IDARA YA UHAMIAJI ARUSHA YAKANUSHA KUPOKEA MALIPO MKONONI

Na Ahmed Mahmoud Arusha
Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani Idara ya uhamiaji imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao kijamii kuwa idara hiyo inapokea malipo mkononi kutoka kwa wateja wakati inafamika malipo yote ya serikali hulipwa kwa njia za huduma za kifedha.
Kamanda wa Idara ya Uhamiaji mkoani Arusha Mratibu msaidizi Samwel Mahirani ameyasema hayo alipokuwa akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake na kuwataka watanzania kuwaamini viongozi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Idara ya Uhamiaji Tanzania na Idara ya Uhamiaji nchini Zambia zimeanzisha mkakati huu

zambia

Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji nchini Zambia zimeanzisha mkakati wa kupambana na Changamoto za kughushi nyaraka mbali mbali zinafanywa na baadhi ya watu hasa katika mipaka ya Tunduma na Nakonde huku pia ikishughulikia wahamiaji haramu wanaoingia na kutoka katika mipaka hiyo kwa njia haramu.

Wakizungumza katika mkutano wa pamoja wa kujadili Changamoto mbali mbali zinazozikabili idara hizo kwa upande wa Tanzania na Upande wa Zambia ,Kaimu kamishna wa Utawala...

 

4 years ago

Michuzi

Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...

 

2 years ago

Bongo5

Majaliwa aitaka idara ya uhamiaji kuthibiti uhamiaji haramu

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameitaka idara ya uhamiaji kudhibiti wahamiaji haramu huku ikianza misako katika nyumba za kulala wageni ili kubaini wanaoingia nchini bila vibali na kwamba anataka taarifa za wageni hao.

waziri-mkuu-kassim-majaliwa

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na walimu wa halmashauri ya Jiji la Arusha na wilaya ya Arusha kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Arusha. Ameitaka...

 

1 year ago

Michuzi

KAMISHNA UHAMIAJI, DKT MWIGULU WAMSHUKURU RAIS KWA KUTOA FEDHA BILILIONI 10/- KWA AJILI YA KUJENGWA OFISI ZA IDARA YA UHAMIAJI DODOMA

Na Ripota Wetu, Blogu ya jamii
KAMISHNA wa Uhamajia nchini, Dk.Anna Makakala na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk.Mwigulu Nchemva wamemshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kuwapa fedha Sh.bilioni 10 kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa ofisi za Idara ya Uhamiaji mkoani Dodoma.
Kwa upande wake Dk.Makakala ametoa shukrani hizo kutokana na uamuzi wa Rais kutoa fedha hizo Sh.bilioni 10 kwa ajili ya ujenzi huo ambapo ameagiza zijengwe ofisi za idara hiyo ambazo zitakuwa za kisasa.Dk.Makakala...

 

4 years ago

Dewji Blog

Tanzania yashika nafasi ya pili katika malipo kupitia simu za mkononi

Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi  na huduma za kipekee  zilizo na manufaa kwa jamii.

 Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za  malipo kupitia simu za mkononi (Online payments), malipo haya yameongezeka kwa kasi kubwa kupitia Mpesa, Tigopesa, Airtel...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA STANBIC YAZINDUA HUDUMA YA MALIPO KUPITIA INTANETI NA SIMU ZA MKONONI


Upatikanaji wake ni rahisi, wa haraka na ni huduma salama ya kibenki kupitia mtandao
Benki ya Stanbic Tanzania imezindua huduma mpya ya malipo kupitia intaneti na simu za mkononi inayoambatana na huduma nyinginezo zinazolenga kuboresha ukusanyaji wa pesa na ufanyaji wa malipo kwa mashirika na biashara mbali mbali, ikiwa ni sehemu ya jitihada zake za kutoa huduma rahisi na salama za kibenki
Akizungumza katika uzinduzi wa huduma hiyo jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na...

 

2 years ago

Michuzi

Airtel na GSMA wandaa mashindano ya suluhu za mfumo wa malipo ya pesa kupitia simu za mkononi

Kampuni ya simu za mkoni ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na GSMA wameandaa mashindano ya suluhu za mfumo wa malipo ya pesa kupitia simu za mkononi ambayo yanafanyika jijini Dar es Salaam kwa mwaka wa pili mfululizo.Mashindano hayo ambayo yamedhaminiwa na Airtel money na Comviva wakishirikiana na muungano wa mashirika ya simu za mkononi ulimwenguni GSMA yanajumuisha washiriki kutoka Africa. Wajasiriamali wa TEKNOHAMA kutoka Ghana, Kenya, Uganda na Tanzania watachuana kutengeza suluhu...

 

1 year ago

Michuzi

SANLAM, MAXCOM KUWAWEZESHA WATEJA WA BIMA KUFANYA MALIPO KWA NJIA YA SIMU ZA MKONONI

Na Emmanuel Masaka,Globu 
WATANZANIA watapata fursa ya kufanya malipo ya bima mbalimbali kwa njia rahisi zaidi kupitia simu zao za mikononi baada ya kampuni ya Bima ya Sanlam Life Insurance na Maxcom kuingia makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara.
Akizungumza katika hafla ya utiaji sahihi makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life Insurance, Khamis Suleiman amesema sheria ya bima imebadilika, hivyo kuwataka wateja wa bima kufanya malipo yao  moja kwa moja...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani