HII HAPA RATIBA YOTE YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA VODACOM 2017-2018

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka. 
Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam, litafunguliwa rasmi Agosti 27, mwaka huu kwa timu zote 16 kuingia viwanjani.

AGOSTI 26, 2017
Ndanda Vs Azam -Nangwanda
Mwadui Vs Singida- Mwadui
Mtibwa Vs Stand – Manungu
Simba Vs Ruvu – Taifa
Kagera Vs Mbao -Kaitaba
Njombe Vs Prison- Sabasaba
Mbeya Vs Majimaji- Sokoine

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 kufikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018

Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 inafikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018 kwa timu zote 16 kuingia viwanjani kukamilisha raundi ya 30, ambayo ndiyo itakayokamilisha jumla ya mechi 240 za msimu huu.
Mechi hizo zitachezwa kama ifuatavyo;Lipuli vs Kagera Sugar- saa 10 kamiliTanzania Prisons vs Singida Utd- saa 10 kamiliNdanda vs Stand Utd- saa 10 kamiliMtibwa Sugar vs Mbeya City- saa 10 kamiliYanga vs Azam- saa 2 kamili usikuNjombe Mji vs Mwadui- saa 10 kamiliMbao vs Ruvu Shooting- saa 10...

 

3 years ago

Michuzi

MSIMU MPYA LIGI KUU YA VODACOM 2016/2017 WAANZA KWA MSISIMKO.

 Kwenye picha baadhi ya wafanyakazi kutoka Idara ya Masoko ya Vodacom Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Nandi Mwiyombella (katikati) walifika kushuhudia mechi kati ya Simba na Ndanda.

 Endele Kufuata kurasa zetu kwenye mitandao ya kijamii ukitumia #VPL2016 uweze kutabiri matokeo ya mechi na kupata taarifa zaidi kuhusu ligi kuu ya Vodacom. Pia kupata live match updates kila wiki. 

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara VPL ilifunguliwa rasmi wikiendi iliyopita kwa mechi 6 kuchezwa katika...

 

3 years ago

Global Publishers

Msimu Mpya Ligi Kuu Vodacom 2016/2017 Waanza Kwa Msisimko

VPL-PR-Log

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara VPL ilifunguliwa rasmi wikiendiiliyopita kwa mechi 6 kuchezwa katika viwanja tofauti. Katika mechi ya Simba dhidiya Ndanda FC tulishuhudia Simba ikipata ushindi wa magoli 3 – 1 huku winga mpya wa Simba, Shiza Kichuya akifanikiwa kufunga bao zuri kuhitimisha karamu yamagoli 3.

VPL Twitter Poll

Kule Morogoro, Mtibwa Sugar wakiwa uwanja wa nyumba ni waliduwazwa na Ruvu Shooting baada ya kupokea kichapo cha goli moja bila. Akizungumza siku moja baada ya mechi hiyo Kocha wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Jku kuendeleza rekodi leo ikiwavaa Mafunzo?: Ratiba yote ya ligi kuu Zanzibar leo hii hapa

Leo jioni Vinara wa Ligi kuu Zanzibar Kanda ya Unguja timu ya Wajenga Uchumi wa JKU Watawavaa wajelajela Mafunzo katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Fuoni. Mafunzo walio nyuma kwa pointi saba kutoka kwa vinara hao wanachotafuta ni kuivunja rekodi ya JKU. JE WATAWEZA ? TUSUBIRI

Mchezo mwingine ni wa Vibonde Miembeni walioko nafasi ya pili kutoka mkiani watakapowavaa Chuoni saa 10 jioni katika Uwanja wa Amaan.  Chuoni na Miembeni wote watautumia mchezo huu kujinasua kutoka kwenye mstari wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom wikiendi hii

Ligi Kuu ya Vodacoma inataraji kuendelea wikiendi hii kwa michezo minne, ambapo kwa leo Jumamosi inataraji kupigwa michezo mitatu na kesho Jumapili utachezwa mchezo mmoja.

Ratiba ya leo Jumamosi;

Yanga vs Mtibwa

Ndanda FC vs Kagera

Coastal Union vs JKT Ruvu

Na mchezo wa kesho Jumapili ni;

Toto Africans vs Simba

The post Ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom wikiendi hii appeared first on DEWJIBLOG.

 

2 years ago

Michuzi

RATIBA MPYA LIGI KUU YA VODACOM

Kikosi kazi, kilichopewa kazi maalumu ya kupitia upya Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), kimemaliza majukumu yake na sasa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawatangaza ratiba mpya.
Kwa mujibu wa ratiba mpya, baada ya michezo ya Agosti 26 na 27, Ligi Kuu ya Vodacom kwa sasa itaendelea Septemba 9 na 10 kama ambavyo inajionyesha kwenye kiambatanisho.

 

3 years ago

Bongo5

Ratiba ya Ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao wa ligi (2016/17)

Ratiba ya Ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa ajili ya msimu ujao wa ligi (2016/17) imetoka. Ratiba hiyo inaonesha ligi kuu Tanznia bara itaanza kuchezwa August 20, 2016, angalia ratiba kamili hapa chini.

IMG-20160718-WA0056

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

3 years ago

MillardAyo

Hii ndio klabu ya kwanza kupanda Ligi Kuu Uingereza msimu ujao 2016/2017

CheANsjWgAA0yGM

Wakati Ligi Kuu Uingereza ikiendelea kwa vilabu vya Tottenham Hotspurs na Leicester City kuchuana kwa karibu katika mbio za kuwania Ligi Kuu Uingereza, huku vilabu vya Newcastle United, Sunderland, Norwich City vikiwa katika hatua ya kupigania kutoshuka daraja na Aston Villa kuonesha dalili zote za kushuka, Bunley imekuwa klabu ya kwanza kurudi Ligi Kuu Uingereza msimu ujao. Bunley wamefanikiwa […]

The post Hii ndio klabu ya kwanza kupanda Ligi Kuu Uingereza msimu ujao 2016/2017 appeared...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani