IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUTENDA HAKI KWA WANANCHI WANAOWAHUDUMIA BARIADI, SIMIYU

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (wapili kushoto), akikagua baadhi ya vielelezo katika kituo Kikuu cha Polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya kuzungumza na maofisa na askari mkoani humo, IGP Sirro amewataka askari kufanyakazi kwa weledi na kuzingatia maadili ya kazi pamoja na kutenda haki kwa wananchi wanaowahudumia. Picha na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima kutoka kwa askari wa kikosi maalum cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akimsikiliza Kmamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas Mkondya, leo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi alipowasili mkoa wa Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku...

 

1 year ago

Zanzibar 24

IGP simon sirro awataka askari wa FFU kuwa na nidhamu

Mkuu wa Jeshi la Polisi  Tanzania IGP Simon Sirro amekitaka kikosi cha kutuliza ghasia FFU  kanda  ya Zanzibar kuwa na nidhamu ya kazi hasa  katika kulinda mali na fedha za jeshi zinazopatikana  kuzitumia kwa malengo.

Akizungumza na Askari  wa FFU wa Mikoa mitatu  katika ziara yake aliyoifanya Zanzibar amesema kikosi cha kutuliza ghasia kina kazi kubwa katika mapambano mbalimbali nchini hivyo ni vyema  kujipanga na kuongeza kasi ya mapambano ili kukabiliana na matukio yanayotokea.

Amesema...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WETE-KASKAZINI PEMBA,AWATAKA VIONGOZI WA CUF KUTENDA HAKI KWA WANANCHI.

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukikatiza mapema jioni ya leo katikati ya msitu ukielekea katika kijiji cha Mnarani -Makangale kuzungumza na wanachama wa chama hicho,micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na baadhi ya Vijana wapatao 105 waliokuwa chama cha CUF na kuhamia CCM,katika kijiji cha Mnarani Makangale,ambapo alikwenda kushiriki ujenzi wa tawi lao liitwalo Maskani tuheshimiane.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza na...

 

1 year ago

Michuzi

IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI.

Mkuu wa jeshi la polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja jana alipokwenda kufanya mazungumzo ya kikazi na maofisa na askari visiwani Unguja. IGP Simon aliwataka askari visiwani humo kuheshimu wananchi wakiwa kwenye kazi zao ili kuendelea kuleta heshima ya jeshi la polisi.
Askari wa vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja wakimsiliza  IGP Simon Sirro alipokuwa anazungumza nao

 

2 years ago

Channelten

IGP Simon Sirro awapomgeza askari, azungumza na wananchi Kibiti

1-45

Wananchi wa Kibiti mkoani Pwani wametakiwa kuendelea na shughuli zao za kimaendeleo na kijamii ikiwemo kushiriki katika ibada misikitini na makanisani kutokana na kuimarika kwa hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro alipokwenda kuwatembelea baadhi ya wananchi mkoani humo kufuatia kuuawa kwa wahalifu 13 katika eneo la Gari Bovu, kijiji cha Chamiwaleni, Kata ya Mchukwi, Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Kipolisi Rufiji.

IGP Sirro pia...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI BARIADI MKOANI SIMIYU, AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA YA SIMIYU PIA AFUNGUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI (KM 71.8)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame MbarawaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa...

 

1 year ago

Michuzi

IGP SIRRO AKAGUA MAKAZI YA ASKARI YALIYOTEKETEA KWA MOTO ARUSHA.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiangalia eneo lililoathiriwa na ajali ya moto iliyoteketeza makazi ya askari  tukio lililotokea jana majira ya jioni, IGP Sirro yupo mkoani Arusha, kwa ajili ya kuwapa pole askari na familia zao pamoja na salamu za pole kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli, na kutoa jumla ya kiasi cha shilingi milioni 260 kwa ajili ya kujenga upya makazi yao kulia ni kamanda wa Polisi mkoani humo (DCP) Charles Mkumbo. MKUU wa...

 

1 year ago

Malunde

IGP SIRRO : NI AIBU KWA MWANASIASA KUTAKA KUMFUNDISHA KAZI ASKARI....SITAKI MALUMBANO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema hataki malumbano na hana majibu kuhusu shinikizo linalotolewa na Chadema na familia ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kuruhusu vyombo vya nje kufanya uchunguzi wa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi kwa mbunge huyo.

IGP Sirro amesema hayo jana Jumapili jijini hapa, akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alipojibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kujua kauli yake baada ya familia ya Lissu na viongozi wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Samia awataka waiga utumbuaji kutenda haki

Wakati viongozi wakiendeleza kasi ya Rais John Magufuli ya utumbuaji wa majipu, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaoiga kasi hiyo kutenda haki, ikiwamo kufuata taratibu na sheria.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani