Idadi ya wanaohama ni kubwa Ukrane:UNHCR

Umoja wa mataifa umesema kuna ongezeko la idadi ya watu wanaokimbia mapigano Mashariki mwa Ukraine.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wanaohama Korea Kaskazini wakienda Korea Kusini yapungua

Korea Kusini inasema kuwa jumla ya watu 780 raia wa Korea Kakskazini waliowasili kati ya mwezi Januari na Agosti mwaka huu

 

1 year ago

Malunde

HII NDIYO WILAYA YENYE IDADI KUBWA YA MAKAHABA...DANGURO KUBWA ZAIDI LABORESHWA

Wasanii wa michoro wasiokubali jinsia ya maumbile yao wamekuwa wakiipatia sura mpya ya michoro ya rangi za kuvutia wilaya yenye idadi kubwa ya makahaba ya Sonagachi iliyopo katika jiji lililopo mashariki mwa India la Kolkata (zamani likiitwa Calcutta).

Ikisemekana kuwa wilaya yenye idadi kubwa zaidi ya mahahaba bara Asia, Sonagachi ni wilaya yenye mitaa yenye barabara nyingi nyembamba na njia za uchochoroni kati kati mwa jiji la Kolkata, ikiwa ni makazi ya makahaba takriban 11,000.
Wakifanya...

 

5 years ago

Habarileo

Idadi kubwa ya Watanzania ni watoto

IDADI kubwa ya watu nchini ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 na vijana huku mikoa ya Simiyu, Rukwa na Geita ikitajwa kuwa zaidi ya nusu ya watu wake, ni watoto. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk Albina Chuwa alimweleza hayo Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Ikulu wakati akimkabidhi vitabu na majedwali yenye matokeo na machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012.

 

4 years ago

BBCSwahili

Idadi kubwa ya ndovu yatoweka Tanzania

Wanaharakati wa wanyamapori wameelezea hali ya kutoweka kwa idadi ya ndovu kwa asilimia sitini nchini Tanzania

 

2 years ago

Mtanzania

VYUO VILIVYO NA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI WA KIMATAIFA

1680Na FARAJA MASINDE

NJE ya vyuo 800 katika utafiti wa World University Rankings, hakauna hata chuo kimoja kutoka Marekani kilichochomoza kwenye 30 bora kwa kuwa na wanafunzi wa kimataifa.

Kwa mujibu wa utafiti wa Times Higher Education kwa vyuo vikuu duniani kwa mwaka 2015-16, hakuna chuo cha Marekani kilicho na zaidi ya asilimi 35 ya wanafunzi wa kimatifa ikilinganishwa na bara la Asia, Oceania na Ulaya.

Katika uchambuzi huo wa vyuo iimeonekana kuwa vyuo 16 kati ya 30 vyenye asilimia kubwa ya...

 

4 years ago

Dewji Blog

Ajali za barabarani zaongezeka Tabora, zauwa idadi kubwa ya watu!

USALAMA BRBRN.1

Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Ludovick Mwananzila akipata maelezo kutoka kwa Dr.Anna Kichambati wa Redcross Tabora wakati wa sherehe za wiki ya usalama barabarani mkoani Tabora.

USALAMA BRBRN.2

Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Mwananzila akisalimiana na Afisa mfawidhi wa Sumatra mkoa wa Tabora Bw.Joseph Michael wakati wa wiki ya usalama barabarani mkoa wa Tabora.

USALAMA BRBRN.3

Mmoja kati ya maafisa wa polisi kikosi cha usalama barabarani Tabora mjini akimuonesha mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Ludovick Mwananzila kifaa maalumu...

 

5 years ago

Michuzi

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar wawataka Kwetu Pazuri

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametoa ushauri kwa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kulialika kundi la Ambassadors of Christ ‘Kwetu Pazuri’ katika tamasha la mwaka huu.  Wakazi hao walitoa tamko hilo hivi karibuni wakieleza kwamba kundi hilo ni kundi pendwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa Injili hapa nchini kwa sababu ya nyimbo zao kukonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wengi zaidi. “Msama Promotions, watuletee Kwetu Pazuri, kwani ni kundi ambalo lina...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Uhaba wa madaktari wachangia idadi kubwa ya wagonjwa wa ngozi Unguja

Naibu Waziri  wa Afya Zanzibar Harusi  Said Suleiman amesema Hospitali kuu ya Mnazi mmoja  inakabiliwa na uhaba wa  madaktari  wa ngozi  na kupelekea  idadi kubwa ya wagonjwa  wa ngozi katika kliniki zao kuongezeka.

Akijibu swali katika kikao cha baraza la wawakilishi amesema  kutokana na tatizo hilo Wizara  inachukua jitihada mbalimbali  katika kulitafutia ufumbuzi tatizo hilo  ikiwemo kuwasomesha  madaktari bingwa  wa maradhi ya ngozi  ambapo dakta mmoja anatarajiwa kumaliza masomo  yake...

 

2 years ago

Ykileo

IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI

Nchini Tanzania Matumizi ya TEHAMA yame endelea kukua katika maeneo mbali mbali. Hii ime endelea kurahisisha upatikananaji wa huduma muhimu na kuwezesha watu kuendelea kuwasiliana kwa urahisi.


Viwanda na Taasisi mbali mbali zimeendelea kutumia TEHAMA ili kukuza ufanisi na kufikia watu wengi kwa kipindi kifupi. Miamala ya kifedha, ukusanyaji kodi, pamoja na mawasiliano ni baadhi tu ya mambo yanayo wezeshwa na TEHAMA nchini.


Usalama wa mifumo ya TEHAMA ni moja ya jambo muhimu sana ambapo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani