ngaya ya Visiwani Comoro.

Magoli ya Yanga yamepachikwa na Zulu dakika 43, Simon Msuva dakika ya 45, Chirwa dakika ya 59, Amis Tambwe dakika ya 65 na Thaaban Kamusoko dakika ya 7. Huku upande wa Ngaya, bao lao la kufutia machozi limepachikwa na Said Khalfan dakika ya 66.

 

===========

MHIGH LIGTH ZA MCHEZO

MPIRA UMEKISHAAAA

Dk 89, Yanga wanaendelea kushambulia kwa kasi, Chirwa anaingia lakini Mohamed Zahir anamzuia...

 

5 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

2 years ago

Bongo5

Huyu ndio mwamuzi atakae chezesha mechi ya Liverpool dhidi ya Chelsea

Mwamuzi Mark Clattenburg ameteuliwa kuchezesha mechi ya Chelsea dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Anfield wiki ijayo.

Chelsea watasafiri hadi Anfield wiki ijayo siku ya Jumanne (Januari 31) wakiwa na pointi 10 dhidi ya timu ya Jurgen Klopp.

Clattenburg ana historia kadhaa anapo chezesha mechi za Chelsea, mechi ya mwisho msimu uliopita katika uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya Tottenham Hotspur ikizua utata.

Kadi kumi na mbili za njano zilitolewa katika pambano hilo, na vitendo vya vurugu...

 

2 years ago

Michuzi

WAAMUZI TOKA UGANDA KUCHEZESHA MCHEZO WA YANGA VS NGAYA JUMAMOSI

Kikosi cha Yanga
Na Zainab Nyamka, Globu 
Mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Young Africans ya Tanzania na Ngaya ya Comoro hatua ya awali utachezeshwa na Waamuzi kutoka Uganda.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), waamuzi hao ni Alex Muhabi Nsulumbi atakapuliza filimbi uwanjani.
Nsulumbi atasaidiwa na Ronald Kakenya na Lee Okello wakati Mwamuzi wa Akiba atakuwa Brian Nsubuga Miro huku Kamishna akitokea Afrika Kusini ambaye ni Monnyenyone...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani