JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’

MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

TUZO ZA ZIFF: FILAMU YA SHAHADA NA SHIKAMOO MZEE ZAIBUKA NA TUZO

Mwongozaji na msanii wa filamu anayemiliki Studio ya Five Effect, William J. Mtitu akipokea tuzo kwa niaba ya Issa Mussa 'Cloud'. FILAMU ya msanii Issa Mussa 'Cloud' iitwayo Shahada na ile ya wasanii King Majuto, Jacob Steven 'JB' na Shamsa Ford 'Shikamoo Mzee' zimejishinda tuzo jana katika Tamasha la ZIFF linaloendelea Ngome Kongwe Visiwani Zanzibar! ...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga Wakitisa Ndani ya ‘Pauka na Pakawa’ (Video)

mzee majanga562

Wakali wa ‘comedy’ kwenye tasnia ya Bongo Movies, Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga wamefanya kweli kwenye filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Pauka na Pakawa inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ambapo unaambiwa “Zama za kale  Paka na Mbwa walipendana sana, hawakuona tofauti iliyopo kati yao. Na siku walipojuzwa tofauti zao, ndipo vita ikaibuka…”

Jionee ‘Trailer’ ya Filamu hiyo hapa:

 

5 years ago

GPL

MZEE MAJUTO, LULU, MILLARD AYO WANG’ARA TUZO ZA WATU

Baadhi ya mastaa wote waliyojipatia tuzo wakiwa kwenye pozi la pamoja muda mfupi baada ya zoezi la utoaji tuzo kukamilika.
Miss Tanzania 2004, Faraja Kota (kulia), akimkabidhi tuzo ya Msanii Bora wa Filamu Anayependwa, Mzee Majuto.…

 

4 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ATAPELIWA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
CHANGA! Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutapeliwa shilingi milioni mbili alizopaswa kulipwa kwenye shoo ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Posta, jijini Dar. Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wiki moja kabla ya shoo...

 

2 years ago

Michuzi

3 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA

Gladness Mallya BAADA ya kutokea vifo vya mahujaji zaidi ya mia saba waliokuwa wakishiriki Hija karibu na mji mtakatifu wa Waislam wa Makka, staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ amesimulia alivyonusurika kwenye tukio hilo la kukanyagana. Staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ akiwa na mahujaji wenzie. Akizungumza na gazeti hili mke wa Mzee Majuto, Aisha alisema baada...

 

2 years ago

Bongo Movies

Hali ya Mzee Majuto Kwasasa

Baada ya kulazwa hospitali kwa muda wa siku tatu , muigizaji wa filamu za vichekesho Mzee Majuto ameruhusiwa na kurudi nyumbani kwake baada ya kufanyiwa upasuaji wa hernia (ngiri) mkoani Tanga.

Akizungumza kwa njia ya simu mke wa Mzee Majuto Bi. Aisha Majuto amesema kwamba tatizo lililokuwa likimsumbua mumewe lilianza siku nyingi ingawa  kwa wiki iliyopita hali ilibadilika na kuwa mbaya zaidi hadi kufikia kulazwa.

“Ni kweli tulikuwa tumelazwa lakini mume wangu amesharuhusiwa na...

 

1 year ago

Bongo Movies

Uganga Basi – Mzee Majuto

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mzee Majuto amefunguka na kuweka wazi kwamba sinema ndio kitu pekee kinachomfanya aweze kutamba mjini ‘kuishi’ huku akidai ana kazi nane ameshazifanya ameziweka ndani tu, na uganga basi ndio imetoka.

Mzee Majuto amesema hayo wakati alipokuwa akipiga stori mbili tatu alipotembelewa na wasanii wenzake Jacob Stephen ‘JB’ pamoja na Single Mtambalike ‘Richie’, katika hospitali ya Tumaini Jijini Dar es Salaam alipolazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Waliomtapeli Mzee Majuto wakamatwa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuna Kampuni iko Mwanza iliingia Mkataba na King Majuto na Mkataba huo ulikuwa ni wakumlipa Milioni 24 wakatoa check, check hiyo ikawa haina Pesa, Hivyo serikali imewachukulia hatua wahusika.

“Naomba niwaeleze wananchi Nimeunda jopo la wanasheria na tumeshaanza kikao cha kwanza sasa hivi kazi yetu kubwa kwasababu tumeshaanza na suala la Mzee Majuto ni kuangalia kazi zote alizokwisha zifanya na tunawaandikia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani