Hoja 11 zamrejesha Prof. Lipumba CUF

HOJA 11 zilizotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, zimetosha kumrejesha katika wadhifa wake, Mwenyekiti ‘aliyejiuzulu’ wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Hoja 6 zamng’oa Prof.Lipumba CUF

lipumba-na-seif

Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amewasilisha tuhuma sita dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye amefukuzwa uanachama.

Maalim Seif aliwasilisha hoja hizo mbele ya kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama hicho kilichofanyika jana mjini Unguja visiwani Zanzibar, ambapo wajumbe walitumia Katiba ya CUF, Ibara 10(1)(C), kumfukuza uanachama Profesa Lipumba.

Wakati Baraza Kuu likichukua hatua hiyo,...

 

2 years ago

Global Publishers

Tundu Lissu : Prof. Lipumba Hana Hoja, Anawavuruga CUF

MBUNGE wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Tundu Lissu, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Iblahim Lipumba amekosa hoja ya kuzungumza na badala yake anawavuruga wanachama wa CUF.

Lissu ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema amesema Lipumba hakuwahi kuwa na idadi kubwa ya wabunge kama walivyo sasa tangu alipoanza kugombea urais zaidi ya kupata viti viwili tu lakini walipoungana mwaka jana katika umoja wao wa Ukawa...

 

2 years ago

Michuzi

CUF ya Maalim Seif kuiburuza CUF ya Prof.Lipumba mahakamani

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
BODI ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi (CUF ), imefungua kesi ya madai dhidi wanachama wake nane akiwemo Naibu Katibu Mkuu, Magdalena Sakaya
Kesi hiyo imefunguliwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikitaka wanachama hao wasijihusishe na harakati  zozote za chama hicho.
Mbali ya Sakaya ambaye pia ni mbunge wa Kaliua mkoani Tabora, wadaiwa wengine ni Thomas Malima, mbunge wa Mtwara Mjini,Mafta Nachumu, Omar Mhina Masoud, Abdul Kambaya, Salama...

 

2 years ago

Global Publishers

CUF Wamkataa Prof. Lipumba

prof+LipumbaAliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba. Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akitengua uamuzi wake wa kung’atuka kwenye wadhifa huo na kuomba kurejea, viongozi wa juu wa chama hicho wamepinga hatua hiyo wakisema katiba yao hairuhusu na kwamba anakwenda kukiua chama. Kauli za viongozi hao, zimekuja muda mfupi baada ya Profesa Lipumba kutangaza nia hiyo jana kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho, Buguruni huku akibainisha kuwa amefanya hivyo baada ya...

 

2 years ago

Mtanzania

Prof. Lipumba aivuruga CUF

Ibrahim_LipumbaNA EVANS MAGEGE

MWENENDO wa mambo ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) sasa si shwari baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, kutangaza nia ya kurejea kwenye wadhifa wake huo.

Tayari ndani ya CUF viongozi, wanachama na mashabiki wa chama hicho wamegawanyika kati ya wale wanaomuunga mkono na wanaompinga katika nia ya kuutaka tena wadhifa wa uenyekiti baada ya kujiuzulu Agosti 5, mwaka jana kwa kile alichoeleza kuwa ni kutoridhishwa na uamuzi wa vyama vya Umoja wa...

 

2 years ago

Habarileo

Prof Lipumba ajikabidhi CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba leo amejikabidhi ofisi ya chama hicho huku akiandamana na umati wa wafuasi wa chama hicho ambao walisindikizwa kwa ngoma ya mdundiko.

 

2 years ago

MwanaHALISI

CUF yampuuza Prof. Lipumba

NASSOR Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar amesema Katiba ya chama hicho haimpi mamlaka yoyote Profesa Ibrahim Lipumba kutengua uteuzi wa wakurugenzi na manaibu wakurugenzi kama alivyotangaza, anaandika Pendo Omary. Prof. Lipumba amabaye anajiita mwenyekiti wa CUF huku akiungwa mkono na Msajili wa Vyama Vya Siasa juzi alitangaza kutengua uteuzi wa ...

 

3 years ago

Mwananchi

Prof. Lipumba ajiuzulu uenyekiti CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba leo ametangaza kujiuzulu uenyekiti ndani ya chama hicho.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Prof. Lipumba atumbua tena CUF

MGOGORO ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) bado unafukuta ambapo leo Prof. Ibrahim Lipumba, amegomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho ulioitishwa kesho visiwani Zanzibar, anaandika Pendo Omary. Anasema, taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya habari kuhusu kufanyika kwa mkutano huo hazitambua kwa kuwa, mamlaka zinazohusika kuitisha kikao hicho hazijakidhi matakwa. Akizungumza na waandishi ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani