Hiki ndio kikosi cha Yanga kuelekea Botswana

KIKOSI Cha Mabingwa wa soka nchini na ambao wapo  kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara, Yanga SC , kimeondoka leo saa 10:15 alfajiri  kikielekea Nchini Botswana  kuwafuata Township Rollers ukiwa ni mchezo wa marudiano wa  michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
Wachezaji 20 na viongozi 11 pamoja na wengine 8 ambao ni benchi la ufundi ambao wapo katika kikosi kamili cha msafara huo.

Ambapo katika mchezo uliopita uliokuwa wa aina yake kati ya timu hizo mbili ambao mtanange huo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Hiki ndio kikosi cha Yanga kilichoichapa Mtibwa Sugar katika dimba la Amaan, Cheki matokeo …

Mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi umepigwa usiku huu katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar, huu ni mchezo ambao umezikutanisha timu za Mtibwa Sugar dhidi ya Dar Es Salaam Young African, licha ya kuwa Mtibwa na Yanga wamefuzu hatua ya nusu fainali, haukuwa mchezo rahisi kwa timu zote mbili. […]

The post Hiki ndio kikosi cha Yanga kilichoichapa Mtibwa Sugar katika dimba la Amaan, Cheki matokeo … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Bongo5

Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu

Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.

Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.

Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...

 

3 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Hiki ndio kikosi cha FIFA bora katika soka cha Dunia kwa mwaka 2015

2754926_big-lnd

Kutoka mjini Zurich, Uswiz, usiku hu tayari FIFA kimetangaza kikosi bora cha wanasoka 11 kwa mwaka 2015.”FIFA/FIFPro World XI for 2015 ” kama wanavyoonekana (pichani) katika tukio la utoaji wa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA Ballon d’Or  2015. Na Andrew Chale,Modewjiblog Kikosi hicho kinaundwa na: Manuel Neuer, Thiago Silva, Marcelo, Sergio Ramos, Dani Alves, Andres Iniesta, Luka Modric, Paul Pogba, Neymar, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

 Endelea kufuatilia Modewjiblog.com kujua...

 

7 months ago

Zanzibar 24

Hiki ndio kikosi cha Ufaransa kitakacho cheza Kombe la Dunia

Kocha Didier Deschamps wa timu ya taifa ya Ufaransa ametangaza kikosi cha wachezaji wake 23 ambao wataenda kucheza michuano ya kombe la dunia itakayofanyika Urusi mwezi Juni mwaka huu.

Deschamps amewashangaza mashabiki wa soka duniani kwa kuwaacha baadhi ya wachezaji ambao wamezoeleka kwenye kikosi hiko akiwemo Alexandre Lacazette (Arsenal),Kingsley Coman (Bayern Munich), Dimitri Payet (Olympique de Marseille), Anthony Martial (Manchester United) na Karim Benzema (Real Madrid).

Akitangaza...

 

3 years ago

Global Publishers

Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa

SIMBA-YANGA-3.jpg
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...

 

2 years ago

Bongo5

Hiki ndio kikosi bora cha Jamie Carragher katika ligi kuu ya Uiengereza

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool, Jamie Carragher ambaye sasa hivi anafanya kazi ya mchambuzi wa soka huko nchini Uiengereza, amemua kuweka wazi kikosi chake ambacho anakiona ndio bora katika ligi kuu ya Uiengereza, katika kutaja kikosi chake amewshangaza wengi kwa kuwatema nyota kama Zlatan, Ozil pamoja na Sadio Mane.

Hii ndio listi ya kikosi chake bora katika ligi kuu ya England

1.Pickford
2.Azpilicueta
3. Bertrand
4. David Luiz
5. Van Dijk
6. Ng’olo Kante
7.De Bruyne
8. Adam...

 

2 years ago

Global Publishers

Kikosi Cha Yanga vs TP Mazembe, Leo hiki Hapa, Kessy Ndani

Yanga inatarajiwa kuwa mgeni wa TP Mazembe, leo jijini Lubumbashi katika mchezo wa kukamilisha ratiba wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, saa tisa na nusu alasiri.

Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi.

Yanga itaingia uwanjani ikiwa na beki wake, Hassan Kessy ambaye itakuwa ni mechi yake ya kwanza kucheza akiwa na timu hiyo katika michuano ya kimataifa lakini itakuwa kama kukamilisha ratiba tu kwa kuwa haina nafasi ya kusonga mbele.

KIKOSI KINACHOANZA HIKI HAPA
Deo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL

Smalling-Vardy-Ozil-De-Bruyne

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.

Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.

Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;

Golikipa

Jack Butland -Stoke...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani