Ifike hatua sasa polisi waheshimu kazi za waandishi wa habari

Kila Mtanzania anafahamu siku zote kuwa kazi ya Jeshi la Polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao, unapozungumzia usalama unamaanisha maisha ya raia yasiwe katika mazingira ya hatari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

Malunde

WAANDISHI WA HABARI WATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA JESHI LA POLISI GEITA.Waandishi wa habari mkoani Geita wametangaza kususia kuandika habari zinazolihusu jeshi la polisi kutokana na kukithiri vitendo vya unyanyasaji kwa waandishi wa habari wanapokuwa kazini.

Uamuzi huo umefikiwa leo baada ya kumalizika kikao cha dharula cha waandishi wa habari ambao walikutana ili kujadiliana namna bora ya kukabiliana na unyanyasaji unaofanywa na jeshi la polisi kwa waandishi wa habari mkoani Geita.
Tamko la kuondoa ushirikiano kwa jeshi la polisi limesomwa na mwenyekiti wa Klabu...

 

12 months ago

Malunde

KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA SASA YAAMUA KUMSHUGHULIKIA RASMI DC MNYETI


Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC)Cloud Gwandu akizungumza katika siku ya maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani ,yaliyofanyika katika Ukumbi wa Golden Rose Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog.Mwandishi wa habari wa kituo cha Luninga cha ITV Khalifan Lihundi.
Katika kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani katika Mkoani wa Arusha,klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Arusha (APC) imekutana na wadau wa habari kujadili mambo mbalimbali yanayowahusu pamoja na...

 

11 months ago

Mwananchi

Waandishi wa habari wapewa kazi ya kuchunguza ajali za barabarani

Baraza la Habari Tanzania (MCT) limevitaka vyombo vya habari kuchunguza ongezeko la matukio ya ajali za barabarani na kupima mamilioni ya fedha zinazokusanywa na Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani kutokana na faini wanazotozwa madereva.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Polisi wapiga waandishi wa habari Dar

MUENDELEZO wa Jeshi la Polisi nchini kuwanyanyasa, kuwatisha waandishi wa habari na kuwafanya wasitekeleze wajibu wao ipasavyo, ilijidhihirisha wazi jana makao makuu ya jeshi hilo, baada ya waandishi kupigwa, kukimbizwa...

 

4 years ago

Habarileo

Polisi Temeke wawadhibiti waandishi wa habari

MTU mmoja amejeruhiwa na wengine kadhaa kukamatwa wakati jeshi la polisi lilipolazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya watu wakati wa operesheni ya kubomoa vibanda Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.

 

1 year ago

Mwananchi

Waandishi wa habari wakamatwa, wahojiwa polisi

Waandishi wa habari wawili jana walikamatwa na kuhojiwa katika Kituo cha Polisi cha Usa River mkoani Arusha, huku aliyetoa amri ya kukamatwa kwao akizua utata.

 

10 months ago

Mwananchi

JPM: Waandishi wa habari mtalipwa mbinguni kwa kazi yenu

Rais John Magufuli amewasifu waandishi wa habari nchini na kuwataka waendelee kufanya kazi yao kwa bidii kwani huenda siku moja watalipwa vizuri pindi watakapokuwa waandishi wa malaika.

 

2 years ago

Michuzi

Klabu Ya Waandishi Wa Habari Mkoa wa Shinyanga Yaanza Kuwatumbua Majipu "Waandishi wa Habari Hewa"

TAARIFA KWA WADAU WA HABARI MKOA WA SHINYANGA KUHUSU WATU WASIO WAANDISHI WA HABARI KUTUMIA JINA LA UANDISHI WA HABARI KWA MANUFAA YAO BINAFSI.
Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club-SPC) inapenda kuwataarifu wadau wa habari mkoa wa Shinyanga kuwa makini na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakidanganya kuwa ni waandishi wa habari wakati siyo waandishi wa habari.
Miongoni mwa watu wanaotumia majina ya vyombo vya habari kutapeli na kujipatia fedha ni Emmanuel Mpanda...

 

1 year ago

Malunde

WAANDISHI WA HABARI WAWILI WAKAMATWA NA POLISI KILIMANJARO

 TAARIFA zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania, zinaeleza kwamba waandishi wa Habari wawili wamekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo.


Waliokamatwa ni Rodrick Mushi wa Tanzania Daima na Gifti Mongi wa Gazeti la Majira na ZBC.

"Gift Mongi alikamatwa jana jioni na kuwekwa Mahabusu katika kituo cha Polisi Majengo huku Rodrick akikamatwa katika ofisi ya RPC akiwa na baadhi ya waandishi wenzake wakifuatilia kisa cha kukamatwa Gift" kimeeleza moja ya chanzo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani