IPTL YAKANUSHA TUHUMA ZA RUSHWA NA TAARIFA ZA UONGO ZILIZOCHAPISHWA NA GAZETI LA MWANAHALISI

Kaimu Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited Bwn. Joseph O. R. Makandege (katikati), akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa inayodiwa ni ya upotoshaji iliyochapishwa na gazeti la MwanaHALISI ikihusisha IPTL kutoa rushwa kwa viongozi waandamizi wa ikulu na watendaji waandamizi wengine serikalini. Kulia ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa IPTL Bw. Parthiban...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

TAARIFA ZA UPOTOSHWAJI ZA GAZETI LA MWANAHALISI KUHUSIANA NA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KIJITOUPELE


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. KUHUSU UPOTOSHWAJI WA TAARIFA ZILIZOANDIKWA NA GAZETI LA MWANAHALISI KUHUSIANA NA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA  KIJITOUPELE


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inapenda kutaarifu Umma na Watanzania kwa ujumla kuwa Jimbo la Kijitoupele lililoko  Zanzibar ni miongoni mwa Majimbo hamsini(50) ambayo yalitegemewa kufanya uchaguzi mkuu tarehe 25, oktoba,2015. 
Hata hivyo Jimbo hilo halikufanya uchaguzi wake wa...

 

3 years ago

Bongo5

Viongozi wa dini wadai gazeti la Tanzania Daima limetoa taarifa ya uongo

Viongozi wa dini wamepinga taarifa zilizochapishwa na gazeti la Tanzania Daima Septemba 21 zinazodai kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amekataa kuonana na viongozi hao.

fullsizerender_1-702x336

Gazeti hilo lilichapisha taarifa hiyo iliyokuwa na kichwa cha habari kinachosomeka, “Magufuli awatosa viongozi wa dini”. Akiongea na waandishi wa habari Ijumaa hii ofisini kwake, Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum amesema taarifa hizo si za kweli.

“Taarifa hizo si za kweli, zimelenga...

 

5 years ago

Michuzi

NHC yakanusha tuhuma zilizoandikwa na moja ya Gazeti la kila siku juu ya Mkurugenzi Mkuu wake

1Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe akisoma taarifa ya shirika hilo kukanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu Kyando ameundiwa zengwe na baadhi ya wabunge ili aondolewe katika shirika hilo, wanaofuaia katika picha ni Muungano Saguya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii, Bw. Martin Mdoe Mkuu wa Kitengo cha Sheria na Benedict Kilimba Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki2

 

3 years ago

Dewji Blog

UTT-PID yakanusha taarifa za uongo zinazosambazwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu ‘’UTT Projects and Infrastructure Development Plc’’ (UTT-PID) ni Taasisi inayomilikiwa na Serikali ya Tanzania na kuendeshwa chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.

Menejimenti ya UTT-PID imesikitishwa na kitendo cha moja ya gazeti la kila wiki linalotoka hapa Tanzania katika matoleo yake mawili yaliyopita ya mwezi wa Machi 7 na Machi 14, mwaka huu kwa kuandika habari zisizo sahihi bila kupata maelezo ya Taasisi husika kinyume na maadili ya uandishi...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mahakama ya Tanzania yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi

Mahakama ya Tanzania imetoa taarifa ya kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya habari iliyoandikwa na gazeti la kila siku la Mwananchi toleo la Jumanne, Julai 12, 2016. Gazeti hilo lilichapisha habari ambayo Mwandishi wa habari hiyo alimnukuu Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Katarina Revokati akiwataka watendaji wa mahakama nchini kujenga utamaduni wa kuwajibika na kutoruhusu uhuru wa mahakama kuingiliwa na watu kutoka nje ya Mahakama.

Kutokana na habari hiyo, Mahakama ya Tanzania...

 

4 years ago

Michuzi

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani