IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akiwasili uwanja wa ndege kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kushoto ni kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI LINDI KWA AJILI YA KUONGEA NA ASKARI.

 IGP Simon Sirro  akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mh Shaibu Ndemanga baada ya kuwasili mkoani Lindi katika ziara ya siku moja ya kuongea na Askari.  Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akiwa na Askari wa Mkoa wa Lindi baada ya kumaliza kukagua  mazoezi ya ukakamavu na utayari yaliokuwa yameandaliwa na kikosi cha kupambana na uhalifu mkoani  humo.  Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI ,IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA ZANZIBAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maafisa hao akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kabla ya kwenda kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Ali Mohamed Shein. Kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamdani makame. Picha na Hassan Mndeme.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KAGERA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto) akizungumza na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Muandamizi wa Polisi (SACP) Augusine Ollomi, muda mfupi alipowasili. IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari pamoja na kujua chamgamoto wanazokutana nazo wakati wakitekeleza majukumu yao Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa kikosi maalum kinachofanya doria za...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo, IGP Sirro amewataka askari kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za nchi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akikagua kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) baada ya kuwasili mkoani Tanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWASILI MKOA WA ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, wakati alipofika ofisini kwake kujitambulisha na kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo, IGP Sirro, yupo mkoani Arusha, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kulinda usalama wa...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, alipowasili mkoa humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia pamoja na kuwakumbusha wajibu wa kutoa huduma bora kwa jamii.  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akikagua gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili katika mkoa wa Songwe, kwa ziara ya kikazi...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kushoto), akiwa ameongozana na kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa,(ACP) Julius Mjengi (kulia), alipowasili katika mkoa huo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake za kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia. Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akikagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili mkoani Iringa, kwa ziara ya kikazi yenye lengo...

 

4 years ago

Michuzi

IGP MANGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI PWANI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ,IGP Ernest Mangu akikagua gwaride lililo andaliwa kwa ajili yake wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Pwani .IGP alikuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo ambapo alizungumza na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa mkoa huo. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGPErnest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Evarest Ndikilo wakati alipomtembelea ofisini kwake wakati alipokuwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Pwani .IGP alikuwa katika ziara ya kikazi...

 

3 years ago

Michuzi

IGP MANGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI GEITA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akiwa ameambatana pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Geita, jana wakati alipotembea ofisi za Mkuu wa mkoa wa Geita, Meja Jenerali (Mst) Ezekiel E. Kyunga (watatu kutoka kushoto),  IGP Mangu yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya kipolisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akifuatilia jambo kwa makini kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Geita, Meja Jenerali (Mst) Ezekiel E. Kyunga, pamoja...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani