IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, mhe. Jamhuri William (kushoto) wakati alipofanya ziara ya kikazi na kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo mkoani Iringa leo. Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akisalimiana na Maofisa wa Polisi wakati alipofanya ziara ya ukaguzi na kuzungumza na Maofisa na askari wa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo. Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akisalimiana na maafisa wa Jeshi hilo alipowasili Hospitali ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa, kwa lengo la kuzungumza na uongozi na kujionea namna ya utoaji wa huduma za afya kwa wateja. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (wa pili kulia), akimjulia hali mmoja kati ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa, alipofanya ukaguzi wa ghafla katika hospitali hiyo kwa lengo la kuzungumza na...

 

9 months ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KIKOSI CHA POLISI RELI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo kikosi cha Polisi Reli Dar es salaam leo wakati alipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika kikosi hicho kwa lengo la kujionea utayari wao katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Picha na Jeshi la Polisi.

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KITUO CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NCHI JIRANI CHA UBUNGO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (katika) alipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo na kituo cha daladala cha Mbezi Luisi, (kushoto) ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi ( ACP) Murilo Jumanne Murilo.
Na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka madereva na wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani na nchi jirani pamoja na wamiliki na madereva wa mabasi...

 

3 years ago

Michuzi

RC Masenza afanya ziara ya kikazi Wilayani Mufindi

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi. Amina Masenza amefanya ziara ya kikazi Wilayani Mufindi yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya maji katika kijiji cha sawala kilichopo halmashauri ya Wiaya ya Mufindi pamoja na chanzo cha maji cha mjini Mafinga.
Akizungumza katika chanzo cha maji kilichopo kijiji cha sawala ,Mkuu wa Mkoa amewaagiza wahandisi wa maji kuhakikisha miundombinu ya mradi huo inakuwa mizuri kwa kufanya vitu vya kisasa zaidi pamoja na kuomba ushauri kutoka taasisi nyingine ...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI

 ​Makamu wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  amesema Serikali inajitahidi kujenga na kutanua vituo vya Afya ikiwa na lengo la kupunguza msongamano kwenye hospitali za Wilaya.Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa kuweka jiwe la msingi  la upanuzi wa kituo cha Afya Ihongole kilichopo mjini Mafinga.
Makamu wa Rais ambaye yupo kwenye ziara ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Iringa ambapo leo alitembele wilaya ya Mufindi na kuweka mawe ya ...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka, kwa lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo. Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, ambaye amefika katika ofisi yake kwa lengo la kujitambulisha...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza jambo mbele ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Manyara, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa mkoa wa Manyara,...

 

10 months ago

Malunde

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI


Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi, Maulid Makabila kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (D/DCI) Zanzibar, huku akifanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.

Kabla ya uteuzi huo, Makabila alikuwa mkuu wa kitengo cha kuzuia uhalifu makao makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Mei 17, 2018 na msemaji wa polisi, Barnabas Mwakalukwa imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo aliyekuwa DCI Zanzibar, Ramadhan Ng’anzi...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na Kusini Pemba (hawapo pichani) leo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Kisiwa hicho, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Athuman, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Kaskazini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani