HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI KWENYE IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA ARUSHA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAACK AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO LA KATOLIKI ARUSHA LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri na katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu...

 

3 weeks ago

CCM Blog

MAGUFULI ASAIDIA KUKUSANYA SADAKA KWA WAUMINI KWENYE IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU JIMBO KUU LA KATOLIKI MBEYARais Dkt. John Magufuli akikusanya Sadaka kwa waumini mbalimbali waliokusanyika katika uwanja wa Sokoine katika ibada ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.8 9.. Mke wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli  Mama Janeth Magufuli akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.1Askofu...

 

1 week ago

Malunde

LIVE: Ibada Ya Kumsimika Askofu Mkuu Wa Jimbo Kuu Katoliki La Mwanza

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika Ibada ya Kumsimika Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Mwanza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande katika eneo la Kawekamo Jimbo kuu Katoliki la Mwanza .Mei 12,2019.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA PILI WA EAGT, DKT MWAKIPESILE, APANGA KUKUTANA NA VIONGOZI WA DINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ataitisha kikao cha viongozi wa dini zote hivi karibuni ili wapange na kuainisha ni mambo gani ambayo wanaweza kutoa ushauri kwa Serikali na kupata njia bora ya kuwahudumia Watanzania. Ametoa ahadi hiyo leo mchana (Jumapili, Februari 7, 2016) wakati akizungumza na mamia ya waumini walioshiriki ibada ya kumsimika Askofu Mkuu wa Pili wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Askofu Dk. Brown Abel Mwakipesile iliyofanyika kwenye kanisa la...

 

3 weeks ago

Malunde

Picha : RAIS MAGUFULI NA MKEWE WASHIRIKI IBADA YA NYAISONGA KUSIMIKWA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo. PICHA NA IKULU
Mke wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.Askofu Mkuu wa...

 

4 years ago

Vijimambo

LOWASA, SUMAE, NYALANDU WASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU WA KKKT KIMANDOLU ARUSHA

Waziri mkuu wa mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mamia ya waumini wa kanisa la KKKT Kimandolu jijini Arusha baada ya Ibada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob Masangwa kuwa askofu wa dayosisi ya kaskazini Kati leo Jumamosi Waumini hao walipigana vikumbo kumpiga picha na simu zao. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani