Jamii imetakiwa kuwachunguza walimu wa Madrasa kabla ya kuwakabidhi watoto

Jamii imetakiwa kuwachunguza walimu wa Madrasa kabla ya kuwakabidhi watoto kuwafundisha ili kuwakinga na Vitendo viovu vilivyo enea katika jamii ya Zanzibar.

Hayo yamesemwa na Naibu Kadhi wa Zanzibar Hassan Othman Ngwali katika hafla ya Mashindano ya Qur an yaliyofanyika Masjid Muhamad Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharib Unguja yaliyo andaliwa na Direct Aid.

Moja ya washiriki katika Mashindano hayo ndugu Omar Ali Ahmad
yaliyoandaliwa na Direct Aid ya juzuu 30.

Shekhe Othman Ngwali amewataka...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

(Yesterday)

Michuzi

KITENGO CHA LISHE WIZARA YA AFYA ZANZIBAR CHAWATAKA WANAHABARI NA WALIMU WA MADRASA KUSAIDIA KUHAMASISHA JAMII

Wilaya ya Kaskazini B imetajwa kuwa Wilaya iliyo chini zaidi katika kutekeleza zoezi la kuwapatia Watoto wao Vitamin A na Dawa za Minyoo hivyo juhudi zinahitajika zaidi kuondosha tatizo hilo.
Afisa Lishe Kitengo cha Lishe wa Subira Bakari Ame amebainisha hayo wakati akitoa takwimu za zoezi lililofanyika Mwezi Disemba mwaka jana kwa Waandishi wa habari na Wadau wengine wa afya katika ukumbi wa Hospital ya Wagonjwa wa akili Kidongo chekundu.
Amesema hali hiyo inatokana na sababu mbali mbali...

 

3 years ago

Channelten

Jamii imetakiwa kuweka kipaumbele katika kusaidia watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu

Screen Shot 2016-02-24 at 2.36.49 PM

Jamii imetakiwa kuweka kipaumbele katika kusaidia watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu ikiwemo kuwasaidia katika suala zima la elimu pamoja na malazi.

Wito huo umetolewa na wanafunzi wa Shule ya DYCC ya Chang’ombe jijini dsm ambao wamejichangisha na kutoa vitu mbali mbali ikiwemo vyakula,mchele ,sukari,sabuni nguo pamoja na Vifaa vya shule kwa ajili ya kitu cha kulelea yatima cha mwana kilichopo Vingunguti jijini dsm.

Mlezi wa kituo hicho Bi,Sada Omar amesema pamoja na baadhi ya...

 

3 years ago

Channelten

Wafugaji waiomba Serikali Kuwakabidhi Hekta 45,000 Kabla ya Oparesheni

mifugo_kilombero

Kufuatia agizo la serikali la kuwataka wakuu wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya oparesheni ya kuwaondoa wafugaji wavamizi katika maeneo mbalimbali nchini, wafigaji jamii ya wasukuma wilayani Kilombero wameiomba serikali kuwapatia maeneo yaliyotengwa kwaajili ya ufugaji wilayani humo yenye ukubwa wa hekta 45000.

Wakiongea na channel ten wafugaji hao wamesema kuwa katika bajeti ya mwaka uliopita serikali ilitanganza kutenga hekta hizo kwaajili ya shughuli za ufugaji lakini mpaka...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Serikali yashauriwa kulipatia ufumbuzi tatizo la Walimu wa Madrasa kutolipwa

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeshauriwa kulipatia ufumbuzi wa haraka tatizo la kutolipwa walimu wa madrasa ili waweze  kunufaika na elimu wanazotoa kwa wanafunzi.

Akizungumza na Zanzibar24 nje ya maulidi ya Kumswalima Mtume Muhammad (S.A.W) katika madrasa ya kadiria B huko Bububu  Mkuu wa Chuo cha kiislamu Zanzibar Dk.Muhidin Ahmad Khamisi amesema  mbali na walimu wa madrasa kujitolea katika kuwasomesha wananfunzi lakini wamekuwa wanakosa malipo maalum kulinganisha na elimu zao.

Hata...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Jamii nchini imetakiwa kuwathamini wazee kwa kuwapatia mambo ya msingi

Jamii nchini imetakiwa kuwathamini wazee kwa kuwapatia mambo ya msingi katika maisha yao ikiwemo matibabu ili kujikinga na maradhi mbalimbali
.
Akizungumza katika zoezi la upimaji wa afya lililowashirikisha wazee wa wilaya ya kusini Mkuu wa wilaya hiyo Idrisa Kitwana Mustafa amesema kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuwawekea mazingira mazuri wazee hao pamoja na kuenda sambamba na lengo la serikali la kuwaenzi wazee wa Zanzibar.

Zoezi hili limefanyika jana ikiwa ni  maadhimisho ya siku ya wazee...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Serikali yatoa onyo kali kwa walimu wa Madrasa wataojihusihsa na vitendo vya Udhalilishaji

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  imesema haitafumbia macho vitendo vya udhalilishaji ambavyo vinahusishwa na baadhi ya  walimu wa madrasa  na badala yake itawachukulia hatua za kisheria watakao husika na vitendo hivyo.

Akizungumza katika Semina kwa walimu wa Madrasa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais katiba,sheria,utumishi wa umma na utawala bora Khamis Juma Mwalimu amesema kumezuka tatizo la walimu wa madrasa kujihusisha na vitendo  vya udhalilishaji kwa kuwalawiti na kuwadhalilisha...

 

5 years ago

Dewji Blog

Jamii imetakiwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira yanayowazunguka kuboresha afya za famila zao

DSC_0494

Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole, akiendesha mafunzo ya siku nne ya wanahabari na watangazaji wa redio jamii yaliyofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa kushirikiana na UNESCO yaliyofanyika katika ukumbi wa Kartasi uliopo wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.

Na Mwandishi wetu 

Wito huo umetolewa na Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole katika semina ya siku nne kwa waandishi wa habari na...

 

4 years ago

Bongo Movies

Jokate Aangushiwa Dua na Watoto wa Madrasa!

Mwanamitindo, mtangazaji muimbaji na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, ametembelea kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya Ubungo jijini Dar kisha kuangushiwa dua ya nguvu na watoto wa madrasa.

Wikiendi iliyopita Jokate alifika kituoni hapo kutoa misaada mbalimbali huku akiwa amejitanda kichwa chake ambapo alijumuika na watoto hao naye akakaa kwenye mkeka ndipo akazungukwa na watoto hao yatima kisha kuombewa dua ili abarikiwe na mambo yake yaende vizuri.

“Nilifurahi...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Serikali imetakiwa kushirikiana na taasisi zisizo za kiserikali ili kuweza kutatua migogoro mbalimbali katika jamii

Shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi ya kuisaidia jamii juu ya mambo mbalimbali  ya kimaendeleo Search for Common Ground limesema uwepo wa tatizo la migogoro  mbalimbali  ikiwemo ya wenyewe kwa wenyewe, Ardhi  na Udhalilishaji  katika jamii  ipo haja kwa serikali kushirikiana na taasisi zisizo za kiserikali  kuhakikisha wanayatafutia ufumbuzi kabla ya taifa  halijaathirika kutokana na migogoro hiyo.

Akizungumza  na Zanzibar24  Mratibu Mradi kutoka katika shirika la Search  Khalid...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani