HIZI NDIYO TIMU 5 AMBAZO HAZINA UZOEFU KOMBE LA DUNIA 2018

Kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2018 zinazoanza Alhamisi Juni 14 nchini Urusi, yafuatayo ni mataifa ambayo wachezaji wake wamechezea mechi chache zaidi katika timu zao hivyo kuwa na uzoefu mdogo.
Timu ya taifa ya Uingereza imeingia kwenye orodha hiyo ikiwa na kikosi cha wachezaji 23 ambao wameichezea timu hiyo kwa jumla ya mechi 465 hivyo kushika nafasi ya pili katika timu ambazo hazina uzoefu.
Nafasi ya tano inashikiliwa na timu ya taifa ya Serbia ambayo wachezaji wake 23 waliokwenda Urusi...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia 2018 - mambo muhimu kuhusu nchi ambazo tayari zimefuzu michuano ya Urusi

Michuano ya mwisho ya hatua za makundi kufuzu kwa Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka ujao inaendelea kufanyika.

 

9 months ago

BBCSwahili

Hizi ndio nambari zenye uzito katika Kombe la Dunia 2018

Timu 32 zitacheza katika mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia Urusi kwa siku 32.

 

9 months ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia 2018: Chagua timu yako ya Afrika

Chagua timu yako, waonyeshe rafiki zako na pata taarifa kuhusu historia ya wachezaji wako katika Kombe la Dunia.

 

2 years ago

Bongo5

Brazil timu ya kwanza kufuzu kombe la Dunia 2018 Russia

Timu ya taifa ya Brazil alfajiri ya leo imekuwa ni timu ya kwanza kufuzu michuano ya Kombe la Dunia 2018 Russia, baada ya kuifunga timu ya taifa ya Paraguay kwa magoli 3-0.

Magoli ya Brazil yalifungwa na Coutinho alifunga goli la kwanza na la pili lilifungwa na Neymar na goli la mwisho lilikuwa katika dakika tano za mwisho ambapo Coutinho alicheza vyema kwa muuganiko na Marcelo, ambao walipeleka pasi kwa Paulinho aliyekuwa amepanda mbele na akauunganisha mpira kwa kisigino ukakuta Marcelo...

 

10 months ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia Urusi 2018: Manahodha wa timu pinzani wamtetea nyota wa Peru kwa Fifa

Manahodha wa Australia, Denmark na Ufaransa wamewasilisha ombi la pamoja kwa shirikisho la soka duniani Fifa kulitaka liondoe marufuku dhidi ya mchezaji Paolo Guerrero.

 

2 years ago

Channelten

Timu ya taifa ya Marekani imekumbana na kipigo kikali katika mechi za kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2018

joel-campbell_2942542b

Timu ya taifa ya Marekani imekumbana na kipigo kikali katika mechi za kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2018 cha mabao 4-0 kutoka kwa Costa Rica usiku wa kuamkia leo.

Mshambuliaji Joel Campbell aliifungia timu yake mabao mawili, huku Johan Venegas na Christian Bolanos wakaongeza mabao mawili.

Kocha mkuu wa Marekani Jurgen Klinsmann, ambaye timu yake hiyo ilipoteza pia katika mechi yake ya kwanza dhidi ya Mexico, amesema ‘ni kipigo kikubwa zaidi katika miaka yake mitano tangu aanze kuifundisha...

 

2 years ago

Channelten

Timu 48 Kombe la Dunia Afrika yaula, FIFA yairuhusu kupeleka timu 9

World-Cup-2010-South-Afri-011

Shirikisho la vyama vya soka duniani FIFA limeazimia kuwepo kwa ongezeko la timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia kutoka 32 za sasa hadi 48.

FIFA imefafanua ni kwa namna gani timu 48 zitaweza kushiriki michuano hiyo.

Kila mwanachama wa FIFA atakuwa na uwezo wa kuongeza walau timu katika michuano ya mwaka 2026.

Mwenyeji wa fainali hizi ataingia moja kwa moja kama ilivyokua awali, Afrika itakuwa na timu 9 kutoka 5 za awali, Asia 8 kutoka timu 4 za awali na Ulaya zitakuwa16 kutoka...

 

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo: Rais wa (FIFA) ameongeza timu ngapi kwenye idadi ya timu zitazoshiriki michuano ya Kombe la Dunia?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani