Idadi ya magoli yaliyoipa Yanga Ubingwa wa 27 wa VPL leo

May 20 2017 Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 ulimalizika rasmi kwa michezo nane kuchezwa kwa mara moja ili kuepusha kupangwa kwa matokeo ya mechi hizo, Yanga ambao walikuwa wanatetea Ubingwa wao walikuwa jiji Mwanza kucheza dhidi ya Mbao FC. Mchezo wa Yanga dhidi ya Mbao FC licha ya kuwa Yanga alikuwa tayari […]

The post Idadi ya magoli yaliyoipa Yanga Ubingwa wa 27 wa VPL leo appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli yaliyoipa Gor Mahia Ubingwa wa SportPesa Super Cup 2017

Jumapili ya June 11 2017 michuano ya SportPesa Super Cup iliyokuwa inashirikisha timu nane ilifikia tamati katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa kuchezwa mchezo wa fainali kati ya Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards, Gor Mahia wamefanikiwa kuibuka mabingwa wa SportPesa Super Cup baada ya kuifunga AFC Leopards kwa magoli 3-0. VIDEO: All goals Taifa […]

The post VIDEO: Magoli yaliyoipa Gor Mahia Ubingwa wa SportPesa Super Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Chilwa na Tambwe yaliyoipa Yanga ushindi

Leo May 6 2017 Ligi kuu Tanzania Bara iliendelea Dar es salaam ambapo Mabingwa watetezi Yanga walikipiga na Tanzania Prisons na mpaka mwisho Yanga ikapata ushindi wa 2-0 uliowapa point tatu. Magoli yote unaweza kuyatazama kwenye hii video hapa chini ambapo goli lao la kwanza ni la Amis Tabwe dakika ya 71 na goli la pili ni la Obrey Chilwa […]

The post VIDEO: Magoli ya Chilwa na Tambwe yaliyoipa Yanga ushindi appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Yanga yatwaa ubingwa wa VPL

Klabu ya Yanga imetwaa rasmi ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2015/16 ikiwa ni mara ya pili mfululizo baada ya Simba kufungwa na Mwadui FC katika mchezo wa jana bao 1-0.
????????????????????????????????????

Yanga inatwaa ubingwa kutokana na kuwa na pointi 68 ambazo siyo Simba (yenye pointi 58) wala Azam (iliyofikisha point 60) ambao wataweza kuzifikisha.

Katika mchezo huo, Simba imeonesha kiwango cha juu ambapo licha ya kutengeneza nafasi nyingi za kufunga, washambuliaji wake wakiongozwa na Hamis Kiiza walionesha...

 

3 years ago

Mtanzania

UBINGWA YANGA VPL Hiki ndicho kilichoibeba

6NA SELEMAN SHINENI

YANGA wamefanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), wakiwa wamelala nyumbani kama walivyofanya Leicester City katika Ligi Kuu England.

Katika msimu ambao ulitabiriwa kuwa na upinzani mkali katika hatua ya lala salama, mambo yamebadilika ghafla na Yanga wametwaa ubingwa wakiwa na mechi tatu mkononi.

Pointi tatu walizoporwa Azam kutokana na kumchezesha Erasto Nyoni wakati akiwa na kadi tatu za njano dhidi ya Mbeya City na kichapo cha bao 1-0,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mwadui yaipa Yanga ubingwa wa VPL 2015/2016

Wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa, Yanga wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom 2015/2016 baada ya hapo jana Simba kupokea kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Mwadui ya Shinyanga.

Goli lililowapa Yanga ubingwa ni Jamal Mnyate ambaye alifunga dk. 73 na hivyo kuwapa Yanga ubingwa kwa kuwazuia Simba kufikisha alama ambazo Yanga wanazo hata kama wakishinda michezo iliyosalia.

Yanga imetwaa ubingwa huo kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuwa na alama 68 ambazo haziwezi...

 

3 years ago

MillardAyo

Yanga wameanza kutetea Ubingwa wao wa VPL kwa ushindi

IMG_0195

Ligi Kuu soka Tanzania bara leo August 28 2016 imeendelea kama kawaida kwa bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya African Lyon katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Huu ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa Yanga katika msimu wa 2016/2017 wakati African […]

The post Yanga wameanza kutetea Ubingwa wao wa VPL kwa ushindi appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Zlatan Ibrahimovic yaliyoipa Man United point tatu dhidi ya Southampton

3632

Usiku wa August 19 ilikuwa ni siku ambayo mashetani wa jiji la Manchester klabu ya Man United waliwakaribisha Southampton katika dimba lao la Old Trafford kucheza mchezo wao wa pili wa Ligi Kuu England baada ya mchezo wao wa awali kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya AFC Bournemouth ugenini. Mchezo dhidi ya Sothampton […]

The post VIDEO: Magoli ya Zlatan Ibrahimovic yaliyoipa Man United point tatu dhidi ya Southampton appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Channelten

Yanga yachukua tena Usukani, Yaifunga Kagera, yaongoza ligi kwa idadi ya magoli

MASHABIKI-YANGA

Yanga SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar ya Bukoba jioni jana Uwanja wa Taifa, Dar es salaam.

Na kwa ushindi huo, mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 62, sawa na Simba SC, lakini timu ya Jangwani wanapanda juu kwa wastani mzuri wa mabao na pia wana mchezo mmoja mkononi.

Hadi mapumziko kila timu ilikuwa imepata bao moja, hadi kipindi cha pili ambapo Yanga walifanikiwa kupata bao la pili na la ushindi dakika ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani