HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUKABIDHI VYETI KWA WAJUMBE WA KAMATI ZA UCHUNGUZI WA MADINI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Nehemiah Eliakim Osoro  cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWAAPISHA LEO WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA UCHUNGUZI WA UDONGO WA MADINI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali sehemu mbalimbali hapa nchini mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.

 .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye...

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Nehemiah Eliachim Osoro kuwa mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa mjumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Nehemiah Eliakim Osoro  cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Nehemiah Eliachim Osoro kuwa mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa mjumbe wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa...

 

2 years ago

Malunde

MUHTASARI WA RIPOTI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA MADINI ULIOWASILISHWA KWA RAIS MAGUFULI

Huu ni muhtasari wa kamati ya uchunguzi wa mchanga wa madini kama ulivyowasilishwa na mwenyekiti wake Prof Abdulkarim Hamis Mruma hii leo Ikulu!.
HADIDU ZA REJEA!.
1.Kamati ilikuwa na kazi ya kuchunguza aina na kiwango cha madini yaliyopo ndani ya mchanga wa madini unaosafirishwa nje!.
2.Chimbuko la utafiti huo ni kutojulikana kwa kiwango cha makinikia na mikataba yake!.
3. Hadidu za rejea zilikuwa ,Kufanya uchunguzi wa makinikia kwenye bandari ya dsm na migodini,Kufanya uchunguzi wa kimaabara...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Video: Rais JPM akitoa hotuba baada ya kukabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini

Hotuba ya Rais Magufuli baada ya kukabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliotakiwa kusafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo mbalimbali ya madini nchini mara.

Amekabidhiwa ripoti hiyo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

The post Video: Rais JPM akitoa hotuba baada ya kukabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani