HII NDIO HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA

Image may contain: 12 people, indoorNa Mwandishi wetu, Washington, DC
Nimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika habari ya DISCO iliyokua na kichwa cha habari "WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE) NA MA-DJ WAKALI!!!" mwandishi wa habari hiyo amejitahidi sana kuelezea kwa mapana ya ufahamu wake jinsi gani alivyoujua muziki wa Disco wa enzi zile waliwemo maDj wake.
Mimi nimeamua kuweka sawa baadhi ya mambo Dj Kalikali yeye alishapiga muziki YMCA wakishirikiana na Dj Niga Jay na kuna wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

Hii ndio Historia na Asili ya Mji wa Tanga.???

Mji wa Tanga ni Mji Mkuu wa Mkoa wa Tanga uliopo ufukweni mwa Bahari ya Hindi. Tanga ina bandari kubwa kabisa katika sehemu ya kaskazini mwa Tanzania. Njia ya reli kwenda Mji wa Moshi inaanza hapa.
Jina hili la mji wa Tanga lilitokana neno la Kiajemi lenye maana nne tofauti ambazo ni: Iliyo nyooka; Bonde lenye rutuba; Barabara upande wa mto na Shamba juu ya mlima.Neno hilohilo la Tanga kwa kabila la Kibondei ambalo ni wenyeji wa mkoa huo lina maana ya shamba, wao hulitamka N'tanga.
Tanga...

 

3 years ago

MillardAyo

Hii ndio historia mpya iliyowekwa na Simba dhidi ya Mbeya City leo

DSC_0128

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo kwa klabu ya Simba kushuka uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kuikabili Mbeya City katika mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2015/2016. Simba ilishuka uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ikiwa haina kumbukumbu ya kuwahi kuifunga Mbeya City katika uwanja huu […]

The post Hii ndio historia mpya iliyowekwa na Simba dhidi ya Mbeya City leo appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Vijimambo

HII NDIO HISTORIA YA DIAMOND TOKA KAZALIWA MPAKA LEO KAFIKISHA MIAKA 26, HAYA NDO ALIYOPITIA.

Jitiririshe mwenye hapa chini live bila chenga.
diamond platnumz bongoclan.co.tz
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy Diamond Platnumz.Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam   mnamo wa saa kumi na moja na kupewa jina la  Nasibu Abdul Juma . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote  na...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Hii ndio sababu ya kwanini Malaika haimbi style moja ya muziki

11313469_850096228421131_180915679_n

Malaika ni msanii aliyefanya vizuri mwaka huu na wimbo wake Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.

Tayari ana video mpya iitwayo Zogo. Lakini kabla ya nyimbo hizo aliachia wimbo wa Mchiriku uitwao Mwantumu.

“Kwa Tanzania tumezoea kwamba mtu anaimba style moja ya muziki, mwanamuziki huyu limitation yake iko hapa, hawezi kubadilika kufanya kitu kingine cha tofauti, ni hapo hapo tu alipo,” amesema Malaika.

“Lakini kinachonifanya mimi kubadilika na kufanya nyimbo tofauti tofauti ni kutaka...

 

2 years ago

Bongo5

Hii ndio sababu ya Temba kukaa kimya kwa muda mrefu kwenye muziki

Mh Temba amefunguka sababu ya kukaa kimya kwa muda mrefu kwenye muziki.

Msanii huyo amekiambia kipindi cha FNL cha EATV kuwa alitakiwa kuachia wimbo mpya mapema kabala hata ya ‘Acha Waoane’ wa Chege lakini kuna vitu viliingiliana vikavuruga ratiba hiyo.

Temba amevitaja vitu hivyo ni pamoja na kuibiwa fedha zake na zingine za baadhi ya marafiki zake ambazo alitegemea kufanyia kazi kwenye muziki ikiwemo kutumika kwenye kutengenezea video.

Rapper huyo amemtaja aliyewaibia anaitwa Mustafa...

 

2 years ago

Global Publishers

#GlobalCelebrityUpdates: Kumbe Hii Ndio Sababu Kubwa Iliyompelekea Patoranking Kufanya Muziki Wa Raggae Dancehall.

Patoranking ni miongoni mwa wasanii wakubwa na wanaoheshimika kwenye soko la muziki la Africa kutokana na uimbaji wake wa miondoko ya Raggae Dancehall. Wengi wetu tunausikiliza na kuupenda muziki wake lakini hatufahamu kwanini Patoranking aliamua kuimba aina hiyo ya muziki.

Nimekutana na stori iliyonifurahisha kidogo kuhusiana na staa wa muziki kutoka Nigeria, Patoranking.

Inawezekana unafahamu au hufahamu lakini amini usiamini Patoranking hakupanga kuimba aina ya muziki anaouimba sasa na...

 

2 years ago

RFI

Historia ya Muziki Nchini Tanzania

Fuatilia historia na utamaduni wa muziki nchini Tanzania.

 

2 years ago

RFI

Historia ya Muziki Tanzania Sehemu ya Pili

Endelea kufuatilia sehemu ya 2 juu ya historia na utamaduni wa muziki nchini Tanzania.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani