Huu ni ujumbe wa Cristiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo ya FIFA

Hakuna ubishi kuwa mwaka 2016 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa mshambuliaji Cristiano Ronaldo katika maisha yake ya soka na anastahili kupata tuzo ambazo amekuwa akishinda kila kukicha.

Mchezaji huyo bora wa dunia kwa mara nne, usiku wa Jumatatu hii alishinda tuzo nyingine ya mchezaji bora wa dunia ya FIFA na kuwabwaga wapinzani wake Lionel Messi wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid.

Ronaldo ameshindwa kuzuia furaha yake na kuamua kuweka wazi sababu ya kushinda tuzo hizo...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Riyad Mahrez kwa mashabiki baada ya kushinda tuzo

Ni furaha kwa kila mtu pindi mchango wake unapoonekana na kupewa zawadi – ndicho kilichomtokea Riyad Mahrez usiku wa Alhamisi hii baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa kuwabwaga washiriki wengine akiwemo Pierre-Emerick Aubameyang na Sadio Mane.

Mahrez ambaye ni mchezaji wa Algeria amewashukuru mashabiki wote duniani kutokana na kuwa na msimu mzuri kwa mwaka jana na kufanikiwa kuisaidia timu yake ya Leicester City kushinda taji la ligi kuu ya Uingereza.

Kupiti kwenye mitandao...

 

2 years ago

MillardAyo

Ujumbe wa Ronaldinho kwa Cristiano Ronaldo baada ya ushindi wa Ballon d’Or

screen-shot-2016-12-13-at-5-18-36-am

Jumatatu ya December 12 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, staa huyo wa Ureno December 12 ndio siku rasmi aliyotangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2016. Baada ya ushindi huo wa tuzo ya nne ya Ballon d’Or, staa […]

The post Ujumbe wa Ronaldinho kwa Cristiano Ronaldo baada ya ushindi wa Ballon d’Or appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

LIST: Washindi wa tuzo za FIFA 2016, Cristiano Ronaldo ameshinda dhidi ya Messi na Griezmann

screen-shot-2017-01-09-at-10-28-26-pm

Usiku wa January 9 2017 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lilifanya hafla ya utoaji wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA mjini Zurich Uswiss, tuzo hizo ambazo mwaka huu zimekuwa za tofauti kutokana na FIFA kufanya tuzo zao baada ya kutengana na French Football waandaaji wa Ballon d’Or. Tuzo hizo zimefanyika lakini wengi […]

The post LIST: Washindi wa tuzo za FIFA 2016, Cristiano Ronaldo ameshinda dhidi ya Messi na Griezmann appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Bongo5

Hii ndio tuzo ya 9 kwa Cristiano Ronaldo kushinda kwa mwaka 2016

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, mwaka 2016 unamalizika kwa kufanikiwa kushinda tuzo 9 katika soka kwa mwaka 2016. Baada ya kufanikiwa kushinda tuzo ya Globe Soccer Award akiwa Dubai.

Ronaldo anashinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia wa Globe Soccer Award kwa mwaka 2016 inakuwa ni tuzo ya 9, baada ya kushinda tuzo za mchezaji bora wa Ulaya, The World Soccer, Four Four Two, Espy, Di Stéfano Award, Goal.com award, FIFA Club Golden...

 

6 months ago

BBCSwahili

Ballon d'Or: Nani atakayeshinda tuzo hiyo baada ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi?

Wataalam wa soka wa BBC wanachanganua wachezaji watakaowarithi Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kama wachezaji bora duniani

 

2 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa FIFA kwa Kili Queens baada ya kushinda ubingwa wa CECAFA Woman Challenge

Pongezi kwa timu ya wanawake ya Tanzania Bara ya Kilimanjaro Queens zimeendelea kumiminika kwa kupokea salamu kutoka kwa watu, taasisi na mashirika mbalimbali baada ya kushinda Kombe la CECAFA Woman Challenge kwa kuifunga Kenya, goli 2-1.

Moja ya taasisi kubwa duniani ambayo imetuma salamu kwa Kilimanjaro Queens ni Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), kwa kutuma ujumbe wa pongezi kwa Kilimanjaro Queens kupitia kwa Shirikisho la Soka nchini (TFF).

Salamu za FIFA zimetumwa kupitia ukurasa wa...

 

3 years ago

Bongo5

Usome ujumbe wa pongezi wa mrembo wa Ommy Dimpoz baada ya kushinda tuzo ya Afrimma

Unapofanya jambo la kishujaa zaidi, ukitoa wazazi mtu wa kwanza kusherehekea nawe kwa ukaribu ni mpenzi wako. Ommy Dimpoz hana tofauti. Muimbaji huyo wa ‘Wanjera’ Jumamosi iliyopita alishinda tuzo ya ‘Best New Comer’ kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika, Dallas, Texas, Marekani. Mpenzi wake aitwaye Zerthun ambaye kwa wanaowafollow Instagram wawili hao wanajua kuwa uhusiano wao […]

 

4 years ago

BBCSwahili

Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.

Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka wa shirika la utangazaji la BBC.

 

2 years ago

Bongo5

Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya Alfredo di Stefano

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Alfredo di Stefano ya mchezaji bora wa La Liga msimu uliopita iliyotolewa na gazeti la Marca jana muda mfupi baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na Real Madrid.

3a28b30700000578-0-image-m-25_1478562422718
Cristiano Ronaldo akiwa amebeba tuzo ya Alfredo di Stefano

3a293a3200000578-0-image-m-31_1478562682679

3a293ed800000578-0-image-m-41_1478563488968

Mchezaji mwingine wa Real Madrid Alvaro Morata nae ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Hispania wakati kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone ameshinda tuzo ya Miguel Munoz ya kocha bora wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani