Haya hapa Mabadiliko ya Mawaziri kwa Wizara mbalimbali SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amafanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri.

Kufuatia mabadiliko hayo, shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; shughli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais;na shughli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara mpya ya Habari,...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

TAFITI MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WIZARA YA HABARI KUWASILISHWA KWA MAWAZIRI WA UTAMADUNI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

Na Genofeva Matemu - WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameahidi kufikisha taarifa ya hatua ambayo Tanzania imefikia katika harakati za kutafiti na kuhifadhi kumbukumbu za ukombozi wa Bara la Afrika kwa mawaziri wa utamaduni wa nchi za kusini mwa Afrika ili nchi hizo wanachama ziweze kuendelea na hatua nyingine ya kuchangia katika ujenzi wa kituo cha kuhifadhi kumbukumbu hizo.Waziri Mwakyembe ameyasema hayo leo Mkoani Mbeya alipofanya ziara kukagua...

 

1 year ago

Malunde

RAIS SHEIN AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI ZANZIBAR..ANGALIA HAPA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilishia Wizara baadhi ya Mawaziri. Kufuatia mabadiliko hayo, shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; shughli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais; na shughli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara mpya ya Habari,...

 

1 year ago

Malunde

BUNGE LAFANYA MABADILIKO YA VIONGOZI KWENYE KAMATI MBALIMBALI,ANGALIA HAPA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametoa orodha ya majina ya Wabunge mbalimbali ambao wameteuliwa katika kamati mbalimbali za kudumu za Bunge ambao wataongoza kwa kipindi cha mwaka 2018-2020.

Wabunge mbalimbali wameteuliwa kuongoza kamati hizo za kudumu kwa kipindi hiko cha mwaka ambapo baadhi ya wabunge walioteuliwa ni Mhe. Nnape Nnauye, Mhe. Andrew J. Chenge, Mhe. Emmanuel Mwakasaka na wengine.

Kufahamu wabunge hao na kamati zao angalia chati iliyopo hapa chini...

 

2 years ago

Malunde

HAYA HAPA MATANGAZO YA NAFASI ZA KAZI 1083 KUTOKA TAASISI MBALIMBALI

Matangazo ya Nafasi za Kazi 1083  Kutoka Taasisi Mbalimbali


 

3 years ago

Michuzi

UTT-PID YAINGIA MAKUBALIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NJE KWA DHUMUNI LA KUENDELEZA VIWANJA VINAVYOMILIKIWA NA WIZARA KATIKA BALOZI MBALIMBALI UGHAIBUNI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula (kulia) pamoja na mtendaji mkuu wa UTT-PID Dr. Gration Kamugisha (kushoto) wakiweka sahihi mikataba ya makubaliano ya uendelezaji wa maeneo hayo yanayomilikiwa na wizara katika balozi mbalimbali ili yawe na manufaa kibiashara huku wakishuudiwa na wasaidizi wao. Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wakishuhudia utiaji wa Sahihi katika mkataba wa Makubaliano hayo.Picha ya pamoja ya watumishi wa UTT-PID pamoja na Balozi Liberata...

 

3 years ago

Raia Mwema

Baraza jipya la mawaziri, mkorogo usio hamasa kwa mabadiliko

RAIS John Pombe Magufuli (JPM) amekwishaunda Wizara 18 za Serikali yake na kutangaza mawaziri wa

Joseph Mihangwa

 

2 years ago

Bongo5

Haya ndiyo mabadiliko yaliyofanyika kwa viongozi idara ya uhamiaji

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, Dk Anna Makakala, amefanya mabadiliko makubwa ya viongozi wa Idara ya Uhamiaji wa mikoa mbalimbali pamoja na kuwateua viongozi wapya wa mikoa kushika nyadhifa hizo kwa upande wa Tanzania Bara na Zanzibar.

Katika mabadiliko hayo amewapangua vigogo waliokuwa mikoani na kwenda mikoa mingine kama inavyoonekana kwenye mabano, ambapo Naibu Kamishna wa Uhamiaji Sixstus Nyaki (Mwanza) anakwenda Simiyu, Naibu Kamishna wa Uhamiaji Selemani Kameya (Rukwa)...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani