Huddersfield 1-1 Man Utd: Timu ya Solskjaer kucheza ligi ya Europa League baada ya sare ya Huddersfield

Manchester United hawana budi kucheza ligi ya Europa msimu ujao baada ya kutoka sare na Huddersfield

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea 'wanaelekea kucheza Europa League' baada ya sare na West Ham

Huku zikiwa zimesalia mechi sita, kihesabu Chelsea inaweza kufika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, ingawa itabidi timu za Liverpool (ambao wamesalia na mechi tano) na Tottenham (ambao bado wana mechi sita za kucheza) ziporomoke.

 

2 years ago

BBCSwahili

Huddersfield Town wapandishwa daraja kucheza EPL

Baada ya kutoka sare 0-0 dakika 120, Town walitakiwa kupiga mikwaju kwa mara ya pili na walikuwa na bahati tena baada ya kulaza pia Sheffield Wednesday kwa mikwaju ya penalti hatua ya nusufainali.

 

3 years ago

BBCSwahili

Europa League: Feyenoord 1-0 Man Utd

Manchester United walionyesha mchezo usio wa kuridhisha mechi yao ya kwanza katika ligi ndogo ya Ulaya, Europa League ugenini kwa Feyenoord.

 

3 years ago

BBCSwahili

Man Utd kukabili Midtjylland Europa League

Manchester United watakutana na klabu ya Denmark Midtjylland katika hatua ya 32 bora baada ya kuondolewa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

3 years ago

BBCSwahili

Man Utd walazwa Denmark Europa League

Manchester United walijikwaa katika juhudi zao za kufana Ulaya baada ya kushindwa ugenini na klabu ndogo kutoka Denmark katika Europa League.

 

3 years ago

BBCSwahili

Man Utd wapewa Liverpool Europa League

Manchester United watakutana na mahasimu wao wa jadi Liverpool katika hatua ya 16 bora katika Europa League.

 

3 years ago

TheCitizen

Man Utd draw Liverpool in Europa League

Eternal rivals Manchester United and Liverpool were drawn together in the Europa League last 16 in Nyon yesterday.

 

3 years ago

TheCitizen

Ibrahimovic helps Man Utd to Europa League win

Manchester United climbed off the bottom of their Europa League group with an uninspiring win over Ukrainian minnows Zorya Luhansk.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Europa League; Man Utd yaibuka na ushindi mwembamba

Manchester united imepata ishindi wake wa kwanza wa michuano ya EUROPA katika kundi la A baada ya kuifunga Zorya bao moja kwa bila mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa OLD TRAFORD

Bao pekee la United limefungwa na mshambuliaji wake Zlatan Ibrahimovic katika dakika ya 69 ya mchezo akimalizia pasi ya Rooney.

Kwa matokeo hayo Manchester united imefikisha Alama tatu katika kundi A kwani katika mchezo wa kwanza walifungwa na FEYENOORD ya Uholanzi katika mchezo wake wa kwanza

Matokeo mengine ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani