IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Rufiji, Atangaza msako mkali

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP  Simon Sirro  jana alifanya mazungumzo na wazee pamoja na viongozi wa dini wilayani Kibiti mkoani Pwani ili kubaini wahalifu wanaotekeleza mauaji ya watu wilayani humo na kusema vyovyote itakavyokuwa lazima watawarudisha kwenye msitari.Alisema kupitia mazungumzo hayo tayari amepata taarifa za wahalifu hao ingawa ni mapema kuziweka wazi ila amewakikishia wananchi kuwa waalifu wao ni lazima watapatikana.“Kubwa ni kwamba wazee wetu wa Kibiti wametueleza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro juni 6 alifanya mazungumzo na wazee pamoja na viongozi wa dini wilayani Kibiti mkoani Pwani ili kubaini wahalifu wanaotekeleza mauaji ya watu wilayani humo na kusema vyovyote itakavyokuwa lazima watawarudisha kwenye msitari.
IGP Sirro alisema kupitia mazungumzo hayo tayari amepata taarifa za wahalifu hao ingawa ni mapema kuziweka wazi ila amewahakikishia wananchi kuwa wahalifu wao ni lazima watapatikana.
“Kubwa ni kwamba wazee wetu wa Kibiti...

 

1 year ago

Michuzi

IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilaya zote mbili za Ikwiriri na Kibiti. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa operesheni maalum za Jeshi hilo, DCP Liberatus Sabas alipowasili Ikwiriri mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote mbili za Ikwiriri na Kibiti. Kulia ni Mkurugenzi wa...

 

2 years ago

VOASwahili

Polisi waanzisha msako mkali wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji

Jeshi la Polisi limeanza rasmi kuwasaka watuhumiwa 12 wa mauaji ya Polisi na raia katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji, Mkoa wa Pwani nchini Tanzania.

 

2 years ago

Mwananchi

IGP Sirro asubiriwa na wazee Rufiji, Kibiti

Wazee mbalimbali kutoka maeneo tofauti tofauti katika wilaya za Kibiti na Rufiji wakimsubiri  Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP), Simon Sirro kuzungumza nao katika ukumbi wa mikutano kwenye Shule ya Sekondari Kibiti.

 

2 years ago

Mwananchi

IGP Sirro akubali kuteta na wazee wa Rufiji, Kibiti

Dar es Salaam. Siku moja baada ya wakazi wa wilaya za Kibiti na Rufiji kumtaka azungumze na wazee, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amekubali wito huo na kwamba wiki ijayo atakwenda huko na kuzungumza nao.

 

2 years ago

Mwananchi

IGP Sirro: Tunaendelea na uchunguzi wa kina mauaji Kibiti, Rufiji

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Watanzania wawe wavumilivu kwa kuwa Polisi wanafanya uchunguzi wa kina kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani Pwani.

 

2 years ago

Mwananchi

IGP Sirro atangaza bingo la milioni 10 Rufiji

Dar es Salaam. Mkuu mpya wa majeshi, IGP Simon Sirro amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari leo,   na kutangaza dau nono la Sh10 milioni kwa atakayetoa taarifa kuhusu mauaji ya Kibiti, Rufiji na Mkuranga.

 

2 years ago

Michuzi

MASAUNI, IGP SIRRO WAWATAKA WANANCHI WILAYA YA KIBITI,RUFIJI KUFUNGUKA DHIDI YA VITENDO VYA UHALIFU NAWAHALIFUunnamed
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Bungu, wilayani Kibiti Mkoa wa Pwani, kuhusiana na masuala mbalimbali ya kupambana na wahalifu wilayani humo. Masauni ambaye aliambatana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro aliwataka wananchi hao kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuwasambaratisha wahalifu hao
1Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipokea...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka, kwa lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo. Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, ambaye amefika katika ofisi yake kwa lengo la kujitambulisha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani