January Makamba ajibu hoja za wabunge kuhusu kero za muungano

Licha ya wabunge hasa wa upinzani kuchachamaa kuhusu kero za Muungano, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba ametumia dakika 30 kujibu hoja hizo walizozieleza wakati wa mjadala wa bajeti ya ofisi hiyo kwa mwaka 2018/19.

Katika mjadala huo wabunge walihoji juu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano kutokuwa na dhamira ya kuisaidia Zanzibar kiuchumi, vikwazo vya kupeleka bidhaa kutoka upande mmoja kwenda mwingine, Zanzibar kutopata mikopo, utozwaji wa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Makamba: Kuzishughulikia kero za Muungano ndio kipaumbele chetu

WAZIRI wa Nchi afisi ya Makamu wa rais Muungano Mhe: Januari Yussuf Makamba, amesema kipaumbele cha kwanza ndani ya wizara anayoiongoza, ni kuzishughulikia kero zote Muungano wa Tanganyika Zanzibar, ili kuwe na usawa kwenye utendaji wa kazi kwa pande zote.

Alisema anayodhamira ya kweli ya kuondoa kero, changamoto na malalamiko yanahusua Muungano huo, akiamini kuwa kama hilo litafanyika, linaweza kuimarisha maisha ya wananchi wa pande zote.

Waziri Makamba ameeleza hayo, ofisi ya Mkuu wa Mkoa...

 

3 years ago

Mwananchi

January Makamba-Waziri wa Nchi, Ofisi ya M/Rais, Muungano na Mazingira

January Yusuph Makamba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira katika Serikali ya Awamu ya Tano. Ameteuliwa kwenye baraza la kwanza la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MAZINGIRA NA MUUNGANO, JANUARY MAKAMBA AKUTANA NA WANAUWAMITA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba akiangalia baadhi ya sampuli za mifuko isiyoharibu mazingira ambayo inatengenezwa na Umoja wa Watengeneza mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) Kulia  ni Mwenyekiti wa kikundi hiko Jumanne Mgude. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, akiongea na Wanakikundi wa Umoja wa Watengeneza Mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) walipomtembelea Ofisini...

 

2 years ago

Mwananchi

Wajumbe BLW wakutana na Makamba kuhusu Muungano

Wajumbe   wa Baraza   la   Wawakilishi(BLW) wa   Serikali ya Mapinduzi   Zanzibar  (SMZ ambao   pia   ni  wajumbe  wa  kamati  ya  Kusimamia   viongozi   wakuu  wa  kitaifa wamekutana  na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa  Rais   anayeshughulikia Masuala ya Muungano na Mazingira, January Makamba wakiwa   na   lengo   la kuzungumzia baadhi ya changamoto za Muungano na kubadilishana mawazo katika maeneo ya muungano.

 

3 years ago

MillardAyo

Maagizo 5 aliyoyatoa January Makamba kuhusu Migogoro ya Wakulima na Wafugaji Morogoro

whatsapp-image-2016-10-17-at-10-28-17-am

Jumapili ya October 16, 2016 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba amekutana na kuzungumza na wakazi wa kijiji cha Mbwade, Kata ya Madoto, Wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro juu ya athari za mabadiliko ya tabia nchi na athari zake kwa jamii. Waziri Makamba akiwa na viongozi wa wilaya […]

The post Maagizo 5 aliyoyatoa January Makamba kuhusu Migogoro ya Wakulima na Wafugaji Morogoro appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

CCM Blog

MHE. JANUARY Y. MAKAMBA (MB), ASHIRIKI KUPANDA MITI AINA MIKOKO KATIKA FUKWE ZA BWENI DSM.WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA)Katika kuelekea  siku ya mazingira duniani,Leo tarehe 4/6/2016 Mhe.January Makamba ameitumia siku yake kushirikiana na wananchi wa Kata na mtaa wa bweni wilayani Kinondoni,jijini dar es salaam. kupanda miti aina ya mikoko ili kuhifadhi na kurinda fukwe za bweni katika habari ya hindi.
Mhe.January Makamba akisalimiana na viongozi wa mtaa wa bweni.
 

Wananchi na Mh.waziri wikielekea eneo la tukio

Mhe.Waziri akipanda  miti aina ya mikoko

Mhe.Waziri pamoja na wanachi wakiondoka eneo la tukio 

 

4 years ago

Bongo5

Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba Fid Q

Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q amedai kuwa kampeni aliyoanzisha mwaka jana ya Tu8 January ambayo ilishuhudia kufanyika kwa ziara za wasanii katika baadhi ya maeneo nchini, haina uhusiano wowote na January Makamba. Akiongea kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya, Fid alisema kampeni hiyo ilijihusisha na kuwataka vijana kujitokeza kwenda kujiandikisha […]

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Nape Nnauye alivyozijibu hoja za Wabunge kuhusu muswada wa habari

screen-shot-2016-11-05-at-6-35-09-pm

November 5 2016 bunge limepitisha rasmi muswada wa huduma za vyombo vya habari wa mwaka 2016, hapa nimekusogezea video ya Waziri Nape alipokuwa akizijibu hoja za wabunge ikiwemo zile zilizokuwa zikikosoa muswada huo kabla ya kupitishwa, tazama hii video hapa chini VIDEO: Hussein Bashe kasimama tena bungeni, sasa hivi ni kuhusu Muswada wa habari

The post VIDEO: Nape Nnauye alivyozijibu hoja za Wabunge kuhusu muswada wa habari appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani