JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Selemani Jafo amezitaka Taasisi za serikali zinazo shughulika na masuala ya ujenzi kuwa kinara kwa ubora wa kazi zinazotekelezwa na taasisi hizo.
 Jafo ameyasema hayo leo alipokuwa akikagua ujenzi wa jengo la halmashauri ya Makambako mkoani Njombe linalo jengwa na kampuni ya  MZINGA CORPORATION.
Katika ukaguzi huo, jafo ameagiza kazi hiyo ifanyike kwa ubora wa hali ya juu ili kuliwezesha jengo hilo kudumu kwa miaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUKAMILISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amezitaka halmashauri zote kukamilisha miradi ya ujenzi wa madarasa, mabweni, vyoo, maabara, na miundombinu mingine ya shule za msingi na sekondari kabla tarehe 30 Novemba mwaka huu.
Jafo aliyasema hayo leo hii alipokuwa akifanya ukaguzi wa miradi hiyo katika shule ya Nzasa na Ihumwa zilizopo katika manispaa ya Dodoma. 
Mnamo mwezi Juni serikali ilitoa fedha kupitia mpango wa lipa kwa matokeo (P4R) sh.bilioni 16 kwa ajili ya miundo...

 

4 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA MADINI AZITAKA TAASISI ZA MAZINGIRA NCHINI KUONGEZA USHIRIKIANO KWENYE MIGODI

Na Greyson Mwase, BagamoyoTaasisi zinazohusika na usimamizi wa sheria na kanuni za mazingira zimetakiwa kushirikiana kwa karibu zaidi ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa mazingira migodini na kuepuka mwingiliano wa majukumu.
Wito huo umetolewa na Kamishna Msaidizi wa Madini – Ukaguzi wa Migodi Mhandisi Ally Samaje katika mahojiano maalum kwenye mafunzo yanayohusisha Makamishna Wasaidizi wa Madini, Wakaazi kutoka Wizara ya Nishati na Madini Tanzania na wataalam kutoka India yanayoendelea...

 

2 years ago

Channelten

Prof.Mbarawa atembelea TTCL Azitaka Taasisi za Serikali kutumia Data Centre

Screen Shot 2017-01-16 at 2.16.29 PM

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa amezitaka Taasisi za Serikali zenye mpango wa kujenga ‘Vituo vya Kuhifadhi Data’ kuacha kufanya hivyo na badala yake wakitumie kituo cha kuhifadhi data kilichojengwa na Serikali ambacho ni cha kisasa na kina uwezo mkubwa.

Prof Mbarawa ametoa wito huo jijini Dar es salaam wakati alipotembelea Kampuni ya Mawasiliano Tanzania TTCL kwa lengo la kujua changamoto zinazowakabili na kutoa maelekezo ya jinsi ya kuzitatua changamoto...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AZITAKA TEMESA, TBA NA NCC KUFANYA KAZI KWA UADILIFU.

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akiongea  wakati wa kikao na wafanyakazi wa   Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) alipowatembelea katika ofisi zao leo jijini Dar es Salaam, wakati wa  ziara ya kuzitambua tasisi zilizopo chini ya wizara yake  kushoto ni Mtendaji Mkuu  wa Wakala wa TBA Arch.Elius Mwakalinga. Wafanyakazi wa   Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani (hayupo katika picha)...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AZITAKA TEMESA, TBA NA NCC KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akiongea na menejimenti ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) alipowatembelea katika ofisi zao leo jijini Dar es Salaam, wakati wa ziara ya kuzitambua taasisi zilizopo chini ya wizara yake.Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani (Kushoto) akifafanua jambo kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) Mhandisi.Julius Mamilo(kulia) wakati ziara yake ya kuzitambua tasisi zilizo chini ya...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA AZITAKA TAASISI ZA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANDA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Makame Mbarawa amezitaka Taasisi za Sekta binafsi kushirikiana na Serikali katika kukuza uchumi wa viwanda.
Amezitaka sekta hizo kutumia fursa za uwekezaji zinazotolewa na Serikali kama vile ujenzi wa reli ya kati, njia ya magari ya haraka (Dar- Chalinze express way) na upanuzi wa viwanja vya ndege mbalimbali nchini.
Ametoa pendekezo hilo jijini Dar es salaam wakati akifungua semina ya wataalamu wa Tanzania na China katika kujadili...

 

1 year ago

Michuzi

MAVUNDE AZITAKA TAASISI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WATU WENYE ULEMAVU

NAIBU waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde leo amekabidhi msaada wa fimbo za kisasa thelathini (30)kwa ajili ya watu wasioona wa mkoa wa Dodoma huku akitoa rai kwa taasisi binafsi na jamii kuweka utaratibu wa kusaidia makundi yenye mahitaji.
Msaada huo umetolewa na taasisi inayojishughulisha na kutoa huduma ya mikopo(NEXT GENERATION MICROFINANCE).
Akikabidhi msaada huo Mavunde ambaye ni mbunge wa Dodoma mjini ameipongeza taasisi hiyo kwa kutumia faida...

 

3 years ago

Michuzi

TAASISI YA NITETEE YAIOMBA SERIKALI KUTOA RUZUKU KWA TAASISI ZINAZOFANYA KAZI VIZURI


Serikali imetakiwa kuziangalia kwa jicho la tatu ikiwa ni pamoja na kuangalia uwezekano wa kuanza kutoa ruzuku kwa taasisi za watu binafsi zinazofanya kazi ya kufuatilia na kubaini matatizo yanayowakumba wananchi kama afanyavyo, Flora Lauwo Mkurugenzi wa Taasisi ya Nitetee.

Licha ya serikali kutambua mchango unaotolewa na taasisi hizo, jamii nayo imeaswa kujitokeza kuwasaidia watu ambao wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia ,maradhi na wale ...

 

2 years ago

Raia Mwema

Uvumilivu: Jinsi Ninon Marapachi alivyotoka kwenye umaskini Tanzania hadi kuwa kinara kwenye kiini cha uchumi wa dunia huko Wall Street Marekani

Picha kwa hisani ya Ninon Marapachi na kutengenezwa na Kendrick Daye

Ninon Marapachi ni Mkuu wa Kitengo cha Mfuko wa Kufidia kushuka kwa bei ya bidhaa yaani Hedge Fund kwenye Bank of America. Kitengo hicho kipo upande wa Global Wealth Investment ndani ya benk hiyo kubwa duniani.

Kuwa na cheo kikubwa namna hiyo kwenye moja ya benki kubwa duniani si kitu rahisi, hasa pale ambapo maisha yako yanapokuwa yalianza kijijini nchini Tanzania. Katika muda ambao mazungumzo katika nchi yanazidi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani