Huyu ndie Katibu Mkuu mpya wa CCM baada ya Abdulrahman Kinana kujiuzulu

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) imempitisha Dkt. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana.

Dkt. Bashiru ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Tume maalum ya kuchunguza mali za CCM iliyoundwa na Rais Magufuli.

Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk. Bashiru Ali akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamedi baada ya jina lake kupendekezwa na kisha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM kulipitisha kwa kauli...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana amesema kuna haja ya kuweka utaratibu mpya wa kuwapokea Wanachama waliokihama Chama hicho.

 

kinana2

Siku kadhaa baada ya mwanachama wa siku nyingi wa Chama cha Mapinduzi,balozi JUMA MWAPACHU, kurejea katika chama hicho baada ya kukihama wakati wa harakati za Uchaguzi mkuu wa mwaka jana, kimekiri kuwa kuna haja ya kusikiliza hisia za wanachama wake na kuangalia upya namna gani wanachama wa Chama hicho walioondoka na kwenda kujiunga na vyama vingine wanapokelewa kufutia mazingira ya siasa yalivyo sasa.

Katibu Mkuu wa CCM ABDULRAHMAN KINANA, ametoa kauli hiyo jijini Dar Es Salaam,wakati wa...

 

4 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM Arusha - Komrade Abdulrahman Kinana

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akishiriki kupaka rangi nyumba ya mganga wa hospitali ya kijiji, iliyojengwa na wanakijiji cha Bulati. Wengine ni mbunge wa Ngorongoro,
Kaika Ole Telele (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole.
NAPE akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Nainokanoka.

KINANA akizungumza na Nape kabla ya kuhutubia wananchi wa kijiji cha Nainokanoka, kilichoko wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.

KINANA akikaribishwa kwa...

 

5 years ago

GPL

ABDULRAHMAN KINANA KATIBU MKUU WA CCM AENDELEA NA ZIARA RUFIJI‏

Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Juma Abeid Diwani wa Kata ya Magawa wilayani Mkuranga wakati alipotembelea shamba la Mikorosho lenye hekari 1000 ambapo mikorosho inayokaribia elfu 20 imeharibika vibaya baada ya kupata ugonjwa unaonyausha mikorosho hiyo , Diwani huyo amesema wananchi wa kata hiyo wako katika hali mbaya kwakuwa zaidi ya miaka minne sasa hawajavuna chochote na maisha yao...

 

5 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA ATEMBELEA SINGIDA MASHARIKI

Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza  wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo. Mmoja wa Viongozi wa CCM,Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa…

 

2 years ago

Malunde

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AMUAGA KWA CHAKULA BALOZI WA CHINA


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi maalum Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing, wakati wa  hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga  jijini Dar es Salaam, jana Agosti 25, 2017. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, Naibu Spika Tulia Akson, Mabalozi kadhaa wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Mawaziri Kadhaa, Makatibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na Makatibu wa Jumuia za Chama....

 

4 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amaliza ziara yake jimbo la Mtama

01

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika ziara...

 

5 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana ashuka milima ya Usambara kwa Baiskeli

01

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro Lushoto mara baada ya kushuka milima ya Usambara huku akiendesha Baiskeli pamoja na Nape Nnauye na wananchi wengine wakati msafara wake ukielekea jimboni Mkinga wilaya ya Mkinga, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mkoa wa Tanga akikagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani