Huu ni uteuzi mwingine alioufanywa na rais Magufuli leo

Rais Magufuli leo, April 25 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa mikoa 26 ya Tanzania bara.

dr

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.

Hawa ni Makatibu Tawala wapya walioteuliwa na rais Magufuli:

Arusha – Richard Kwitega

Geita – Selestine Muhochi Gesimba

Kagera – Armatus C. Msole

Kilimanjaro – Eng. Aisha Amour

Pwani – Zuberi Mhina...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine mchana huu

14

The post Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine mchana huu appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Channelten

3 years ago

Channelten

3 years ago

Channelten

3 years ago

Channelten

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 23 2016

magufuli 1

May 23 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi wawili wa serikali, taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi leo imeeleza kuwa Rais wa Magufuli amemteua Gerson J. Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.  Kabla ya Uteuzi huo,  Gerson J. Mdemu alikuwa Karani wa Baraza […]

The post Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 23 2016 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 25 2016..

magufuli-ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,. John Pombe Magufuli amemteua Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Mizego Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT). Mheshimiwa Mizego Pinda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt.Asha-Rose Mtengeti Migiro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa iliyotolewa leo Mei 25, 2016 na katibu mkuu […]

The post Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 25 2016.. appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Magufuli afanya uteuzi mwingine leo


 Jaji Shaban Ali Lila Mh. Anne Semamba MakindaProf. Apollinaria Elikana Pereka

 

3 years ago

MillardAyo

Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli leo August 24 2016

0vd

August 24 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Modestus Francis Kipilimba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Dkt. Modestus Francis Kipilimba anachukua nafasi iliyoachwa wazi na […]

The post Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli leo August 24 2016 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani