IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilaya zote mbili za Ikwiriri na Kibiti. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa operesheni maalum za Jeshi hilo, DCP Liberatus Sabas alipowasili Ikwiriri mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote mbili za Ikwiriri na Kibiti. Kulia ni Mkurugenzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Rufiji, Atangaza msako mkali

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP  Simon Sirro  jana alifanya mazungumzo na wazee pamoja na viongozi wa dini wilayani Kibiti mkoani Pwani ili kubaini wahalifu wanaotekeleza mauaji ya watu wilayani humo na kusema vyovyote itakavyokuwa lazima watawarudisha kwenye msitari.Alisema kupitia mazungumzo hayo tayari amepata taarifa za wahalifu hao ingawa ni mapema kuziweka wazi ila amewakikishia wananchi kuwa waalifu wao ni lazima watapatikana.“Kubwa ni kwamba wazee wetu wa Kibiti wametueleza...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka, kwa lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo. Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, ambaye amefika katika ofisi yake kwa lengo la kujitambulisha...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza jambo mbele ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Manyara, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa mkoa wa Manyara,...

 

4 years ago

Michuzi

IGP MANGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI PWANI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ,IGP Ernest Mangu akikagua gwaride lililo andaliwa kwa ajili yake wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Pwani .IGP alikuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo ambapo alizungumza na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa mkoa huo. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGPErnest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Evarest Ndikilo wakati alipomtembelea ofisini kwake wakati alipokuwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Pwani .IGP alikuwa katika ziara ya kikazi...

 

1 year ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI LINDI KWA AJILI YA KUONGEA NA ASKARI.

 IGP Simon Sirro  akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mh Shaibu Ndemanga baada ya kuwasili mkoani Lindi katika ziara ya siku moja ya kuongea na Askari.  Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akiwa na Askari wa Mkoa wa Lindi baada ya kumaliza kukagua  mazoezi ya ukakamavu na utayari yaliokuwa yameandaliwa na kikosi cha kupambana na uhalifu mkoani  humo.  Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na Kusini Pemba (hawapo pichani) leo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Kisiwa hicho, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Athuman, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Kaskazini...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akiwasili uwanja wa ndege kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kushoto ni kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi...

 

1 year ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akiwa ameongozana na kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Kipolisi Kinondoni (ASP) Solomoni Mwangamilo (Kulia), alipofanya ziara bandari ya Dar es salaam kukagua magari 31 ya Jeshi hilo ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. John Pombe Magufuli, alielekeza kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akimsikiliza kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa...

 

2 years ago

Mwananchi

IGP Sirro asema muda si mrefu atatoa majibu mauaji mkoani Pwani

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amesema muda si mrefu atatoa majibu ya suala la mauaji yanayotokea mkoani Pwani.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani