Hoja kuu ya wapinzani chini ya uongozi wa Rais Magufuli ni ipi?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Wapinzani wa Pinda jengeni hoja

WAJUZI wa kisiasa wanaamini kwamba hoja inajengwa kwa mtu kujenga hoja. Ndio maana hata usemi wa Kiingereza unasisitiza katika hilo kwamba; kama huna utafiti wa kutosha juu ya jambo fulani,...

 

11 months ago

Mwananchi

Rais Magufuli amtofautisha Zitto na wapinzani wengine

Rais Magufuli amewasili kwenye chanzo cha mradi mkubwa wa maji na amezindua mradi utakaozalisha  lita 42 milioni kwa siku utakaomalizika   Novemba 30, mwaka huu.

 

3 years ago

StarTV

Rais Magufuli awataka wapinzani kuondoa tofauti zao

 

Rais wa awamu ya Tano Dokta John Pombe Magufuli amevitaka vyama vya upinzani nchini kuondoa tofauti zao na badala yake washirikiane pamoja katika kuwatumikia watanzania ili kufanikisha azma ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kuapishwa rasmi na kuwa rais wa Jamhri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano Katika Sherehe zilizofanyika JIjini Dar es Salaam.

Kushushwa kwa  Bendela ya Rais inaonesha kufikia ukomo kwa uongozi wa Serikali ya awamu ya nne na sasa...

 

2 years ago

StarTV

UVCCM yawashauri wapinzani kutoubeza Utendaji wa Rais Magufuli

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM umevishauri vyama vya upinzani hususani UKAWA kutobeza utendaji wa Rais wa awamu ya tano Dokta John Magufuli na badala yake wamuunge mkono kwa maendeleo ya nchi.

vlcsnap-2016-05-19-11h46m55s165

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasihaji Sera, Utafiti na Mawasiliano wa UVCCM Abubakar Asenga alipozungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya umoja huo jijini Dar es Salaam.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wamesema siasa za kupinga maendeleo kwa sasa...

 

1 year ago

Mtanzania

RAIS MAGUFULI KAULI ZAKO KUWA DARAJA LA WAPINZANI ?

Rais John Magufuli

Rais John Magufuli

NA JAVIUS KAIJAGE,

DESEMBA 31 mwishoni mwa   mwaka jana, Rais John Magufuli akiwa katika mapumziko  yake mafupi, alitua  mkoani  Kagera ikiwa zimepita siku 112 tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi.

Akihitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo, Januari  2, mwaka huu  katika  viwanja vya shule ya Sekondari   ya Ihungo  mjini Bukoba, Rais  aliwahutubia mamia ya wananchi waliofurika kumsikiliza.

Katika hotuba yake iliyojaa  msisimuko, Mheshimiwa Rais aliwapa pole wakazi wa...

 

2 years ago

Mwananchi

KAKAKUONA : Rais Magufuli, wafanye wapinzani jicho lako la pili

Kama ningeteuliwa kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya siasa, ushauri wangu wa kwanza kwa Rais John Magufuli, ungekuwa kuruhusu mikutano ya ‘kitaifa’ ya vyama vya siasa.

 

2 years ago

Global Publishers

Wapinzani Wawasilisha Hoja ya Kumwondoa Madarakani Naibu Spika, Dk Tulia

naibu spika tulia Wabunge wa upinzani wamewasilisha kwa Spika wa Bunge hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kwa kutokuwa na imani naye. Hatua hiyo imefikiwa na wabunge hao kufuatia kutoridhishwa na mwenendo wa uongozi wa Dk Tulia anapokalia kiti cha Spika. Tangu Jumanne wiki hii, wabunge hao wamekuwa wakisusa vikao vinavyoongozwa na kiongozi huyo kwa madai anaminya demokrasia. Walifikia uamuzi huo baada ya Dk Tulia kuzuia kujadiliwa hoja ya kufukuzwa kwa wanafunzi zaidi ya 7,000 wa...

 

1 year ago

Bongo5

Hoja za Zitto baada ya Rais Magufuli kusema nchi haina njaa

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ametoa hoja zake baada ya Rais Dkt John Mafuguli kusema kuwa nchi hii haina balaa la njaa.

Zitto ameyaainisha hayo katika ukurasa wake wa Facebook kama ifuatavyo:

Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa Taarifa za uwongo na majungu. Muda utasema. Wengine tumesema, tumeonya kwa mapenzi mema ya nchi. Wewe ndio mwenye vyanzo vingi na mkono mrefu. Umetamka hakuna njaa. Umefunga mjadala. Lakini uwe tayari kubeba mzigo wa maamuzi yako yanayotokana na habari...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani