IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KITUO CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NCHI JIRANI CHA UBUNGO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (katika) alipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo na kituo cha daladala cha Mbezi Luisi, (kushoto) ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi ( ACP) Murilo Jumanne Murilo.
Na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka madereva na wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani na nchi jirani pamoja na wamiliki na madereva wa mabasi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KIKOSI CHA POLISI RELI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo kikosi cha Polisi Reli Dar es salaam leo wakati alipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika kikosi hicho kwa lengo la kujionea utayari wao katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Picha na Jeshi la Polisi.

 

2 years ago

Michuzi

UKAGUZI WA MABASI KATIKA I KITUO CHA UBUNGO WAPAMBA MOTO , ABIRIA WAPONGEZA UKAGUZI WA MABASI

Na Chalila Kibuda , Globu ya Jamii.

Abiria wa walioshushwa  katika basi la Shukurani Coach linalofanya safari zake Dar kuelekea mikoa ya Kusini wamesema ukaguzi unaofanyika katika kituo cha mabasi ubungo ni mzuri kwani safari yao isingekuwa  nzuri kama wangeweza kupita bila kukaguliwa.

Akizungumza na Michuzi Blog, Shinza Lymo amesema kuwa utaratibu wa ukaguzi kabla ya basi kondoka uendelee kwa wamiliki watakuwa hawapeleki basi katika kituo hicho na kuwa wameweepusha abiria na ajali...

 

2 years ago

Michuzi

UKAGUZI MABASI WA KITUO KIKUU CHA MABASI UBUNGO

Mkaguzi wa Polisi katika Kituo cha cha Mabasi Ubungo, Inspekta Ibrahim Samwix akikagua moja ya basi katika kituo hicho kikuu cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa ukaguzi kabla ya mabasi hayo hajaanza safari. Mkaguzi wa Polisi katika Kituo cha cha Mabasi Ubungo, Inspekta Ibrahim Samwix katika uvungu wa basi akikagua basi katika kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani. Askari wa Kikosi cha usalama barabarani kituo cha Ubungo, Nuru Mvungi...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mawili ya RC Makonda baada ya kushtukiza kituo cha mabasi Ubungo

20000

August 10 2016 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani (Ubungo terminal) na kubaini mapungufu kadhaa ikiwemo ubadhirifu wa tiketi pia amesema kuwa serikali ipo katika mpango mwisho wa kuihamishia stendi hiyo kutoka ubungo kwenda Mbezi mwisho. ‘Shahuku yangu ni kuwa na stendi […]

The post VIDEO: Mawili ya RC Makonda baada ya kushtukiza kituo cha mabasi Ubungo appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

News Alert: Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla afanya ukaguzi wa kushtukiza kituo cha CHESA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh.Dk. Hamisi Kigwangalla muda huu amefanya ziara ya kushtukiza katika Taasisi ya kijamii inayojishughulisha na masuala ya kutoa elimu kwa vijana na mapambano dhidi ya UKIMWI  ijulikanayo kama “The Community Health Education Services & Advocacy” (CHESA)  yenye maskani yake Upanga  Jijijni Dar e Salaam.

Naibu Waziri wa Afya amebainisha kuwa, amefanya ziara hiyo ya kushtukiza kutokana na taarifa za kiinterejensia juu ya kuwapo...

 

1 year ago

Michuzi

HAKUNA BASI KUONDOKA KATIKA KITUO CHA MABASI UBUNGO BILA KUFANYIWA UKAGUZI -SAMWIX

Mkuu wa Kituo cha Ukaguzi  wa Usalama barabarani wa Kituo cha Mabasi Ubungo, Ibrahim Samwix akizungumza leo baada ya kufanya ukaguzi amesema kuwa hakuna basi linaweza kuondoka katika kituo cha mabasi bila kufanyiwa ukaguzi.
Samwix amesema kuwa basi ambalo likibainika katika kituo cha Mabasi Ubungo lina makosa haliwezi kufanya safari zake ambapo amewataka wamiliki kufanya matengenezo ya mara mara ili kuondokana na adha ambazo watakuna nazo mara baada kufanya ukaguzi wa mabasi hayo.
Aidha...

 

2 years ago

Michuzi

MEYA WA JIJI LA DAR AFANYA ZIARA KITUO CHA MABASI UBUNGO

 Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na wafanyabiashara wa Stendi ya Mabasi Ubungo,wajumbe wa Kamati ya Fedha na uchumi ya Halmashauri ya Jiji alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha mabasi ubungo jana,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji.  Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwasikiliza Askari Polisi wa Ubungo alipofanya ziara ya kushtukiza jana katika kituo cha mabasi yaendoyo mikoani. katikati Mwenye Shati jeupe ni Diwani wa kata ya...

 

4 years ago

Michuzi

SUMATRA yaanza ukaguzi wa tiketi katika mabasi yaendayo mikoani

 Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) imeanza ukaguzi wa nauli katika vyombo vya usafirishaji hapa nchini hasa kwenye mabasi ya abiria yaendayo mikoani kutokea jijini Dar es salaam.
SUMATRA imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa kuna baadhi ya vyombo vya usafiri hasa mabasi ya Mikoani kuwa na tabia ya kuongeza nauli hasa katika kipindi hiki cha msimu sikukuu za Krismas na Mwaka mpya,ambapo mapema leo asubuhi maafisa wa Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) walitia timu katika...

 

4 years ago

GPL

KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO

Maji yakiwa yamejaa katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo. Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, maeneo…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani