Hizi Team Kiba, Diamond ni Sumu

KAMA una simu inayoweza kufungua mitandao ya kijamii, basi ukizubaa utakuwa na bahati ya kushuhudia madudu tu na simu hiyo haitakuwa na faida kwako hata kidogo.

kiba9023

Mitandaoni kuna mambo mengi sana yanaendelea na hayana maana hata kidogo ingawa wanayoyaendeleza huamini wana uwezo mkubwa wa kuzungumza mambo na wanachosema ni sahihi hasa.

Kwenye Facebook, Instagram na Whatsapp ndiko jalala la kila asiye na uwezo kufikiri au kutafakari na kulichambua jambo. Ili mradi kuna uhuru wa kutoa maoni,...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo Movies

Mpasuko,Aslay Kubomoa Team Kiba, Team Diamond Leo?

HITIMISHO la msimu wa Tigo Fiesta unatarajia kuhitimishwa leo kwenye Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, huku mashabiki mbalimbali wakisubiri kwa hamu kuhudhuria tukio hilo la kihistoria kwenye kiwanda cha burudani Bongo.

Pamoja na kutokuwapo kwa msanii wa kimataifa kama ilivyozoeleka, lakini mashabiki wa burudani wameonekana kuridhishwa na wasanii wa hapa nyumbani ambao soko la ushindani limezidi kujidhihirisha kadiri muda unavyokwenda na kuwafanya wazidi kufanya vizuri.

Licha...

 

4 years ago

GPL

DIAMOND, KIBA HIZI MNAZITAKA WENYEWE!

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. KWENU wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba. Bila shaka mko poa na mnaendelea na mishemishe zenu za kila siku. Mkitaka kujua hali yangu, mimi ni mzima wa afya na ninaendelea na majukumu yangu ya kila siku kuhakikisha mkono unaenda kinywani kama nyinyi mnavyofanya muziki kujitengenezea mamilioni. Madhumuni ya kuwakumbuka leo kupitia barua hii ni kutaka...

 

4 years ago

Bongo Movies

Wema Asema Hampendi Tena Diamond, Hatishwi na Zari, Yeye ni Team Kiba

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema alipokuwa akihojiwa na Sebo  mtangazaji wa EFM, kwenye kipengele kiitwacho Kabali ambapo wema aliambiwa  ajibu maswali kadhaa kama ndiyo au hapana na badaye kupewa nafasi ya kifafnua.

Wame aliulizwa kama bado anampenda Diamond, na kama Zari ni tishio kwake kwa upande wa fasheni ambapo yote hayo Wema alijibu hapana na kijibu ndiyo alipoulizwa kama yeye ni Team Kiba.

Akifafanua kuhusu kuhusu kutompenda tena Diamond Wema alisema kuwa kila kimkumbuka...

 

11 months ago

Michuzi

TEAM SAMATTA WAIPAPASA TEAM KIBA KWA 4-2 MBELE YA WAZIRI DKT MWAKYEMBE


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisson Mwakyembe akitambulishwa wachezaji wa Team Ali Kiba  na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva  katika mchezo wa hisani uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo , Katika mchezo huo Team Samatta imeifunga Team Kiba magoli 4-2 na kuibuka washindi wa mchezo huo mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwenye uwanja wa Taifa leo, Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na Kiwanda cha Maziwa ya ASAS DAIRIERS cha Iringa
Na Zainab Nyamka, Globu ya...

 

2 years ago

Bongo5

Kumbe Barakah The Prince si team Kiba! Ni team …

Kama ulijua Barakah The Prince ni team Kiba, utakuwa umekosea kwa mujibu wa muimbaji huyo.

13703179_103549963432328_613728120_n

Hitmaker huyo wa Nisamehe adai kuwa hayupo team yoyote kati ya Kiba na Diamond ila anachotaka yeye ni mashabiki kutoka pande zote hizo mbili.

“Mimi sina team kiukweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini pia ni shabiki wa Ali. Diamond ameleta heshima kubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva. Ali ni msanii mkongwe ambaye ameniispire sana kuingia kwenye huu muziki, lakini pia Diamond anafaa kuwa role model....

 

4 years ago

Mtanzania

Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu jukwaa moja Pasaka

Ali ...NA MWANDISHI WETU
MSANII Ali Kiba anatarajiwa kufanya onyesho lake la pili ‘live’ siku ya Sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Onyesho hilo lililopewa jina la Mwana Dar Live, litakuwa la pili kwa msanii huyo kuimba ‘live’ na bendi ambapo mara ya kwanza aliimba mwanzoni mwa mwaka huu wakati wa Tamasha la Sauti za Busara katika Ukumbi wa Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
Mratibu wa onyesho hilo, Abdallah Mrisho, alisema wasanii...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani