Hull City yatangaza kumtimua kazi Mike Phelan

Klabu ya soka ya Hull City imetangaza kumfukuza kazi kocha wake Mike Phelan ambaye ameifundisha timu hiyo kwa siku 85 pekee.

Kupitia mtandao wa Twitter, timu hiyo imeandika, “We would like to thank Mike for his efforts both as assistant manager and head coach over the last two years.”

Mpaka sasa timu hiyo ndio inaburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza huku ikiwa imeshacheza jumla ya michezo 20, wamefungwa michezo 13, wameshinda mechi tatu na wamedroo michezo 4 ambapo...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Hull city yamtangaza Phelan kuwa kocha mkuu

Klabu ya soka ya Hull City imemtangaza Kocha wa muda wa timu hiyo Mike Phelan kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.

 

3 years ago

Bongo5

Hull city yamtangaza rasmi Phelan kuwa kocha mkuu

klabu ya Hull City imemtangaza rasmi Mike Phelan,kuwa kocha wa kudumu Phelan,54, amekuwa kocha wa muda wa klabu hiyo tangu mwezi julai mwaka huu kufuatia kocha Steve Bruce kuondoka klabuni hapo.

395b9b4f00000578-0-image-a-32_1476376557177

Mwanzo mzuri katika ligi kuu ya England kwa kocha huyu kulimfanya kuwa kocha bora wa EPL mwezi Agosti, mkataba wake klabuni hapo utaisha mwishoni mwa msimu huu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga...

 

4 months ago

BBCSwahili

Manchester United: Ole Gunnar Solskjaer ateuliwa kuongoza Mashetani Wekundu baada ya Mourinho kutimuliwa, kusaidiwa na Mike Phelan

Solskjaer, mwenye miaka 45 sasa, ameifungia United magoli 126 katika misimu 11 chini ya kocha Sir Alex Ferguson.

 

3 years ago

Global Publishers

Simba yatangaza rasmi kumtimua Kerr na benchi lake lote

KERRAliyekuwa Kocha Mkuu  wa Simba, Dylan Kerr.

Klabu ya Simba ya Dar es Salam imeamua kuvunja mkata wake na makocha wa timu hiyo akiwemo Kocha Mkuu Dylan Kerr pamoja na kocha wa makipa Idd Salim

Katika uamuzi huo uliofanywa mchana na kikao cha utendaji waliitwa makocha hao kwa pamoja na kukubali kuvunja mkataba kwa faida za pande zote mbili.

REKODI YA DYLAN KERR SIMBA SC;
Jumla ya Mechi; 30
Mechi alizoshinda; 19
Mechi alizofungwa; 5
Mechi alizotoa sare; 6
MATOKEO YA MECHI ZA SIMBA SC CHINI...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mambo 4 ya kufahamu kuhusu mechi ya kwanza ya EPL 2016/2017 (Hull City vs Leicester City)

Ligi kuu nchini Uingereza maarufu kama English Premier League imeanza rasmi siku ya leo (13/8/2016) kwa ufunguzi wa mechi kati ya Hull City waliokuwa wenyeji wakiwakaribisha Leicester City ambao ni mabingwa watetezi msimu wa 2015/2016 kwenye dimba la KCOM Stadium mashariki mwa mji wa Reading nchini Uingereza.

Goli la Kwanza la msimu.
Goli la kwanza la msimu huu limefungwa na timu ya Hull City kupitia mchezaji wake Adama Diomande dakika ya 45 kwa ‘Tick Tak’, akimalizia mpira uliokuwa umepigwa...

 

3 years ago

BBC

Manchester City 4-1 Hull City

Wilfried Bony and Kelechi Iheanacho score for Manchester City as they beat Hull City 4-1 in the League Cup.

 

5 years ago

BBC

Stoke City 1-0 Hull City

Nigeria striker Peter Odemwingie impresses again as he scores the only goal in Stoke City's Premier League victory over Hull.

 

5 years ago

BBCSwahili

Man City 1 Hull City 0

Man City ilijikwamua kwa bao moja baada ya refa kukataa bao lao la mbeleni walipocheza na Hull

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani