Hotuba ya Oprah Winfrey yasisimua kwenye tuzo za Golden Globe

Tamasha za 75 la kuwatuza wachezaji hodari wa filamu na vipindi vya televisheni, Golden Globes Awards, zilifanyika Jumapili usiku katika hoteli moja mjini Berverly Hills, California.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Oprah Winfrey - Je hotuba yake ni ishara kwamba atawania urais?

Njia nne ambazo hotuba yake katika eneo la Golden Globes ilionyesha ishara kwamba ana mpango wa kuania urais

 

5 years ago

GPL

OPRAH WINFREY ATIMIZA MIAKA 60

Oprah Gail Winfrey. MWIGIZAJI, mmiliki wa vyombo vya habari, mtangazaji, prodyuza kutoka nchini Marekani, Oprah Gail Winfrey leo ametimiza umri wa miaka 60. Oprah ambaye amejishindia tuzo mbalimbali kupitia kipindi chake cha 'The Oprah Winfrey Show' alizaliwa Januari 29, 1954 Mississipi nchini Marekani. Oprah ni bilionea namba moja ambaye ni Mmarekani mweusi wa karne ya 20. ...

 

5 years ago

Vijimambo

Balozi Mulamula akutana na Oprah Winfrey

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na na aliyekuwa mtangazaji wa luninga ambaye sasa anamiliki kituo cha luninga chake mwenyewe  Oprah Winfrey ndani ya mgahawa uliopo hotel ya Fairmont Georgetown, Washington, DCBalozi Liberata Mulamula wakibadilishana mawili matatu na Prah Winfrey walipokutana leo siku ya Jumamosi Sept 20, 2014

 

2 years ago

BBCSwahili

Oprah Winfrey kuwania urais Marekani?

Oprah Winfrey huenda akawania urais kufuatia hatua ya rais Donald Trump kushinda urais.

 

4 years ago

Vijimambo

NEWS:DONALD TRUMP WANTS OPRAH WINFREY TO BE HIS RUNNING MATE

I am sure we have all heard  Donald Trump announcement that he was running for US President. And now he says he wants talk show legend Oprah Winfrey as his running mate. In an interview on ABC News, the billionaire businessman was asked who he would like as a running mate and he replied, "I think Oprah would be great. I'd love to have Oprah. I think we'd win easily, actually."

Lets wait and hear what Will Oprah say.

 

5 years ago

Michuzi

Wadau wa Tanzania wakutana na Oprah winfrey nchini Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Mh. Liberata Mulamula na Afisa Mwandamizi wa Mambo ya Nje,Hassan Mwemeta pamoja na wadau wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanamama Oprah Winfrey kwenye hoteli ya Fairmount,nchini Marekani leo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Trump asema itakuwa 'raha' kushindana na Oprah Winfrey 2020

Rais Donald Trump anasema kuwa ''itakuwa furaha'' kutetea wadhfa wake wa urais dhidi ya aliyekuwa nyota wa kipindi cha mazungumzo nchini Marekani Oprah Winfrey

 

3 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: WILL SMITH, JADA PINKETT AND FAMILY ON THE OPRAH WINFREY SHOW (Full Version)
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani