Huu ndio ujumbe wa Haji Manara kwa Ramadhani Kessy wa Yanga

Baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga wikiendi iliyopita, Afisa habari wa klabu ya soka ya Simba, Haji Manara amemtumia ujumbe beki wa zamani wa klabu hiyo Hassan Ramadhani Kessy ambaye kwa sasa anacheza Yanga.

Kupitia mtandao wa Instagram, Haji ameweka picha ya mchezaji huyo na kuandika, “Unakumbuka Yale maneno aliotudhalilisha huyo dogo?mwambieni THIS IS SIMBA,,na benchi ndio makazi yako ya kudumu.”

Kessy alisajiliwa na Yanga akitokea Simba mwishoni mwa msimu...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo Movies

Ujumbe wa Haji Manara Kwa Wema Sepetu

Manchester United jana imeendelea kutengeneza njia ya kuignia kwenye nafasi nne za juu baada ya kuifunga Chelsea mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ kwenye Uwanja wa Old Trafford.

Baada ya mechi hiyo msemaji wa timu ya Simba, Haji Manara  ambae mara kadhaa ameonesha kumkubali sana muigizaji Wema Sepetu alisema hivi kupitia akaunti yake ya Instagram Ufundi wa Hererra pale OT leo,,ni zaid ya kumuona Wema Sepetu akiwa na kanga moja iliyolowa maji @shaffih...

 

4 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara amlilia Rafiki yake Ramadhani Masanja Banza StoneOooh Rama Mate...! Nilipenda kumwita hvyo. Ni kijana wa mjini hasa. ilianza nae standard one shule ya msingi darasa moja pale Mnazi Mmoja Primary school  iliyopo mkabala na iliopozaliwa TANU (ofisi ndogo ya CCM ) New street (Lumumba) na tulikuwa sote kwa miaka miwili kabla ya wazazi kunihamishia Bunge Orimary iliopo Ohio street mkabala na ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa miaka hiyo tulikuwa na uswahiba mkubwa wa kitoto. Nikikumbuka halftime mbio zetu kwenda kwa muuza...

 

2 years ago

Global Publishers

Hassan Kessy Amtumia Ujumbe Manara

Wilbert Molandi | CHAMPIONI| Dar es Salaam

BEKI wa pembeni wa Yanga, Juma Abdul amesema hataki kubishana na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliani wa Simba, Haji Manara na badala yake yeye atamuonyeshea kwa vitendo ndani ya uwanja.

Kessy aliitoa kauli hiyo mara baada ya mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa juzi Jumatano na Yanga kufanikiwa kuibuka kwa ushindi wa mabao 2-0 huku beki huyo akianza kwenye kikosi cha kwanza cha Mzambia, George Lwandamina.

Beki huyo, tangu atue kuichezea Yanga...

 

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark

Baada ya habari za mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu ya Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosa nafasi ya kucheza, Haji Manara wa Simba ameuanzisha huu utani huku ikiaminika kwa sasa Okwi anarudi Simba. Mkuu huyu wa idara ya habari na mawasiliano Simba baada ya taarifa za ujio wa Okwi […]

The post Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Haji Manara katoka TFF anaelekea kwa waziri Nape, kisa Yanga na Azam FC

haji

Klabu ya soka ya Simba March 23 kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu yao Haji Manara wamethibitisha kukabidhi barua yao ya malalamiko kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, inayowatuhumu TFF kuwapendelea Yanga na Azam FC katika ratiba ya Ligi. Manara ameweka wazi barua hiyo na kueleza kuwa baada ya hapo […]

The post Haji Manara katoka TFF anaelekea kwa waziri Nape, kisa Yanga na Azam FC appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Haji Manara aiwakia Yanga

WAKATI ikichanganywa na mgomo wa nyota wao, viongozi wa Yanga wamewekwa kwenye hali ngumu baada ya watani zao, Simba kuwakomalia wakitaka walipwe fedha zao Sh 50 milioni zikiwa ni fidia ya beki Hassan Kessy.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Bosi Yanga amfutia kesi Haji Manara

SIMBA wana kila sababu ya kufurahia taarifa hii baada ya Msemaji wao, Haji Manara, aliyekuwa kifungoni sasa kufunguliwa na Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF).

 

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara baada ya kuwachapa Yanga bao 1-0

Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha mbele ya umati wa mashabiki.

Manara ametoa kauli hiyo mara baada ya ‘Kariakoo Derby’ kumalizika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam huku timu yake ikiwa imetoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa ndani ya dakika 38 kupitia Erasto...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani