Hii ndio historia mpya iliyowekwa na Simba dhidi ya Mbeya City leo

DSC_0128

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo kwa klabu ya Simba kushuka uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kuikabili Mbeya City katika mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2015/2016. Simba ilishuka uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ikiwa haina kumbukumbu ya kuwahi kuifunga Mbeya City katika uwanja huu […]

The post Hii ndio historia mpya iliyowekwa na Simba dhidi ya Mbeya City leo appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo

Simba inaikabili Mbeya City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na inatakiwa kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kuwania ubingwa msimu huu.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Yaani hii Mbeya City kama Simba tu

KAMA unaishangaa Simba kusajili kikosi kizima na wachezaji wa akiba juu, Mbeya City nayo inapita mulemule ambapo jana Alhamisi ilitangaza majina 23 ya wachezaji ambao watakuwa nao msimu ujao ba bado wakisisitiza kuwa bado watasajili wachezaji wengine watano wapya.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Hii ndio Simba mpya buana!

STRAIKA Mghana, Nicholas Gyan, kutoka Ebusua Dwarfs, amekamilisha orodha ya nyota wapya waliosajiliwa ndani ya Simba kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano.

 

5 years ago

Vijimambo

HII NDIO HISTORIA YA DIAMOND TOKA KAZALIWA MPAKA LEO KAFIKISHA MIAKA 26, HAYA NDO ALIYOPITIA.

Jitiririshe mwenye hapa chini live bila chenga.
diamond platnumz bongoclan.co.tz
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy Diamond Platnumz.Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam   mnamo wa saa kumi na moja na kupewa jina la  Nasibu Abdul Juma . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote  na...

 

2 years ago

Michuzi

REDIO DREAM FM 91.3 MBEYA KUHITIMISHA BONANZA LAKE LA GREEN CITY ENTER-COLLEGE HII LEO UWANJA WA TIA JIJINI MBEYA

Mashindano ya Green city Enter-College yanayoshilikisha Vyuo vikuu vya kati vilivyopo jijini mbeya yanatarajiwa kumalizika Ijumaa ya leo jijini mbeya tangu kuanza kwake siku ya Jumamosi ya  tarehe 26 novemba mwaka huu, Mashindano hayo ya Enter-College yaliyo andaliwa na kituo cha Redio Dream Fm 91.3 Mbeya pia kupewa nguvu na Mamlaka ya usimamizi wa Hifadhi ya sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA), Kilimanjaro Premiam Lager,  Ally Rich sanaa (ARTS) na Michuzi Media, Yamelenga zaidi katika...

 

3 years ago

MillardAyo

Kocha mkuu wa Mbeya City Kinnah Phiri amethibitisha Kaseja kutocheza dhidi ya Simba

Day2Ndanda-16

Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya, March 4 kupitia kwa  kocha mkuu wa timu hiyo raia wa Malawi Kinnah Phiri amethibitisha kuwa golikipa wao namba moja Juma Kaseja, hatokuwepo katika kikosi kitakachokutana na Simba siku ya Jumapili ya March 6. Kocha huyo amethibitisha kuwa Juma Kaseja ambaye pia amewahi kuichezea Simba kwa nyakati mbili […]

The post Kocha mkuu wa Mbeya City Kinnah Phiri amethibitisha Kaseja kutocheza dhidi ya Simba appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani