HOTUBA YA RAIS WA TFF ALIPOZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO JUMATATU MACHI 19-2018

Naomba nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kukutana mahali hapa siku ya leo tukiwa wazima wa Afya,
Lakini pia nichukuwe nafasi hii kuishukuru Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dr.Joseph Pombe Magufuli kwa ushirikiano mkubwa ninaoupata katika uendeshaji wa mpira wa miguu, nimekuwa karibu sana na Serikali kuhakikisha juhudi zetu za kuendeleza mpira zinafanikiwa kwa kasi kubwa sana na mafanikio ya ujio wa Rais wa FIFA ni...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

HOTUBA YA RAIS WA TFF ALIPOZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO LEO JIJINI DAR

UTEKELEZAJI WA TFF KATIKA MAENEO MBALIMBALI
Ndugu Waandishi wa Habari,Sekretarieti ya TFF, Watanzania wote wanaotuangalia na kutusikiliza,mabibi na mabwana habari za asubuhi.
Naomba nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kukutana mahali hapa siku ya leo tukiwa wazima wa Afya,Lakini pia nichukuwe nafasi hii kuishukuru Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dr.Joseph Pombe Magufuli kwa ushirikiano mkubwa ninaoupata katika uendeshaji wa...

 

1 year ago

Michuzi

Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio wa Rais wa FIFA na CAF

 Mjumbe wa CAF na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Bw.Leodger Tenga (katikati) akizungumza na Wahariri wa Habari za Michezo kutoka vyombo mbalimbali nchini (hawapo pichani) kuhusu mambo ambayo uongozi wa FIFA utapenda kujua katika soka la Tanzania ambapo moja wapo ni Maendeleo ya Soka la Wanawake,Kushoto ni  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Yusuph Singo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA TFF WALLACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia (kulia, akiwa na Makamu wake Michael Wambura) atakutana na Wahariri wa Habari za Michezo Jumatano Desemba 27, 2017.
Pamoja na mambo mengine Rais Karia atazungumzia miezi minne tokea uongozi uliopo umeingia madarakani pamoja na vitu vilivyofanyika katika muda huo.Aidha Rais Karia ataelezea changamoto mbalimbali zilizopo TFF pamoja na njia gani inatumika/Itatumika kuweza kupiga hatua kwa mpira wa Tanzania.Taarifa zaidi za mkutano...

 

1 year ago

CCM Blog

MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU, MACHI 5, 2018

Mdau tunakushukuru kwa kupezuri magazeti katika Blog hii ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM Blog), tunakutakia Jumatatu njema

 

1 year ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MACHI 5,2018Magazetini leo Jumatatu Machi 5,2018

 

1 year ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MACHI 12,2018


Magazetini leo Jumatatu Machi 12,2018
 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani