Hotuba ya Kuliaga Taifa: Obama asisitiza umoja na demokrasia

“Ninawataka muamini. Sio katika uwezo wangu wa kuleta mabadiliko, lakini katika uwezo wako mwenyewe,” alisema Obama.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

VOASwahili

Obama kuliaga taifa wiki ijayo Chicago

Hotuba yake ni iutamaduni wa siku nyingi wa marais wa Marekani, ulioanzishwa na George Washington mwaka 1796.

 

4 months ago

VOASwahili

Obama kuliaga taifa Jumanne usiku akiwa Chicago

Sherehe za kuapishwa rais mteule, Donald Trump zitafanyika Januari 20, wakati ambapo atakuwa rasmi rais wa 45 wa Marekani.

 

4 months ago

BBCSwahili

Hotuba ya Obama: Demokrasia inakuhitaji

Rais wa Marekani Barack Obama amewahimiza Wamarekani kuitetea demokrasia, kwenye hotuba yake ya mwisho kama rais wa Marekani mjini Chicago.

 

5 months ago

VOASwahili

Hotuba ya mwisho ya Rais Obama kuhusu usalama wa taifa

Wiki hii Rais Obama alihutubia taifa na kuongeleza zaidi usalama wa Marekani.

 

2 years ago

Mwananchi

Amani, umoja na demokrasia vitawale

Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 zinaanza leo. Uchaguzi huu wa kuchagua madiwani, wabunge na rais unafanyika kwa mara ya tano tangu kuanza kwa vyama vingi mwaka 1992.

 

11 months ago

Dewji Blog

Hotuba ya Zitto Kabwe katika uzinduzi wa “Operesheni linda Demokrasia Nchini”

Ndugu Wananchi, Nawashukuru sana kwa kujitokeza kwenu kuitikia wito wetu wa kuja kutusikiliza. Tumewaita hapa ili kuwaeleza kinachoendelea katika nchi yetu hivi sasa na madhara makubwa yanayoweza kutokea iwapo hatutosimama kidete dhidi ya mbinu zozote za kufifiza na kuminya demokrasia na misingi ya uwajibikaji katika nchi yetu.

Mwaka 2015 tulikwenda kwenye uchaguzi kuchagua madiwani, wabunge na Rais. Baada ya Uchaguzi kumalizika Serikali mpya iliundwa na Serikali za Mitaa (Halmashauri)...

 

5 months ago

BBCSwahili

Obama asisitiza ushirikiano kimataifa

Obama amesema kwamba Marekani lazima iendelee kuwa nguzo ya nguvu na nguzo ya matumaini kwa watu duniani kote

 

2 years ago

Habarileo

Waziri Kombani asisitiza umoja kwa watumishi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina KombaniWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amewataka watumishi wa umma kuwa na ushirikiano ili kuweza kutimiza wajibu wao kikamilifu kwani migogoro na migongano ndani ya taasisi inazorotesha utendaji kazi wa kila siku.

 

3 years ago

Tanzania Daima

Prof. Maghembe asisitiza umoja, amani Mwanga

WANANCHI wa Jimbo la Mwanga lililopo mkoani Kilimanjaro wametakiwa kujenga mshikamano, umoja na upendo miongoni mwao, kwani kwa kufanya hivyo wataweza kujiletea maendeleo. Wito huo ulitolewa na Mbunge wa jimbo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani