IDARA YA HABARI YAFANYA MAHOJIANO NA MAKAMU WA RAIShas1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano maalumu  na Mkurugenzi  Idara ya Habari (MAELEZO)  Dkt. Hassan Abbasi  kuhusu  masuala ya Muungano kwa ujumla kuelekea maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano. has2Mkurugenzi  Idara ya Habari (MAELEZO)  Dkt. Hassan Abbasi  akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  Jarida la Nchi yetu linalotolewa na Idara ya Habari ( MAELEZO). Jarida hilo liliandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika. has3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) katika picha ya pamoja na watumishi wa Idara ya Habari (MAELEZO) mara baada ya mahojiano maalumu kuelekea Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano( kutoka kushoto ni Beatrice Lyimo, Dkt. Hassan Abbasi, Jonas Kamaleki na Hassan Silayo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATENDAJI WA IDARA YA MAZINGIRA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mkutano wa kazi na watendaji wa ofisi yake ya Idara ya Mazingira kujadili kwa kina namna ya kukabiliana na hali tete ya uharibifu wa mazingira unaoendelea nchini.

Katika mkutano huo uliofanyika leo, Ikulu, Dar es salaam ambao ulihudhuriwa pia na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba, Makamu wa Rais ameawaagiza watendaji wa idara hiyo waache kukaa ...

 

2 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATENDAJI WA IDARA YA MAZINGIRA PIA AHUDHURIA MSIBA WA SHAKILA SAID


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa mkutano na Watendaji wa Ofisi yake Idara ya Mazingira Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa mkutano na Watendaji wa Ofisi yake Idara ya Mazingira, kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba na kulia ni Katibu Mkuu Oisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbaraka...

 

1 year ago

Michuzi

RICHARD MUYUNGI ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA IDARA YA MAZINGIRA KATIKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora amemteua Bwana Richard Muyungi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira katika Ofisi hiyo.
Awali Bwana Muyungi alikua ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais. Bwana Muyungi pia ni mjumbe wa Bodi ya Dunia ya mfuko wa mabadiliko ya tabianchi akiwakilisha Afrika. Pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri wa Marais wa Afrika kuhusu masuala ya mabadiliko ya tabianchi (CAHOSCC)
Uteuzi wa Bwana Muyungi umeanza...

 

4 years ago

Michuzi

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KAAT) YAFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akiwakaribisha viongozi wa KAAT walipokwenda kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT, Bw. Stephen Katemba na Kulia ni Bw. Bukheti Juma ambaye ni Makamu wa Rais, KAAT (Zanzibar). Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akifurahia jambo na viongozi wa KAAT, Bw. Stephen Katemba (Katikati) na Bw. Bukheti Juma (Kulia). Viongozi hao walipokwenda kumtembelea na...

 

4 years ago

Michuzi

Kwanza Production yafanya Mahojiano ya Mwanalibeneke Maggid Mjengwa

Maggid Mjengwa
Karibu katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania. Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki Karibu Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa...

 

3 years ago

Vijimambo

VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA WASHINGTON, DC

 Kushoto ni Mtangazaji Voice of America  wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.Bahati Muliga(Kushoto)  Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Wafanyakazi Idara ya habari maelezo watimiza agizo la Rais Shein

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar, Hassan Vuai Mbarouk amewapongeza Wafanyakazi wa Idara hiyo kwa kujitokeza kwa wingi katika wito wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa kufanya usafi wa mazingira katika maeneo ya kazi zao ili kwenda sambamba na shamra shamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar wafanya Usafi ndani ya Ofisi yao iliopo Raha leo Mjini Unguja, wakitekeleza agizo lililotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani