Idris aeleza kwanini yeye na Wema hawakurupuki kufunga ndoa

Wema na Idris

Idris Sultan amesema ni mapema sana kufunga ndoa na mpenzi wake Wema Sepetu ambaye kwa sasa ni mjamzito.
Wema na Idris

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Idris amesema bado mahusiano yao yanaitaji muda zaidi ili kujiandaa vizuri kuingia kwenye ndoa.

“Ndoa nilisema inshallah lakini bado haipo kwenye mpango,” alisema Idris.

“Unajua ni vizuri ukiwa kwenye mahusiano na mtu, usiweze kukurupuka kufunga ndoa, ndio maana unakuta kuna ndoa nyingi zinavunjika. Inabidi mjuane, muelewane na muone kabisa kwamba kuna...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Ditto aeleza kwanini anaishi na mpenzi wake kwa miaka 5 bila kufunga ndoa

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo, Lameck Ditto ambaye ni baba wa mtoto mmoja amesema muda haujafika wakufunga ndoa na mpenzi wake aliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka 5.
ditto2

Ditto amesema kukaa muda mrefu kwenye mahusiano na mpenzi wake huyo bila kufunga ndoa ni utaratibu ambao wamejipangia wenyewe kwenye maisha yao.

“Kwa sasa na mtoto mmoja ambaye naishi naye pamoja na mama yake,” Ditto alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV. “Bado hatujafunga ndoa lakini tumshukuru Mungu huu ni mwaka wa tano...

 

2 years ago

Bongo5

Gabo ashangilia miaka 12 ya ndoa yake, aeleza kwanini ndoa za vijana zinavunjika mapema

Msanii wa filamu Gabo Zigamba amefunguka kwa kudai kuwa vijana wengi wanashindwa kudumu kwenye maisha ya ndoa kwa kuwa wanashindwa kufuata mafundisho ya wazazi wao.

Muigizaji huyo ambaye ana miaka 12 sasa kwenye ndoa yake na mkewe Fatma, wakiwa na watoto wawili – Salha na Athuman, amefunguka kwa kudai vijana wengi wamearibiwa na utandawazi.

“Waswahili wanasema, asiyefunzwa na mama atafunzwa na ulimwengu. Hii ndiyo sababu kubwa zaidi ya tatizo hili. Vijana wetu hawapati mafunzo kutoka kwa...

 

3 years ago

Bongo5

Young Killer: Nafunga ndoa muda wowote, aeleza kwanini ameamua kuingia kwenye maisha ya ndoa

Young Killer na Halimaty

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amesema anaamini akifunga ndoa mambo yake mengi katika maisha yatafunguka.
Young Killer na Halimaty

Rapa huyo ambaye ameachia video ya wimbo ‘Popote’ akiwa amemshirikisha Juma Nature, ameiambia Bongo5 Ijumaa hii kuwa, tayari yeye na mchumba wake wamechunguzana na wameona wapo tayari kuanza maisha ya ndoa.

“Siwezi sema tunafunga lini ndoa, lakini muda wowote tunafunga ndoa,” alisema Young Killer.

“Unajua ukifunga ndoa kuna mambo mengi yanabadilika kwenye maisha,...

 

3 years ago

Bongo5

Chege aeleza kwanini naonekana yeye na Temba ndani ya Kundi la TMK Wanaume Family

Chege na Temba

Staa wa muziki Chege Chigunda amesema Kundi la TMK Wanaume Family bado lina wasanii wake 7 ila kwa sasa mfumo wa biashara ya muziki umebadilika ndio maana mara nyingi hawatoi kazi za kundi zima.
Chege na Temba

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na video ya wimbo ‘Sweety Sweety’ amekiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa, yeye na Temba ni wasanii ambao tayari wameteneza ‘chemistry’ ambayo mara kwa mara mashabiki wamekuwa wakiihitaji.

“Wakati ule tunafanya nyimbo za kundi watu 7 au 8, muziki ulikuja...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mpenzi Mpya wa Wema Sepetu Afungukia Kwanini Alisema Hamjui Idris Sultan

Model Calisah ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na Wema Sepetu amekataa kuzungumzia mahusiano yake na Wema Sepetu pamoja na kueleza kwanini alisema hamjui aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu na mshindi wa Big Brother 2014, Idris Sultan.

wema-sepetu-1

Wiki moja iliyopita kupitia kipindi kimoja cha runinga, model huyo alisema hamjui Idris Sultan.

Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Calisah alisema ni kweli kwamba hamjui Idris Sultan na wala hakuongea kwa nia mbaya au kutafuta kiki.

“Mimi nashangaa kwanini...

 

4 years ago

Bongo5

Manyika Jr na Naima wapanga kufunga ndoa, aeleza misukosuko waliyopitia

12081027_1651638835115791_2014890630_n

Mlinda mlango wa Simba, Peter Manyika Jr na mchumba wake Naima wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.

12081027_1651638835115791_2014890630_n

Wawili hao wamepitia misukosuko mingi kwenye uhusiano wao ikiwa ni pamoja na kuwa kwenye hatari kuvunjika kwa uhusiano wao kutokana na shinikizo la wazazi na uongozi wa Simba.

Klabu ya Simba iliwahi kumuonya mchezaji huyo baada ya kuwashambulia mashabiki wa soka kwenye mtandao waliodai kuwa Naima ni chanzo cha kushuka kwa kiwango chake uwanjani.

12093349_1679673918915048_223428952_n

Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM...

 

3 years ago

Bongo5

Daxo Chali aeleza kwanini yeye na kaka zake watatu akiwemo Marco Chali waliamua kuwa watayarishaji muziki

Nafahamu familia nyingi ambazo ndugu wengi ni wanamuziki lakini sijawahi kuisikia familia nyingine zaidi ya akina Marco Chali ambayo ndugu wanne wote ni watayarishaji wa muziki.

Chali

Ilikuaje hadi Marco Chali, Beef Chali na Zacha wote wakawa watayarishaji wa muziki?

“Nadhani kitu ambacho kipo kwenye damu,” anasema Daxo Chali ambaye ni mdogo wao. “Mimi mwenyewe nilishajaribu sana kuukimbia muziki lakini unanivuta.”

Daxo anasema wametoka kwenye familia ya kanisani na wakati wakiwa wadogo Marco...

 

3 years ago

Bongo5

Hii ni sababu kwanini wimbo wa Rama Dee ‘Kipenda Roho’ umewarudisha karibu Idris na Wema

Nyimbo zilizoandikwa kwa ustadi, kuimbwa kwa hisia, zenye sauti tamu na kunakishwa na ala za muziki maridhawa, zina nguvu ya kufanya mambo makubwa yasiyofikiriwa.

Wema Idris

Na hicho ndicho wimbo mpya wa Rama Dee, Kipenda Roho umefanya maajabu katika maisha ya Idris Sultan. Wajua jinsi ambavyo hivi karibuni moyo wa Idris ulivunjwa na mpenzi wake Wema Sepetu kwa kusambaa video inayomuonesha akimbusu mwanaume mwingine.

Kipenda Roho umebeba ujumbe mzito unaokisi hisia za moyo wa mshindi huyo wa Big...

 

3 years ago

Bongo5

Kuisha kwa tofauti kati ya Diamond na Wema, watu wanamuonea huruma Idris Sultan, kwanini?

Na tuzo kwa jamaa ambaye hajali watu wanasema nini kuhusu maisha yake inaenda kwa – Idris Sultan.

13556820_1234547669913481_1490744638_n

Mshindi huyo wa shindano la Big Brother Africa, amekubuhu katika kupuuzia maneno hasi katika maisha aliyochagua mwenyewe.

Hivi karibuni ule uadui uliokuwepo kati ya Wema Sepetu na ex wake, Diamond unaonekana kuyeyuka. Ni wiki iliyopita pale staa wa ‘Utanipenda’ alipoipigia debe show ya Black Tie ya Wema, Idris na Christian Bella kwenye Instagram. Hicho ni kitu ambacho hakuna aliyekuwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani