Huu ndio ujumbe wa Diamond kwa Raymond na Fahyma

Diamond aibariki familia mpya ya msanii wa WCB,Rayvanny ambaye amepata mtoto wake wa kwanza wiki hii.

Ni furaha kuitwa baba au mama hasa katika kipindi ambacho ulichokuwa ukikisubiria kwa hamu. Wawili hao wamefanikiwa kupaa mtoto wa kiume ambaye wamempatia jina la Jayden.

Kupitia mtandao wa Instagram, amewapongeza Ray na Fahyma kwa kuandika, “Congrats @rayvanny & @Fahyma_ on your first Born!… Inshaallah, Mwenyez Mungu awape Baraka, awalindie na wajalie kila lenye kheri ili Mumkuze vyema @jaydanvanny ….🙏.”

Mpaka sasa wasanii wanne kutoka familia ya WCB wamefanikiwa kupata mtoto huku Harmonize akiwa bado.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Raymond kwa mabosi wake na Madee

Baada ya kukabidhiwa zawadi ya gari, Raymond amedai alikata tamaa kwenye muziki baada ya kuhangaika kwa muda mrefu lakini sasa anajiona ni mwenye thamani kubwa.

14052223_293260374366992_1495755330_n

Muimbaji huyo wa WCB amewashukuru mabosi wake wa lebo hiyo Mkubwa Fella na Madee kwa mchango wao mkubwa na support wanaoendelea kuitoa kwenye muziki wake. Kupitia instagram, Raymond aliandika:

Kweli Nimeamini Mungu Hana upendeleo.nilikua mtu nilie jikatia tamaa ndani ya miaka takribani mi nne nilikua nikiangaika na muziki wangu...

 

1 year ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Jah Prayzah kwa Diamond Platnumz

Japo Jah Prayzah ni staa mkuwa nchini Zimbabwe lakini bado anaendelea kumshukuru na atamkumbuka kila siku Diamond Platnumz baada ya kufanya video ya wimbo wake wa ‘Watora Mari’ kutazamwa zaidi ya mara milioni nne kwenye mtandao wa Youtube kitendo ambacho hakijawahi kutokea katika maisha yake ya muziki.

Kupitia mtandao wa Instagram, Jah amemshukuru hitmaker wa ‘Marry You’ kwa kuandika:

This is one guy i can give thumbs up all day. Help me thank @diamondplatnumz for the role he has played in...

 

2 years ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Wahu kwa Nameless kwenye birthday yake

Wahu na Nameless ni moja kati ya couple za wasanii waliodumu kwenye ndoa kwa muda mrefu ikiwa ni takriban miaka 11 mpaka sasa.

Wahu

Wahu Kangwi amewaonyesha mashabiki kuwa anampenda mumewe huyo kwa kumtumia ujumbe wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambao kila mtu atatamani kutumiwa na mpenzi wake.

Kupitia mtandao wa Instagram, Wahu ameandika:

It’s definitely birthday month at the Mathenges!! Fam help me wish this wonderful man a HAPPY BIRTHDAY!!!!! I love you babe…with every bit of my soul...

 

1 year ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Shamsa Ford kwa mumewe Chidi Mapenzi

Japo Shamsa Ford anaonekana kupitia katika kipindi kigumu baada ya mumewe Rashidi Saidi aka Chidi Mapenzi jina lake kuwepo katika orodha ya watu wanaodaiwa kuhusika na madawa ya kulevya, muigizaji huyo ameonekana kusimama imara huku akimtia moyo.

Kupitia mtandao wa Instagram, Shamsa ameandika:

nilipoolewa nilijua ipo siku nitapitia hivi vitu huzuni,furaha, maudhi, kudharauliwa, kuchekwa na nk.ila pamoja na yote hayo haitabadilisha mapenzi yangu kwa mume wangu kipenzi. Nina amini kuwa wewe...

 

1 year ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Haji Manara kwa Ramadhani Kessy wa Yanga

Baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga wikiendi iliyopita, Afisa habari wa klabu ya soka ya Simba, Haji Manara amemtumia ujumbe beki wa zamani wa klabu hiyo Hassan Ramadhani Kessy ambaye kwa sasa anacheza Yanga.

Kupitia mtandao wa Instagram, Haji ameweka picha ya mchezaji huyo na kuandika, “Unakumbuka Yale maneno aliotudhalilisha huyo dogo?mwambieni THIS IS SIMBA,,na benchi ndio makazi yako ya kudumu.”

Kessy alisajiliwa na Yanga akitokea Simba mwishoni mwa msimu...

 

1 year ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Riyad Mahrez kwa mashabiki baada ya kushinda tuzo

Ni furaha kwa kila mtu pindi mchango wake unapoonekana na kupewa zawadi – ndicho kilichomtokea Riyad Mahrez usiku wa Alhamisi hii baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa kuwabwaga washiriki wengine akiwemo Pierre-Emerick Aubameyang na Sadio Mane.

Mahrez ambaye ni mchezaji wa Algeria amewashukuru mashabiki wote duniani kutokana na kuwa na msimu mzuri kwa mwaka jana na kufanikiwa kuisaidia timu yake ya Leicester City kushinda taji la ligi kuu ya Uingereza.

Kupiti kwenye mitandao...

 

1 year ago

Bongo5

Huu ndio ulikuwa ujumbe wa Jux kwa Vanessa kwenye Valentine’s Day

Japo Vanessa Mdee amekuwa katika wakati mgumu baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya majina ya watu wanaodaiwa kuhusika kwenye madawa ya kulevya lakini mpenzi wake Jux ameonyesha kuziba masikio na kumjali zaidi.

Hitmaker huyo wa Wivu, kupitia mtandao wa Instagram, Jumanne hii ikiwa ni siku ya wapendanao (Valentine’s Day) amemuandikia ujumbe Vanessa ambao unaonyesha kuwa amemteka zaidi katika himaya yake ya mapenzi. Kupitia mtandao huo, Jux...

 

7 months ago

Bongo Movies

Huu ndio ujumbe wa Ebitoke kwa Ben Pol kwenye birthday yake

Ni vizuri kumuandikia ujumbe mtu wako wa karibu anapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ili kumuonyesha jinsi unavyomjali.

Ebitoke ametumia vizuri nafasi hiyo kwa kumwandikia ujumbe muhimu kupitia mtandao wa Instagram, Ben Pol ambaye pia anadaiwa kuwa na mahusiano naye japo yamekuwa na mashaka kwa watu wengine.

“Help me wish my handsome! #HappyBirthday #HappyNewAge 😘😘😘 @iambenpol #Kidume #Bentoke,” ameandika Ebitoke kwenye mtandao huo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani