Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Hiki ndicho kikosi cha Yanga kitakachoanza kwenye mechi yake ya leo dhidi ya Madeama SC

Timu ya Yanga imekitaja kikosi chake kitakachoanza leo kwenye mechi yake dhidi ya wenyeji wao Madeama SC ya Ghana kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho.

yanga-vs-medeama_1jbj2prvw2n814jyxmrvr5964

Julai 16 mwaka huu timu hizo zilikutana kwenye uwanja wa taifa, Dar es Salaam walitoka sare ya kufungana bao moja kwa moja.

Timu ya Yanga inatakiwa ishinde kwenye mechi hiyo ili ijiweke kwenye mazingira mazuri ya kuwania nafasi mbili za kufuzu kwenye kundi lake ikiwa kwa sasa inaburuza mkia ikiwa na pointi moja na Tp Mazembe ndiyo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ray Kigosi na Mboto waula Yanga

Mwigizaji Vincent Kigosi maarufu kama Ray pamoja na mchekeshaji mwenye vituko Mboto Haji leo wameingia katika orodha ya wajumbe 55 wa klabu ya soka ya Yanga.

Wasanii hao katika tasnia ya Bongo movie wameteuliwa katika kamati masoko/wanachama ya klabu hiyo iliyotangazwa mapema leo na Kaimu mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Clement Sanga.

Ukiachilia mbali wasanii hao wawili wajumbe wengine katika kamati hiyo ni Salum Mkemi, Lukumay Samwel, Omar Kaya, Aron Nyanda, na Abeid Mziba.

The post Ray Kigosi...

 

2 years ago

Bongo Movies

Ray Kigosi Alia na Yanga, ‘Tumuombe Manji Arudi’

Muigizaji wa Filamu nchini, Ray Kigosi amesema uongozi wa klabu ya Yanga ni vema ukafanya utaratibu wa kamrejesha aliyekuwa Mwenyekiti wao, Yusuph Manji ili timu hiyo iwezi kupata maandalizi mazuri kwa ajili ya msimu ujao wa ligi na kusajili wachezaji wazuri ili wafanye vizuri katika mashindano ya kimataifa.

Kupitia mtandao wa instagram Ray amendika, “Nakumbuka kipindi kama hiki cha matayarisho ya msimu mpya tumezoea kuona timu yetu ikipelekwa Ulaya kujiandaa, ikitumia mamilioni ya fedha...

 

4 years ago

Bongo5

Ray (Yanga) kumpa JB milioni 1 na kuvaa jezi ya Simba baada ya kufungwa

Kabla ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe’ kati ya Yanga na Simba mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wasanii wa filamu, Vicent ‘Ray’ Kigosi na JB walipinga yoyote atakayefungwa atavaa jezi ya mwenzake na kumkabidhi zawadi ya shilingi milioni 1. Ray ambaye ni shabiki wa Yanga itambidi avae jezi ya Simba pamoja na kumkabidhi […]

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA: Simba walivyobadili matokeo dhidi ya Yanga dakika 4 kabla ya mechi kuisha

img_0209

Baada ya tambo za muda mrefu zilizokuwepo kwa mashabiki wa Yanga na Simba, jioni ya October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ilikuwa mwisho wa ubishi kwa mashabiki kuvutana na kutoleana maneno ya kejeli, kwani ndio siku uliochezwa mchezo wa watani wa jadi uliozikutanisha timu hizo za Kariakoo Dar es Salaam. Huu ni […]

The post PICHA: Simba walivyobadili matokeo dhidi ya Yanga dakika 4 kabla ya mechi kuisha appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA: Vibonzo sita vya utani wa Simba na Yanga kabla ya mechi yao ya October 1

img-20160929-wa0026

Jumamosi ya October 1 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa mujibu wa baadhi ya mitandao wanasema derby hiyo ni moja kati ya derby kubwa Afrika. Kuelekea mchezo huo naomba nikusogezee katuni au vibonzo maarufu vinavyopendwa kutumiwa na mashabiki wa timu hizo mbili, kupigana […]

The post PICHA: Vibonzo sita vya utani wa Simba na Yanga kabla ya mechi yao ya October 1 appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Vijimambo

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani