HRW yalaani ukatili unaofanyiwa Watanzania katika nchi za Ghuba

Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Right Watch linalaani ukatili unaofanyiwa wafanyakazi wa ndani kutoka Tanzania katika nchi za Ghuba.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Ukatili unaofanyiwa watoto Zanzibar

Vitendo vya ukatili na udhalilishaji watoto ikiwemo ubakaji visiwani Zanzibar vimeelezwa kuwa tishio

 

3 years ago

Mwananchi

Hatari ya vita vya kimadhehebu katika nchi za Ghuba

Hatua ya karibuni ya kunyongwa kwa pamoja watu 47 waliokuwa wamepewa hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia imezusha malalamiko duniani.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Watanzania wanaoishi nje ya nchi waahidi kuwa wazalendo kwa kuleta maendeleo katika nchi yao

Watanzania wanaoishi nje ya nchi wameziomba  serikali zote mbili ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  kuongeza bidii katika kuwashajihisha wanadiaspora  kuchangia miradi ya maendeleo katika nchi yao.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake Mwakilishi kutoka  wanadiaspora Asha Maulid amesema endapo serikali inawaelimisha wanadiaspora  katika kuchangia maendeleo itaweza kuifikisha nchi katika uchumi wa kati uliokusudiwa.

Amesema kutokana na Zanzibar kuwa na...

 

4 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutafuta soko la Utalii nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini na kukuza pato la Taifa kupitia sekta hiyo.

 

1 year ago

Channelten

UN yalaani vikali ukatili wanaofanyiwa wafanyakazi wa misaada nchini Sudan Kusini

3

Shirika la misaada ya kibinadamu la Umoja wa Mataifa limelaani vikali ongezeko la vitendo vya kikatili dhidi ya wafanyakazi wake nchini Sudan Kusini, ambapo matukio takriban 100 yameripotiwa mwezi Juni ikiwa ni mengi kuliko miezi mingine katika mwaka 2017.

Katika ripoti yake iliyotolewa Jumamosi mjini Juba, Ofisi ya Uratibu wa mambo ya kibinadamu OCHA, imesema ingawa matukio ya vurugu na ukosefu wa usalama yanayoathiri upatikanaji wa misaada ya kibinadamu yamepungua kwa mwezi Juni, lakini...

 

4 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi za Ghuba (GCC)

 Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC) utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Oman na nchi za Ghuba (GCC)   Saeed Saleh Saeed Al Kiyumi (katikati) akizungumza na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba...

 

4 years ago

Dewji Blog

THBUB yalaani mauaji na vitendo vya ukatili wa viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi!

1

Mtoto Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaka 2011).

Press Release_Albino Kukatwa Viungo by moblog

 

2 years ago

Dewji Blog

Watanzania wanaotembelea Uingereza watakiwa kuzingatia taratibu za nchi hiyo katika maombi ya Viza

WATANZANIA ambao wanapenda kutembelea nchi ya Uingereza wametakiwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na nchi hiyo katika maombi ya viza ikiwemo kuomba viza mapema, kuwasilisha nyaraka zote muhimu pamoja na taarifa sahihi ili kuepuka usumbufu usio wa lazima.

Ushauri huo umetolewa leo Bungeni Dodoma na Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha ambaye alijibu swali kwa niaba ya Waziri mwenye dhamana katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

 

2 years ago

Michuzi

Utaratibu wa ajira kwa watanzania wanaofanya kazi za ndani katika nchi za Mashariki ya Kati kuangaliwa upya

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Watanzania 5600 wanakadiriwa kufanya kazi katika kada za madaktari, walimu, wauguzi, wahadhiri, wapishi, wahudumu wa mashambani na bustani na watumishi wa nyumbani, na kati ya hao karibu watanzania 200 ndio wanaofanya kazi za ndani katika nchi za Mashariki ya Kati.

Kada inayofanya kazi za ndani ndio inayopata changamoto nyingi huko ugenini ikiwemo ujira mdogo na vitendo vya unyanyasaji na udhalilishaji. Jambo hili halipaswi kufumbiwa macho. Hata hivyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani