JE UNAFAHAMU SHERIA INAVYOSEMA KUHUSU NYUMBA/KIWANJA CHA WAKFU.

Na  Bashir  Yakub.
1.WAKFU  NININI.Sheria ya  Mirathi na  Usimamizi  Mali Sura  ya  352  ndiyo  sheria  inayoeleza  masuala  yote  ya  msingi  kuhusu   habari  nzima  ya  Wakfu. 
Kwa  mujibu  wa  sheria  hiyo kifungu  cha  140  Wakfu  ni  kutoa  mali  kulingana  na    sheria  za  kiislam  kwa  ajili  ya  dini, hisani  au  kwa  ajili  ya watu/mtu  wa  familia ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KUTUMIA NYUMBA/KIWANJA CHA MTU KUKOPEA

Na  Bashir  Yakub.Sheria   inaruhusu  kutumia  ardhi  ya  mtu  kukopea.  Kwa  maana  mtu  ataomba  hati  yako   au  nyaraka   yako   yoyote  ile  ya  umiliki  halafu  ataitumia  kukopea. Inaitwa Rehani  ya  mtu  wa  tatu( third party mortgage).   Kifungu  cha  113 ( 2 ) cha  Sheria  ya  Ardhi  Na, 4 ya 1999  kimeeleza kitu  hiki. Hata  hivyo  yapo  mambo  tunayotakiwa  kujua  katika  mchakato  huu  wote. Ili  mambo  yaende  vizuri  kutatakiwa kuwapo  mikataba  ya  aina  tatu  kama...

 

4 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA INAMRUHUSU MKOPAJI KUJIUZIA MWENYEWE KIWANJA/NYUMBA YA DHAMANA.


Na  Bashir  YakubWiki  kadhaa  zilizopita   nilipigiwa  simu  na  mama  mmoja  akitaka  nimpe  ushauri  wa  sheria  kuhusu  jambo  fulani. Nilifanya  miadi  naye   na tukafanya  mazungumzo. Kubwa  kuhusu  shida  yake  ilikuwa  ni  tatizo  la  mkopo ambapo  benki  moja imeuza  nyumba  yake  maeneo  ya  Kinondoni  Dar  es  saaam.  Wasiwasi  wake  ulikuwa  ukiukwaji  wa  taratibu  za  mauzo  ya  nyumba  yake  na  hivyo  akitaka  kujua  afanye  nini. Maswali  yake  yalikuwa  mengi  na ...

 

4 years ago

Michuzi

makala ya sheria: UNAFAHAMU NINI KUHUSU MTAJI WA KAMPUNI.

Huwezi  kufikiria  umiliki  wa kampuni  kabla  ya kufikiria  kuhusu  mtaji  wa  kampuni. Mtaji  wa kampuni ni  suala  nyeti  kwa  wenye  wazo  la  kumiliki  kampuni  au  wanaomiliki  kampuni  tayari.  Mtaji  ndio  kila  kitu  katika  kampuni. Tangu  unapokuwa  katika  harakati  za  kusajili kampuni  utalisikia  neno  hili  mtaji  karibia katika  kila  hatua  unayopita. Niseme  mapema  kuwa  mtaji  mdogo  ndio  kampuni ndogo  na  mtaji  mkubwa  ndio  kampuni  kubwa.  Kwa  hili  mitaji ...

 

4 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNANUNUAJE NYUMBA/KIWANJA BILA KUJIRIDHISHA NA HATUA HII?

Na  Bashir  Yakub.Mara  nyingi  nimeandika  kuhusu  ardhi  hususan   viwanja  na  nyumba.  Katika  kufanya  hivyo  mara  kadhaa  nimejaribu  kuwatahadharisha  watu namna  mbalimbali  ya  kisheria ya kuepuka   kuingia  katika  migogoro  ya  viwanja  na  nyumba  hasa  wakati  wa  kununua( wanunuzi). 
 Nimewahi  kueleza  namna  au  vitu  vya  msingi ambavyo  hutakiwa  kuwa  katika  mkataba  wa   ununuzi  wa  nyumba  au  kiwanja. Nikaeleza  umuhimu  wa  kila  kimoja   na nikasisitiza  kuwa...

 

4 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE

Na  Bashir   Yakub
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba  hasa maeneo ya mijini.  Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa  baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu  ambazo huchangia kuwapo  na kukua kwa tatizo hili. 
Baada ya kuwapo  tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...

 

3 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE UNAJUA KUTOFAUTISHA HATI NA OFA UNAPONUNUA NYUMBA/KIWANJA

Na Bashir Yakub.
Mara zote muuzaji hutoa maelezo yanayolenga kuonesha usahihi wa ubora wa kile anachokiuza. Ni muhali sana muuzaji kusema lile lililo la kweli haswa. Hali hii ndio humlazimu mnunuzi kutafuta utaalam kwa wanaojua vizuri kile anachotaka kununua.
Kumekuwa na malalamiko yanayotokana na baadhi ya watu kutojua kutofautisha hati ya nyumba/kiwanja na Ofa ya nyumba/kiwanja. Muuzaji anamuuzia mnunuzi na anamkabidhi nyaraka za ofa...

 

4 years ago

Michuzi

makala ya sheria: USINUNUE KIWANJA/NYUMBA YA MIRATHI BILA KUPATA FOMU HII.Na Bashir YakubNimeandika makala nyingi kuhusu namna  ya kisheria ya kuepuka  kununua nyumba/viwanja  vyenye  migogoro kwakuwa  migogoro ya vitu hivi inaumiza sana. Waliokutana na migogoro hii wanajua  vyema ninaongea nini. Katika mwendelezo wa kumuepusha mnunuzi  na janga hili, leo tena tuangalie taratibu za ununuzi wa nyumba/kiwanja cha  mirathi. Nataka ieleweke vyema kuwa taratibu za manunuzi ya nyumba/kiwanja  zinatofautiana. Tofauti kubwa  ni za kisheria hasa  namna ya uandishi wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE, ULIPEWA NOTISI YA SIKU 60 KABLA BENKI HAIJAUZA NYUMBA/KIWANJA CHAKO ?.


Na  Bashir  Yakub.

Wanaokopa  hela  kwenye  taasisi  za  fedha  wanatakiwa  kujua  haki  walizonazo. Haki  kabla  ya  kuchukua mkopo,  haki  wakati  wa  kuchukua  mkopo,  haki  wakati  wa  kurejesha,  na  haki  baada  ya  kurejesha au  kushindwa  kurejesha. Hautakiwi  kusubiri  taasisi  iliyokukopa  iwe ndiyo ya  kukueleze  haki  ulizonazo  bali  watakiwa ujue   haki    hizo  kwa  jitihada  zako.

Taasisi  ya  fedha  inaweza  kukueleza  baadhi  ya  haki  lakini  ni  muhali  kukueleza  haki ...

 

4 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.


Na Bashir YakubWiki  iliyopita  niliandika  kuhusu  Asilimia kumi ambayo  serikali  za mitaa huwa  wanaidai  hasa  maeneo  ya  mijini baada  ya  wahusika  kuwa wameuziana nyumba au  kiwanja. Nikasema  wazi  kabisa  bila  kungata  meno  kuwa  hiyo  pesa iitwayo asilimia kumi au pesa nyingine yoyote   mtu  atakayolipa  serikali  za  mitaa eti  kwakuwa amenunua  au  ameuza   eneo  lake   ni rushwa. Na  leo  nakumbusha na  kusisitiza  tena   kuwa  Watanzana wajue   ukitoa   pesa  ile   umetoa ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani