Jambazi afanya jaribio la kupora bastola akiwa mikononi mwa polisi Zanzibar

Jambazi mmoja ambaye jina lake halikupatikana alifanya jaribio la kupora bastola ya polisi akiwa chini ya ulinzi wa polisi wakati jambazi huyo pamoja na wenzake wawili walipokuwa wakisafirishwa kutoka bandari ya unguja kuelekea Dar es Salaam.

Tukio hilo lilitokezea wakati jambazi huyo aliyekuwa amefungwa pingu kwa mbele, zilipokuwa zinabadilishwa pingu hizo ili kufungwa kwa nyuma ndipo ghafla baada tu ya kufunguliwa alipofanya jaribio la kupora bastola hiyo. Hata hivyo jaribio hilo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

Jambazi lauwawa  katika jaribio la kupora fedha mkoani Tanga

 

POLISI wamemuua kwa  risasi jambazi Matiasi Mtangi baada ya kupora fedha na kumjeruhi askari wa jeshi hilo kwa risasi pamoja na raia wengine wawili.

Polisi pia wanawashikilia majambazi wengine wawili walioshirikiana na jambazi aliyeuwawa kutekeleza tukio hilo  ambapo tukio hilo lililofanyika barabara ya sita na ya saba jijini Tanga.

Majambazi hao baada ya kupora fedha kiasi cha shilingi laki mbili walimpiga risasi askari polisi ,wananchi aliyekuwa akikabiliana nao na mwendesha pikipiki...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mbowe mikononi mwa polisi

JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Lisu mikononi mwa polisi

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi na anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Jijini Dar es Salaam.

Mbunge huyo amekamatwa punde tu baada ya kutoka Mahakama ya Kisutu ambako kesi dhidi yake kuhusu tuhuma za uchochezi ilifutwa na kukamatwa tena nje ya mahakama hiyo mara baada ya kumaliza kusikilizwa kwa kesi hiyo.

Hadi sasa sababu za kukamatwa hazijajulikana ingawa katika ujumbe alioutuma akiwa njiani kwenda kituoni hapo amehusisha kukamatwa kwake na...

 

5 years ago

Mtanzania

Hatima ya Kibonde mikononi mwa Polisi

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura, amesema Jeshi hilo kwa sasa lipo katika uchunguzi dhidi ya mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gadna Habash wa Times FM, ambao wameachiwa huru kwa dhamana.

Kamanda Wambura aliliambia MTANZANIA jana kwamba baada ya uchunguzi huo, iwapo watapatikana na hatia, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao, ikiwa ni pamoja na...

 

3 years ago

Mwananchi

Operesheni ya Chadema mikononi mwa polisi

Mji wa Kahama mkoani Shinyanga jana ulisimama kwa saa kadhaa baada ya Jeshi la Polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya viongozi wa Chadema na wanachama wa chama hicho waliokuwa katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa ziara ya Operesheni Demokrasia.

 

3 years ago

Raia Mwema

Godbless Lema mikononi mwa polisi

godbless_lema

Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini

Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless lema bado anashikiliwa kituo kikuu cha polisi mjini Arusha akihojiwa maafisa wa upelelezi wa jeshi la polisi.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa arusha  charles mkumbo mbunge huyo anahojiwa kwa tuhuma za kusambaza katika mitandao kijamii video yenye kauli za kichochezi wiki iliyopita na atafikishwa mahakamani watakapokamilisha mahojiano

 

2 years ago

Habarileo

Mbowe mikononi mwa Polisi Dar

KATIKA kile kinachoelezwa kuwa ni kuitikia mwito wa Jeshi la Polisi uliomtaka afike Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kwa mahojiano jana, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, hatimaye jana amefika kituoni hapo.

 

4 years ago

Mwananchi

Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane

Hofu imewakumba waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephano, Kisarawe mkoani Pwani katika ibada ya Ijumaa Kuu baada mtu mmoja kukamatwa katikati ya ibada ya Ijumaa Kuu akiwa na bastola yenye risasi nane.

 

5 years ago

Mwananchi

Mwandishi Mwananchi ajeruhiwa mikononi mwa polisi

Mwandishi wa habari wa Magazeti ya Mwananchi Communications Ltd, mkoani Geita, Salum Maige amejeruhiwa vibaya jichoni baada ya kushambuliwa na kundi la watu wanaodaiwa kuwa ni askari wa Kituo cha Polisi Geita.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani