HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

KINAPA YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
IDADI ya watalii wanaotembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) imeongezeka kutoka 37,000 hadi kufikia 51,287 ndani ya kipindi cha miaka 10 huku asilimia 4 na sita kati yao wakiwa ni wazawa.
Asilimia hiyo inatajwa ni ya watanzania ambao wamekuwa wakipanda Mlima huo kwa muda wa siku moja hali inayoilazimu uongozi wa hifadhi hiyo kuendelea kuhamsisha wananchi kutembelea hifadhi zetu ili kujionea urithi tuliopewa na...

 

5 years ago

Michuzi

KINAPA YATANGAZA OFA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.


Mkuu wa idara ya utalii katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Eva Mallya akitoa ufafanuzi juu ya utaratibu mpya wa kuhamasisha utalii wa ndani.kushoto kwake ni afisa Masoko wa hifadhi hiyo Antipas Juu na chini ni baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa umakini mkuu wa idara ya utalii katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro Eva Mallya  Na Dixon Busagaga wa Globu  ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
HIFADHI ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro ,imetoa fursa kwa wananchi wa...

 

4 years ago

Michuzi

MANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO

Afisa Masoko wa Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro akizungumza na watalii wa ndani kabla ya kuendelea na safari ya kutembelea vivutio mbalimbali viyoko katika uwanda wa Shira yakiwemo mapango ya Shira Caves.Watalii wa ndani wakichukua taswira mbalimbali mara baada ya kufika kilele cha Shira ndani ya Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mwanga wakiongozwa na meneja wao ,Innocent Silayo(wa pili toka kulia) wakishuka mara baada ya kutembelea vivutio...

 

4 years ago

Michuzi

UBOVU WA BARABARA WAWAKOSESHA RAHA WATALII WA NDANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara.
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
Safari ya kuelekea kilele cha Shira...

 

4 years ago

Michuzi

Umoja wa Mataifa waanza maadhimisho ya miaka 70 kwa kupanda miti Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Mhe. Binilith Mahenge  akiwahutubia wananchi (hawapo pichani) kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed  Gharib Bilal wakati wa tukio la upandaji miti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 70 ya Ummoja wa Mataifa lilofanyika katika Kijiji cha Marua, Mkoani Kilimanjaro. Mhe. Waziri aliwaasa wananchi waliojitokeza na Watanzania kwa ujumla kulinda na kuhifadhi mazingiraMabalozi na Wakuu wa Mashirika...

 

3 years ago

Mwananchi

Watalii wa ndani kusherehekea Pasaka mlima Kilimanjaro

Kampuni ya Kili Base Adventures imeandaa tamasha la kusherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa watalii wa ndani kupanda mlima Kilimanjaro.

 

5 years ago

Michuzi

WATALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO WAFURAHIA KUFIKA SHIRA CATHEDRAL(KANISANI)

Kundi la mwisho la watalii wa ndani wakiwa katika uwanda wa Shira wakielekea katika eneo maarufu kama Kanisani yaani Shira Cathedral. Watalii wa ndani wakipewa maelekezo ya vifaa mbalimbali yakiwemo mavazi yanayotumika kupandia mlima. Watalii wa ndani wakaianza safari ya kuelekea Kanisani Shira Cathedral. Baada ya kupanda Kilima kimojawapo watalii wakafika wakiwa hoi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

KUNDI LA KWANZA LA WATALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO LAPANDA KILELE CHA SHIRA

Mabasi maalumu yanayotumika kupandisha watalii wa ndani yakiwa katika foleni tayari kwa safari ya kuelekea mlima Kilimanjaro katika kilele cha Shira. Watalii wa ndani wakipatiwa maelezo juu ya mlima Kilimanjaro kablaya kuanza safari ya kuelekea Kilele cha Shira. Watalii wa ndani wakiwa ndani ya basi kuelekea kilele cha Shira mlima Kilimanjaro.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

3 years ago

Michuzi

VODACOM YAFANIKISHA MAWASILIANO KATIKA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA TIMU YA "TRECK4MANDELA " MANDELA KUTOKA AFRIKA KUSINI

KAMPUNI ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imedhamini safari ya siku sita kwa raia 36 wa Afrika Kusini wakiwemo wafanyakazi wa kampuni hiyo, kupanda Mlima Kilimanjaro yenye lengo la kuchangisha pesa kwa ajili ya Taulo za watoto wa kike.
Kampuni ya Vodacom inadhamini safari hiyo ambayo hufanyika kila mwaka kama sehemu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa muasisi wa Taifa la Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela, ikiwa ni mara ya pili mfululizo kwa Vodacom kufanya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani