Hili ndio gazeti lililothibitisha Jose Mourinho kusaini mkataba na Man United

kt

Kwa sasa ukisikia jina la kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho kitakachokujia kwa haraka haraka ni timu gani atajiunga nayo baada ya kufukuzwa kazi na Chelsea, mengi yameandikwa kuhusu Jose Mourinho kuwa katika mpango wa kujiunga na Man United mwisho wa msimu. Bado uongozi wa Man United na Mourinho hawajazungumza chochote juu ya tetesi hizo zaidi […]

The post Hili ndio gazeti lililothibitisha Jose Mourinho kusaini mkataba na Man United appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Kama Jose Mourinho akitua Man United, hawa ndio mastaa wa soka watakaojiunga nae …

Jose-Mourinho-daug_3258668b

Baada ya uvumi wa muda mrefu sasa kila shabiki wa soka la Uingereza hususani wa klabu ya Man United anatamani msimu umalizike ili zile stori zinazoandikwa sana na kuongelewa katika vyombo vya habari zipatiwe majibu yake. Kwa zaidi ya wiki tano sasa klabu ya Man United inahusishwa kutaka kumtimua kazi kocha wake Louis van Gaal […]

The post Kama Jose Mourinho akitua Man United, hawa ndio mastaa wa soka watakaojiunga nae … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Eti sio Jose Mourinho tena anayetua Man United !!! Feb 9 Man United wanatajwa kuwa na mipango na kocha huyu …

CaucgqpWEAM42PE

Kwa zaidi ya wiki nne sas klabu ya Man United inaripotiwa kuwa na mpango wa kutaka kumfukuza kazi kocha wa timu hiyo muholanzi Louis van Gaal kwa kile kinachodaiwa kuwa kutoridhishwa na uwezo wa timu, kwa kiasi kikubwa jina kubwa lililokuwa linatajwa kumrithi Louis van Gaal kama akifukuzwa Man United ni Jose Mourinho. Ila gazeti la […]

The post Eti sio Jose Mourinho tena anayetua Man United !!! Feb 9 Man United wanatajwa kuwa na mipango na kocha huyu … appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Mengine yalioandikwa kuhusu Jose Mourinho na Man United

<> at Old Trafford on August 26, 2013 in Manchester, England.

Bado headlines za kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal kutimuliwa na ndani ya Man United na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho zinazidi kuchukua headlines, huu ni mtihani ambao majibu yake yatajulikana mwisho wa msimu baada ya Ligi Kumalizika. Hadi sasa habari za Jose Mourinho kujiunga na […]

The post Mengine yalioandikwa kuhusu Jose Mourinho na Man United appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Jose Mourinho alalama hakuna anayeishabikia Man United

Jose Mourinho alalama hakuna anayeishabikia Man United

 

3 years ago

Bongo5

Hii ndo tarehe ya Jose Mourinho kutua Man United?

Jose-Mourinho-United-main

Habari kuhusiana na kocha Jose Mourinho kujiunga na Manchester United zimerudi tena wiki hii baadhi ya vyombo vya habari vya Ureno na Hispania vimekuwa vikikaririwa vikiripoti kwamba Mourinho tayari amesaini mkataba wa awali kwa ajili ya kutua Old Trafford majira ya kiangazi ya msimu huu.

Jose-Mourinho-United-main

Marca wameandika kuwa Jose Mourinho atakuwa kocha mpya wa Man United kuanzia July 1 2016, licha ya kuwa Marca wameandika stori hiyo kama tetesi, lakini inapata nguvu kutokana na gazeti hilo kuandika stori...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tizama picha 4 za Jose Mourinho akiwa mazoezi na wachezaji wa Man United

Zikiwa zimesalia wiki nne kabla ya kuanza kwa msimu wa 2016/2017 kwa Ligi Kuu ya Tanzania, vilabu mbalimbali tayari vimeanza kujifua kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya.

Manchester United ni moja ya vilabu ambavyo vimeingia kambini ikiwa na kocha mpya, Jose Mourinho na wachezaji wengine wapya ambao wamesajiliwa kutoka vilabu mbalimbali barani Ulaya.

Mo Blog imekuandalia picha nne za kocha Mourninho alivyoanza kibarua chake cha kuinoa Man United katika Uwanja wa mazoezi wa Carrington.

363B3FC900000578-0-image-a-62_1468413102638

Kocha...

 

3 years ago

MillardAyo

Staa wa Real Madrid amegoma kujiunga na Man United ya Jose Mourinho

asdea

July 21 2016 bado headlines za magazeti mengi ya michezo barani Ulaya yameamka na headlines za usajili, katika kipindi hiki ni kawaida kusikia mchezaji fulani akihitajika na timu fulani, sasa leo July 21 2016 beki wa kati wa Real Madrid Raphael Varane ameingia kwenye headlines baada ya kugoma kujiunga na Man United. Stori za Raphael […]

The post Staa wa Real Madrid amegoma kujiunga na Man United ya Jose Mourinho appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Mwanaspoti

REKODI: Louis Van Gaal ampiku Jose Mourinho Man United

NILIWAHI kusema kupitia matangazo ya ulimwengu wa soka, yanayorushwa hewani mubashara na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kutoka England, nyumbani kwa Ligi Kuu ya England (EPL), kuwa ushindi wa Leicester mwaka jana, ungeweza kuwa moja ya michezo michafu inayochezwa kwenye mizunguko ya soka la hapa England.

 

2 years ago

MillardAyo

Mkongwe wa Arsenal ametaja anachoamini kinamsumbua Jose Mourinho Man United

jose-mourinho-in-united-training-1024x602

Kiungo na mkongwe wa zamani wa Arsenal Patrick Vieira ameweka wazi mtazamo wake kuhusu mwenendo wa Man United na Jose Mourinho wa kutopata matokeo mazuri, Vieira amewahi kufundishwa na kufanya kazi na Jose Mourinho kati ya mwaka 2008/10 wakiwa Inter Milan. “Sijui kama amepoteza mbinu zake na sifikiriii kama amebadili falsafa au mbinu zake, nafikiri amekuwa […]

The post Mkongwe wa Arsenal ametaja anachoamini kinamsumbua Jose Mourinho Man United appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani